BAHIMA Empire na uchaguzi butu 2020

BAHIMA Empire na uchaguzi butu 2020

Naona una jambo na Nyerere na kama Rwanda ina kabila moja tuu, mauaji ya kimbari yalitokana na nini? Kwahiyo Wahutu sio sehemu ya Rwanda?


Hakuna Kabila la Wahutu wala Watusi, bali kuna Kabila moja tu kwani hakuna Lugha ya Kitusi wala Kihutu Dunia hii bali wote wanaongea Lugha moja tu iitwayo Kinywarwanda!

Jielimishe kwanza ndugu, usipoangalia kesho utaambiwa uchinje Familia yako na kutii, ndivyo walivyoambiwa Wanyarwanda wakauwana!

Knowledge is Power!
 
Mtoa hoja kuna ukweli fulani japo wenye maslahi tutakupinga werevu wameshabaini!Kuna nguvu kubwa ya kubinya demokrsia kwa kisingizio cha uzalendo na maendeleo huku kukichipuka kauli tata kama baki fulani,mara mswada utapelekwa sijui wapi uchaguzi ufanyike kila baada ya muongo mmoja kasoro!Huku pale Karibu na Kagera kuna nguvu kubwa ya mtu kutawala milele!
 
Hakuna Kabila la Wahutu wala Watusi, bali kuna Kabila moja tu kwani hakuna Lugha ya Kitusi wala Kihutu Dunia hii bali wote wanaongea Lugha moja tu iitwayo Kinywarwanda!

Jielimishe kwanza ndugu, usipoangalia kesho utaambiwa uchinje Familia yako na kutii, ndivyo walivyoambiwa Wanyarwanda wakauwana!

Knowledge is Power!
Nini asili ya kuwa na Watutsi na Wahutu? Nipo hapa kwa ajili ya kuelimika
 
Basi hongera kwa kujitambua lkn mamia ya wenzako wanawaota Wanyarwanda, hivyo usiwalaumu kujiweka juu!
Turejee kwenye road map yetu 2015-2020 ina maana hata mkulu yuko hivyo? Maana naona kuna C & P nyingi sana toka Kigali... As if someone is been redirected by remote control from there
 
Nini asili ya kuwa na Watutsi na Wahutu? Nipo hapa kwa ajili ya kuelimika


Kuna mtu alikuja, Mzungu Mjerumani akawaambia wewe ni Mtusi na wewe ni Muhutu, hawa wanaoitwa Watusi ni Wafugaji na Wahutu ni Wakulima basi wakagawanywa hivyo ni Muzungu, Wafugaji wakapendelewa na Muzungu kielimu na kikazi vizazi baada ya Muzungu kuondoka wakaiozoea hiyo hali, leo hii wale waliopendelewa wanatetea privilege yao walionyimwa fursa wanataka kuinyakuwa kwa nguvu na ndipo ugomvi ulipo!

Hiyo experiment unaweza kuifanya popote tu kuwagawa watu na kuwatawala, hata kwetu Mjerumani alifanya lkn kivingine, jiulize kwa nini tunasema Uswahilini, Uhindini au Uzunguni?
 
Turejee kwenye road map yetu 2015-2020 ina maana hata mkulu yuko hivyo? Maana naona kuna C & P nyingi sana toka Kigali... As if someone is been redirected by remote control from there


Sijui! Impossible is Nothing!
 
Kuna mtu alikuja Mzungu Mjerumani akawaambia wewe ni Mtusi na wewe ni Muhutu, hawa wanaoitwa Watusi ni Wafugaji na Wahutu ni Wakulima basi wakagawanywa hivyo ni Muzungu, Wafugaji wakapendelewa na Muzungu kielimu na kikazi vizazi baada ya Muzungu kuondoka wakaiozoea hiyo hali, leo hii wale waliopendelewa wanatetea privilege yao walionyimwa fursa wanataka kuinyakuwa kwa nguvu na ndipo ugomvi ulipo!

Hiyo experiment unaweza kuifanya popote tu kuwagawa watu na kuwatawala, hata kwetu Mjerumani alifanya lkn kivingine, jiulize kwa nini tunasema Uswahilini, Uhindini au Uzinguni?
Ni hali ilikuwepo tangu asili, mzungu tusimsingizie sana pamoja na kwamba ana sehemu yake ya lawama... Nijuavyo mini na kwa usahihi kabisa MHUNZI anabaki kuwa MHUNZI kamwe hachangamani na MSUSI... Same applies kwa wakulima na wafugaji! Hizi ni jamii mbili tofauti kabisa.... Sio zile tofauti za kidhana na kimtazamo za CCM na TADEA
 
Uchunguzi uliofanywa na OHIO NOTHERN UNIVERSITY COLLEGE OF LAW ulibaini maafisa katika serikali ya ufaransa kuhusika katika mauaji ya kimbali nchini Rwanda.Baadhi ya maafisa ni General Jacques lanxade,General Christian question,President Mitterrand from 1991 to 1994.Support yao ilikuwa ni military training na Mikakati ya kijeshi.Uchunguzi huu umezuiliwa kupelekwa mahakamani kulingana na sheria za ufaransa zinazotaka raisi asifunguliwe mashtaka hadi baada ya kipindi fulani cha kumaliza uongozi wake.

Kagame hakuchukua nchi yy kama yy nyuma yake kuna watu waliomshika mkono.Je matamanio ya kuendelea kuchunguzana East Africa yaliisha baada ya kagame kuichukua rwanda. Hapana mipango hiii sio ya Leo hata kagame akiondoka mipango itaendelea tu bahati yetu Tanzania ni nchi kubwa na ina maeneo ya kutosha hiki ndicho kinachowapa ugumu wanatuchunguza kujua kila kitu kuhusa Tanzania.Kagame ni kweli anao mpango was siri kuhusu Tanzania na kama ni kweli bwana mkubwa analidwa na kagame we are working dead sababu atachokifanya ni kumuaminisha yy ni intelligence wa hali ya juu na mkulu akisha mwamini kisha iweka robo ya Tanzania kwa kagame.
 
Mshana Jr hii mada yako uliyoichokoza ni nzito na ni diliki kusema ina uhalisia, mi baada ya kusikia jamii ya kitutsi na kihutu ikipiga kelele kwa wakati tofauti tofauti ndipo nilipo fanya utafiti usio rasmi ndio nikajua kuwa kweli kuna BAHIMA EMPIRE. Kwa nchi yetu ni watu na viongozi wachache wanaolijua hilo na kulitilia maanani, niseme ila Marehemu Rev Mtikila alikuwa anajua mchezo wote na nina uhakika hata Mhe Jakaya Kikwete analijua vizuri ila naye alibanwa mbavu. Nimalizie kusema mjadala huu ni mgumu ila ukweli ni huo na mpango huo ndani ya nchi yetu niwa muda mrefu, (Gavana wetu wa BOT Rutihinda alikuwa ni mtu wa aina gani na mwenye asili ya wapi?.)
 
Back
Top Bottom