BAHIMA Empire na uchaguzi butu 2020

BAHIMA Empire na uchaguzi butu 2020

Kama hiyo ni kweli basi ulipaswa uanzie kwa Nyerere kwani yeye ndiye architect wa yote hata kifo cha Habyarimana wanasema anahusika kumbuka Haby alitunguliwa akitokea Tanzania na hata safari yake ilikuwa na utata kwani hakutaka kuondoka hiyo siku lkn walimshinikiza aindoke, isitoshe Nyerere ni Banyamulenge by blood, pale Musoma walihamia tu kutokea Unyarwanda!

Hivyo kama conspiracy theory yako ina ukweli wowote basi ni mipango ya muda murefu iliyoasisiwa na Nyerere ambaye ana asili ya Unyarwanda!
Mauji ya Watutsi yanawahusu viongozi wengi sana wa Tanzania. Mzee Mwaikusa alijua haya na ndiyo maana wahusika waliwahi kumfunga mdomo...Ukisoma kilichokuwa kinaendelea OAU na Dr. Salim Ahmed Salim baada ya haya mauaji utaona kabisa.
 
Kwenye sakata la TL karibu kila organ ya serikali imetoa tamko (tusizungumzie utofauti wake) kuna vitu si vya kupuuza! Huku kwenye mitandao ya kijamii kuna mengi ya kweli na ya kizushi, ya kusingizia na hata ya kupika, kutunga.....!!!!

Kuna mambo hayako sawa na ni vema mamlaka husika kuyatolea tamko ili kuweka mambo sawa.... Mojawapo ni hili la kuingiliwa na majasusi wa kinyarwanda mpaka kwenye organs muhimu kabisa za nchi.

Ukisoma huko mitandaoni wanasema kuna mabinti wa kinywaranda ni majasusi wabobezi lakini wamepozi kama Masuria, huku kwenye wizara mbalimbali za Serikali si mara ya kwanza kukamatwa raia wa Rwanda wakiwa tayari wana nyadhfa na madaraka makubwa na nyeti kabisa
Kinondoni kumewahi kuripotiwa kukamatwa raia wa Rwanda wanaojifanya ni wafanyabiashara lakini wakiwa na viashiria vingi vya kufanya zaidi ya biashara!

Sasa tunaambiwa kuna viongozi wakubwa wanalindwa na askari wa kinywaranda. Ni habari za kuogofya kama ni kweli na kama ni za kupikwa ZIKANUSHWE MARA MOJA!

Tusitende kwa makengeza, BAHIMA EMPIRE ni dhana kificho inayopata uhai kwa namna ya ajabu kabisa(BAHIMA EMPIRE inasemekana ni mpango wa siri lakini mahsusi na wa muda mrefu sana wa kuifanya Afrika mashariki kuwa chini ya utawala watu wa asili fulani).

Kwa sehemu kubwa kabisa inawezekana ni uzushi na mambo ya kutunga lakini lisemwalo lipo!

Waendesha mpango huo wa BAHIMA inasemekana ni watu wasomi werevu wenye rasilimali za kutosha na ujuzi wa kila aina
Pengine BAHIMA ni mpango tu wa kuficha jambo lingine kubwa lisilojulikana.

Tuna watanzania wenzetu wasomi na watu maarufu wengine wakiwa wanasheria tegemewa wamekatishwa maisha yao lakini tuhuma wakirushiwa kundi BAHIMA lenye asili ya Rwanda.

Kama hili ni kweli sifurahishwi kabisa na kuingiliwa kiasi hiki? Je huko kwenye vyombo vyetu vya ulinzi tuko salama kiasi gani? Je hakuna majasusi huko waliopandikizwa? Bungeni je? Na huko kwingine je?

Uchaguzi mkuu wa Rwanda umepita na kumrudisha Kagame madarakani kwa ushindi wa tsunami asilimia 98 lakini wote tumeshuhudia uchaguzi ule ulikuwa butu, ulikuwa ni uchaguzi kukamilisha ratiba na kukwepa rungu la kimataifa kuhusu demokrasia lakini haukuwa huru wala wa haki.

Roadmap kuelekea 2020 hapa kwetu inaanza kutupa mwanga wa jinsi uchaguzi utakavyokuwa... Kuna kila dalili tunanakili kila kitu kutoka Rwanda! Tunaona wazi upinzani unavyonyongwa kwa styles zilezile za Rwanda, dhumuni ni moja tu kuudhoofisha kabisa ili ikifika 2020 uko hoi kabisa... Kisha uchaguzi ambao Utakuwa na ushindi wa tsunami [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]

Sisi ni taifa kubwa lenye nguvu na watu makini sana, naamini story za BAHIMA empire ni za kufikirika zisizo na chembe ya ukweli! Na hata kama ni kweli basi ziishie huko huko..... Lakini ni mpaka pale itakapothibitika vinginevyo....!!!!
Mwaka 1903 Majasusi wa Urusi walitoa nakala za machapisho yaitwayo THE PROTOCOLS OF THE ELDERS OF ZION, yakielezea jinsi ambavyo Wayahudi walipanga kuhadaa dunia. Wayahudi waliuawa sana na ikasemekana kwamba ule ulikuwa ni mpango wa Mfalme Nicolas Ramanov wa Urusi kutaka kueneza chuki dhidi ya Wayahudi (Anti-Semitism).

Watu walisema zile ni Propaganda za kirusi tu kwasababu Wayahudi walikuwa ni kundi dogo isitoshe hawana hata nchi. Lakini mwaka 1917 tuliona jinsi hicho kikundi kidogo kikiongozwa na Wayahudi kama Leon Trotsku kilifanikiwa kuisambaratisha na kuitawala falme kubwa kama Urusi na kuanzisha Ukoministi mle.

Hao hao tena Wakahusika na kumhujumu Ujerumani mwaka 1916 baada ya kumfanya Marekani ajiunge na Vita ya kwanza ya dunia.

Hao hao mwaka 1916 walipanga mkakati (Sykes-Picot Agreement) wa kuisambaratisha kabisa Dola ya Kiislamu ya Uturuki au The Ottoman Empire na kufanikiwa kuutimiza mwaka 1919 huko Versailles Ufaransa.

NB: Usipuuze chochote kuhusu Rwanda na Kagame kwasababu ni bora umtafute nyoka aliyeingia ndani halafu ukamkosa kuliko usipomtafuta kabisa na baadae ukaja jua uwepo wake baada ya kukugonga kisiginoni. Tusipuuze kitu kwasababu Historia inatufundiaha kwamba nchi ndogo kama Uingereza iliwahi kutawala karibia dunia yote.
 
ACHENI NDOTO ZA MCHANA,KANCHI KAPO KAMA MKOA MMOJA KATAWEZAJE KUPENYA TANZANIA KUBWA HIZI WAKALETA NA UKABILA WAO TUSIWASHTUKIE,JENSI LA TANZANIA LIPO IMARA SANA NA KUNA MCHANYIKO MKUBWA SANA, JESHI LA WATUTSI NI SAWA NI VITUO VIWILI TU CHA OLJORO NA LUGALO, NI UKABILA UNAWASUMBUA HUKO
 
kagagai ameeuliwa kuwa katibu wa bunge bila kufuata utaratibu, wajuzi was mambo wanasema ni myarwanda
 
Wewe unajiongelea tu, ni wabongo wangapi wanaojua juu nadharia ya BAHIMA EMPEROR?.
 
NAJIANDAA kusikia tamko 2020 serikali haina pesa za kuendeshea uchaguzi then jamaa anapita kilaiiiiiini
 
Mwaka 1903 Majasusi wa Urusi walitoa nakala za machapisho yaitwayo THE PROTOCOLS OF THE ELDERS OF ZION, yakielezea jinsi ambavyo Wayahudi walipanga kuhadaa dunia. Wayahudi waliuawa sana na ikasemekana kwamba ule ulikuwa ni mpango wa Mfalme Nicolas Ramanov wa Urusi kutaka kueneza chuki dhidi ya Wayahudi (Anti-Semitism).

Watu walisema zile ni Propaganda za kirusi tu kwasababu Wayahudi walikuwa ni kundi dogo isitoshe hawana hata nchi. Lakini mwaka 1917 tuliona jinsi hicho kikundi kidogo kikiongozwa na Wayahudi kama Leon Trotsku kilifanikiwa kuisambaratisha na kuitawala falme kubwa kama Urusi na kuanzisha Ukoministi mle.

Hao hao tena Wakahusika na kumhujumu Ujerumani mwaka 1916 baada ya kumfanya Marekani ajiunge na Vita ya kwanza ya dunia.

Hao hao mwaka 1916 walipanga mkakati (Sykes-Picot Agreement) wa kuisambaratisha kabisa Dola ya Kiislamu ya Uturuki au The Ottoman Empire na kufanikiwa kuutimiza mwaka 1919 huko Versailles Ufaransa.

NB: Usipuuze chochote kuhusu Rwanda na Kagame kwasababu ni bora umtafute nyoka aliyeingia ndani halafu ukamkosa kuliko usipomtafuta kabisa na baadae ukaja jua uwepo wake baada ya kukugonga kisiginoni. Tusipuuze kitu kwasababu Historia inatufundiaha kwamba nchi ndogo kama Uingereza iliwahi kutawala karibia dunia yote.
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
ACHENI NDOTO ZA MCHANA,KANCHI KAPO KAMA MKOA MMOJA KATAWEZAJE KUPENYA TANZANIA KUBWA HIZI WAKALETA NA UKABILA WAO TUSIWASHTUKIE,JENSI LA TANZANIA LIPO IMARA SANA NA KUNA MCHANYIKO MKUBWA SANA, JESHI LA WATUTSI NI SAWA NI VITUO VIWILI TU CHA OLJORO NA LUGALO, NI UKABILA UNAWASUMBUA HUKO
 
Kwa swala la rais kulindwa na askari wa rwanda ni uongo mtupu Ni story Za kupikwa na mambi kuna kijana mmoja tumesoma nae shule moja huwa anavalia mavazi ya kijeshi na ni kati ya watu wanaonyooshewa kidole na mambi Kulwa Ni wanyarwanda

Hivyo huwa siamini taarifa hizo Ni uzushi tu labla kwa wale wengine[emoji276]
 
Inawezekana wapo halisi na wa kusingiziwa pia.... Nilichojifunza katika maisha ni kutopuuzia taarifa yoyote hata iwe ndogo kiasi gani
 
Although this sounds like ridiculously conspiracy theory to some but I do believe there is something sinister concerning this issue that goes on behind the curtains in our country , unfortunately we are currently rulled by dumb ass pricks rullers who either they are unaware of this or they are utterly in cahoots with these masterminders/ scams of this frightening & absolutely filthy destructive plans for our beautiful Country. This conspiracy theory about "Bahima Empire " has been analysed severally here in this JF platform .
 
There is something fishy about this conspiracy.... A hidden agenda most likely....
 
Kwa kweli wazalendo wa kweli wajitokeze tuombe Katiba mpya.
Nashangaa kumbe akina Warioba na kundi lake na viongozi mbali mbali wa makundi ya kijamii waliona umuhimu wa katiba kwa sababu ya Kikwete basi.Yani katiba ilihitajika kwa ajili ya mtu mmoja badala ya Taifa. Sasa hawaini umuhimu wake kwa sababu ya mtu mmoja tena. Kwa kweli Afrika bado ni bara la giza. Taifa lenye watu mil. 50 linakaa liongozwe kwa utashi wa mtu bila sheria madhubuti.

Bila kuwa na katiba ile ya wananchi,iliyosimamiwa na Warioba iko siku tutalia kilio cha fisi.
Hua najiuliza hivi siku akijitokeza Rais akaamua kutumia kisawasawa mamlaka aliyopewa na katiba hii ya mwaka 1977 na kutangaza dola lenye kila dalili na harufu ya kikabila au kidini itakuaje?

Yani na maanisha kuwa viongozi waliopita wangeamua kutumia madaraka yao ya kunyamazisha kila wasilolitaka wao na kuweka mbele mawazo yao halafu wakabadili katiba au hata kutumia ubabe na kujenga himaya let say ya dini fulani yenye mfumo kamili na kuwaweka watu wa dini hiyo kuanzia waziri mkuu, wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama, spika wa bunge,jaji mkuu ,mwanasheria mkuu wa serikali, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, makatibu wakuu. Manaibu waziri, Governor wa benki kuu, Mabalozi wote, wakurugenzi wote,katibu wa bunge .
Wakati huo huo aanze kumshughulikia kila mmoja anayejaribu kukosoa hayo; ingekuwaje ?
Halafu kutokana na kujipanga huko adhibiti vyombo vya habari visijaribu kujadili teuzi zake na kila kitakachojaribu basi kifungiwe na kuitwa cha kichochezi na kina lengo la kuvuruga amani ya nchi.
Kwa katiba iliyopo kuna siku hili litatokea na linaweza likatikea ndani ya chama hiki hiki kikubwa kinachoshabikia mamlaka makubwa ya Rais na watendaji wake. Chama kinachoshabikia rais kufanya kila analoona linafaa bila kuhojiwa wala kujadiliwa na mamlaka nyingine ikiwemo Mahakama na Bunge . Ni hatari sana inayoweza kujitokeza kwa kupitia mwanya wa malaka ya kikatiba anayopewa mtu mmoja.

Mpaka sasa bado tuna watawala wastarabu na waaminifu kupitia CCM na wingi wao.
Hatujui baadae chini ya katiba hii ya mwaka 1977 itakuaje.

Huenda siku moja akaja mtawala anayeabudu mizimu na mashetani na kuamua kuwa kila siku inabidi atolewe kafara mtu mmoja kama sadaka ya maendeleo ya nchi kwani mizimu imekasika kutokana na watu kuidharau ndio maana hatupati maendeleo.
Na kwa sababu atakua amejipanga kwa kupitia madaraka ya kikatiba na chama chake chenye nguvu kubwa bungeni atafanikiwa.

Jambo la kwanza ni kuwafanya watu wawe maskini. Wasomi wawe maskini. Kuua fursa binafsi ili kila fursa ipatikane kwa kuabudu miungu ya kidola. Hapo ndipo kila goti litakapopigwa mana hakuna baunsa kwenye njaa.

Wakati huu wa Rais mzalendo na mpendwa wetu ndio wakati wa kuomba mambo muhimu kwa vizazi vyetu kama KATIBA ya Warioba.

Katiba ya warioba itamfanya mtu yeyote atawale hii nchi hata Hiyo BAHIMA Empire ikipenyeza mtu atakua hana ishu.
Hata wa OMAN Empire ikimrudisha Sultan atakua hana ishu.
Hata akija Dangote kugombea urais atakua ni binadamu mwenzetu tu haina shida atatutawala kwa kufuata sheria zetu na katiba yetu.
Kila mtu atakua mwema kwa mwenzake.
 
Kuna msanii Bongo Fleva anamiliki Range Rover,hapigi show,biashara anayofanya haijulikani lakini hivi karibuni anategemea kuoa binti wa kinyarwanda....huyu jamaa nina mashaka naye sana
 
Back
Top Bottom