BAHIMA Empire na uchaguzi butu 2020

BAHIMA Empire na uchaguzi butu 2020

hizi jamii zimeishi hivyo kwa muda mrefu kabla ya wakoloni....usichokifahamu ni kuwa maeneo ya kagera,uganda,rwanda,kigoma na burundi hadi kongo kulikuwa na mwingiliano wa watu na koo nyingi kubwa zenye asili moja utazikuta nchi zote 4 yani tz,ug,rw,burundi so watusi ni jamii mchanganyiko kama ilivo wahutu
Sio huko tu jamii nyingi katika Afrika na duniani kwa ujumla wake zina muingiliano mkubwa tu... Kati ya hizo kuna ambazo zimeweza kutengeneza permanent ID bila kujali udogo wao
 
Mkuu punguza woga na ndoto za majinamizi!
Kuna watu kule kwenu ushauri huu ungewafaa sana... Unajua penzi la kununua halinogi kama penzi la makhaba?
Nashangaa sana mtu kauziwa penzi halafu anatumia vipaza sauti kuwa hayo ni makhaba....
 
Yote ni mifano katika suala zima la kuhalalisha uzushi kutaka ugeuke ukweli tukirudi katika uhalisia wetu wala huwezi kupata tabu mkuu!
 
Sio huko tu jamii nyingi katika Afrika na duniani kwa ujumla wake zina muingiliano mkubwa tu... Kati ya hizo kuna ambazo zimeweza kutengeneza permanent ID bila kujali udogo wao
mtu wa kanda ya ziwa esp maeneo ya bukoba na watu wa kigoma ndie atakaenielewa mipaka iliwekwa na wakoloni tuu undugu wa damu haufi ndio kinachotokea sasa bongo na sizonje...hata nyerere alkuwa wa huko au hujui?twaha khalfan ulimwengu aka jenerali ulimwengu na yy pia ni mtusi ila kazaliwa tanganyika cjui unaona?? ...issue siyo asili ni jee una uzalendo na kulipenda taifa lako???mkianza huu ubaguzi sisi wa mipakani hatutopona wamasai wapo kenya na tz au huoni mshana?
 
Ni vigumu kuendesha mjadala na mtu anayetanguliza mihemko bila logic....
hajakosea sana wahutu wanalima na kuchunga pia....tupiganie katiba ya warioba ndicho cha msingi...mkianza kubagua mtatukosa wengi sana na mtatuumiza wa mipakani..sababu hatukupenda kuwa na asili zaidi ya moja....tujenge moyo wa uzalendo kwa vijana na watoto...and by the way kwa lissu ni sizonje kahusika ingekuwa esqadron ya kagame tungekua tunaimba mengine
 
mtu wa kanda ya ziwa esp maeneo ya bukoba na watu wa kigoma ndie atakaenielewa mipaka iliwekwa na wakoloni tuu undugu wa damu haufi ndio kinachotokea sasa bongo na sizonje...hata nyerere alkuwa wa huko au hujui?twaha khalfan ulimwengu aka jenerali ulimwengu na yy pia ni mtusi ila kazaliwa tanganyika cjui unaona?? ...issue siyo asili ni jee una uzalendo na kulipenda taifa lako???mkianza huu ubaguzi sisi wa mipakani hatutopona wamasai wapo kenya na tz au huoni mshana?
Mimi si mbaguzi nina asili na wanyankole.. Tena nimechanganya hasa, ninachozungumzia mimi ni mipango ya siri ya himaya ya BAHIMA kutaka kutawala Afrika mashariki
 
Hilo liko wazi labda wewe ndiyo hulijui lkn Nyerere asili yao ni Unyarwanda, hilo Uzanaki wamejipachika tu na kujitungia!
Wazanaki,mzanaki=wizanaki/izanaki=mmekuja na nini/umekuja na nini. Hiyo iko wazi.
 
Mimi si mbaguzi nina asili na wanyankole.. Tena nimechanganya hasa, ninachozungumzia mimi ni mipango ya siri ya himaya ya BAHIMA kutaka kutawala Afrika mashariki
hapo umenena...but watu hawaelewi na hawajui mengi juu ya historia ya makabila yao...watusi kwa wahutu wanaoleana na kuishi pamoja kama hamfahamu....tulilie katiba mpya hicho ndio cha msingi itakayopunguza mamlaka ya raisi na kutoa umungu mtu wake
 
Hakuna Kabila la Wahutu wala Watusi, bali kuna Kabila moja tu kwani hakuna Lugha ya Kitusi wala Kihutu Dunia hii bali wote wanaongea Lugha moja tu iitwayo Kinywarwanda!

Jielimishe kwanza ndugu, usipoangalia kesho utaambiwa uchinje Familia yako na kutii, ndivyo walivyoambiwa Wanyarwanda wakauwana!

Knowledge is Power!
Sasa hiyo wanaita Wahutu au Watutsi imetoka wapi kama kuna kabila moja linalozungumza lugha moja? Hebu funguka vizuri. Inawezekana na wewe ni mmoja wao maana unapinga kwa nguvu zote.
 
Kama hiyo ni kweli basi ulipaswa uanzie kwa Nyerere kwani yeye ndiye architect wa yote hata kifo cha Habyarimana wanasema anahusika kumbuka Haby alitunguliwa akitokea Tanzania na hata safari yake ilikuwa na utata kwani hakutaka kuondoka hiyo siku lkn walimshinikiza aindoke, isitoshe Nyerere ni Banyamulenge by blood, pale Musoma walihamia tu kutokea Unyarwanda!

Hivyo kama conspiracy theory yako ina ukweli wowote basi ni mipango ya muda murefu iliyoasisiwa na Nyerere ambaye ana asili ya Unyarwanda!
Una uhakika? Kuna watu wowote wa ukoo wa nyerere kutoka Rwanda walishawahi kujitambulisha?....

Tatizo letu sisi sio rais kuwa na asili ya taifa fulani tatizo letu ni je yupo na uelewa wa kijasusi jinsi ya kuzui watu hatari kama Kagame wasilete hasara kwa taifa letu na kupeleka faida kwa taifa lake?...

Wote mliona wamarekani walivyomshutumu Trump juu ya kushirikiana na russia lakini baada ya kuingia na kugundua wamarekani hawataki na yeye kaacha mara moja kushitikiana nao kwa karibu...
 
Sisi ni taifa kubwa lenye nguvu na watu makini sana, naamini story za BAHIMA empire ni za kufikirika zisizo na chembe ya ukweli! Na hata kama ni kweli basi ziishie huko huko..... Lakini ni mpaka pale itakapothibitika vinginevyo....!!!!
Mshana jr, umehitimisha bandiko lako kwa kauli iliyosheheni ukweli. Bahima empire ni mambo ya kufikirika na ndoto iliyoshindwa kutekelezeka kwa miaka mingi sana,Imebakia kama nadharia ambayo inajikita zaidi kwenye ukabila na ukoo wa aina fulani kuwa ndio bora zaidi. Ukienda kanda ya ziwa na magharibi mwa Tanzania hasa mipakani utakuta ndio namna ya kujitambulisha kwenye virabu vya pombe za kienyeji, Isikutishe sana hiyo Mshana jr nchi iko salama sana.
 
Kama ulishuhudia makabidhiano ya pesa hapo kuna biashara lakini kama hujashuhudia ni kama lowassa na richmond mwenye ushahidi aende mahakamani!
Biashara ya uchangu haina risiti lakini wala hawala ya fedha ni pesa tasilimu tena bila bakshish
 
H
Mshana jr, umehitimisha bandiko lako kwa kauli iliyosheheni ukweli. Bahima empire ni mambo ya kufikirika na ndoto iliyoshindwa kutekelezeka kwa miaka mingi sana,Imebakia kama nadharia ambayo inajikita zaidi kwenye ukabila na ukoo wa aina fulani kuwa ndio bora zaidi. Ukienda kanda ya ziwa na magharibi mwa Tanzania hasa mipakani utakuta ndio namna ya kujitambulisha kwenye virabu vya pombe za kienyeji, Isikutishe sana hiyo Mshana jr nchi iko salama sana.
Hapana hiyo nadharia bado inaishi ila inaonekana kubadili gia kwa njia ya kupitia vyama vya siasa
 
Hiyo experiment unaweza kuifanya popote tu kuwagawa watu na kuwatawala, hata kwetu Mjerumani alifanya lkn kivingine, jiulize kwa nini tunasema Uswahilini, Uhindini au Uzinguni?[/QUOTE]
Hapo sasa si kunafahamika Uswahilini wanaishi Waswahili, Uhindini wanaishi Wahindi na Uzunguni wanaishi Wazungu. Umetoa mfano dhaifu sana, hayawezi kuwa majina tofauti hivyo na rangi halafu uje utuambie eti ni the same language and ethnic. Lete mifano hai. Unaogopa nini kusema Wahutu na Watutsi? Mbona sisi(watz) hayuogopi kusema Wafipa, Wasukuma, Wanyakyusa, Wachaga, Wahaya nk nk.
 
Ni hali ilikuwepo tangu asili, mzungu tusimsingizie sana pamoja na kwamba ana sehemu yake ya lawama... Nijuavyo mini na kwa usahihi kabisa MHUNZI anabaki kuwa MHUNZI kamwe hachangamani na MSUSI... Same applies kwa wakulima na wafugaji! Hizi ni jamii mbili tofauti kabisa.... Sio zile tofauti za kidhana na kimtazamo za CCM na TADEA
Hiki jamaa hajakielewa au kuna maslahi anayapigania. Haiwezekani Mjerumani akaja akakwambia wewe Mshana jr na mtoto wako au watu wa kabila lako kwamba wewe Mmasai, baba ako mchaga, mwanao mhaya, mama mfipa wakati nyie ni kabila moja labda ni Wazaramo. Inakuja kweli hiyo kitu?
 
Kwenye sakata la TL karibu kila organ ya serikali imetoa tamko (tusizungumzie utofauti wake) kuna vitu si vya kupuuza! Huku kwenye mitandao ya kijamii kuna mengi ya kweli na ya kizushi, ya kusingizia na hata ya kupika, kutunga.....!!!!

Kuna mambo hayako sawa na ni vema mamlaka husika kuyatolea tamko ili kuweka mambo sawa.... Mojawapo ni hili la kuingiliwa na majasusi wa kinyarwanda mpaka kwenye organs muhimu kabisa za nchi.

Ukisoma huko mitandaoni wanasema kuna mabinti wa kinywaranda ni majasusi wabobezi lakini wamepozi kama Masuria, huku kwenye wizara mbalimbali za Serikali si mara ya kwanza kukamatwa raia wa Rwanda wakiwa tayari wana nyadhfa na madaraka makubwa na nyeti kabisa
Kinondoni kumewahi kuripotiwa kukamatwa raia wa Rwanda wanaojifanya ni wafanyabiashara lakini wakiwa na viashiria vingi vya kufanya zaidi ya biashara!

Sasa tunaambiwa kuna viongozi wakubwa wanalindwa na askari wa kinywaranda. Ni habari za kuogofya kama ni kweli na kama ni za kupikwa ZIKANUSHWE MARA MOJA!

Tusitende kwa makengeza, BAHIMA EMPIRE ni dhana kificho inayopata uhai kwa namna ya ajabu kabisa(BAHIMA EMPIRE inasemekana ni mpango wa siri lakini mahsusi na wa muda mrefu sana wa kuifanya Afrika mashariki kuwa chini ya utawala watu wa asili fulani).

Kwa sehemu kubwa kabisa inawezekana ni uzushi na mambo ya kutunga lakini lisemwalo lipo!

Waendesha mpango huo wa BAHIMA inasemekana ni watu wasomi werevu wenye rasilimali za kutosha na ujuzi wa kila aina
Pengine BAHIMA ni mpango tu wa kuficha jambo lingine kubwa lisilojulikana.

Tuna watanzania wenzetu wasomi na watu maarufu wengine wakiwa wanasheria tegemewa wamekatishwa maisha yao lakini tuhuma wakirushiwa kundi BAHIMA lenye asili ya Rwanda.

Kama hili ni kweli sifurahishwi kabisa na kuingiliwa kiasi hiki? Je huko kwenye vyombo vyetu vya ulinzi tuko salama kiasi gani? Je hakuna majasusi huko waliopandikizwa? Bungeni je? Na huko kwingine je?

Uchaguzi mkuu wa Rwanda umepita na kumrudisha Kagame madarakani kwa ushindi wa tsunami asilimia 98 lakini wote tumeshuhudia uchaguzi ule ulikuwa butu, ulikuwa ni uchaguzi kukamilisha ratiba na kukwepa rungu la kimataifa kuhusu demokrasia lakini haukuwa huru wala wa haki.

Roadmap kuelekea 2020 hapa kwetu inaanza kutupa mwanga wa jinsi uchaguzi utakavyokuwa... Kuna kila dalili tunanakili kila kitu kutoka Rwanda! Tunaona wazi upinzani unavyonyongwa kwa styles zilezile za Rwanda, dhumuni ni moja tu kuudhoofisha kabisa ili ikifika 2020 uko hoi kabisa... Kisha uchaguzi ambao Utakuwa na ushindi wa tsunami

Sisi ni taifa kubwa lenye nguvu na watu makini sana, naamini story za BAHIMA empire ni za kufikirika zisizo na chembe ya ukweli! Na hata kama ni kweli basi ziishie huko huko..... Lakini ni mpaka pale itakapothibitika vinginevyo....!!!!
Nimewahi kuishi Mbarara Uganda na maeneo ya Kakunyu wilaya ya Missenyi mkoa wa Kagera nikifanya research mbalimbali pamoja na hili la BAHIMA EMPIRE. Ki ukweli hii dhana ipo kwa wanywarwanda wote na wanyankole wa uganda. Hadi sasa wanasema katika Afrika Mashariki wamebaki Kenya tu kwingine wameshashika.

Kwa hapa Tanzania ukianzia mkulu wetu na bosi wa mkoa wetu 100% zinaonesha ni sehem ya Bahima Empire. Lisemwalo lipo. Tafakari chukua hatua
 
Mada zako zenye mantiki ni zile za sayansi ya kiafrica lakini hizi mada bobezi zinazohitaji Medulla Oblongata ifanye kazi waachie watu walio na uwezo uliotukuka kufukunyua na kuchimbua taarifa ..

Baki njia kuu Mkuu kwenye mada za Ndumba, Vifo, kuzirai , ndoto za kichawi na matunguri, huku kwingine unajiaibisha
 
Back
Top Bottom