... jitahidini kurudi nyumbani mapema wazazi tunaumia sana jamani
Dah ndio maana siku hizi hawa mabinti hawaolewiCcm
Swissme
Nawashauri wazazi wote popote walipo pamoja na kwamba hali ni ngumu lakini wajitahidi kupeleka watoto shule, wengine ni aibu humu kwenye mitandao ya kijamiiCcm
Swissme
Inamaana hujui au unatania?Dah... Kuna mvulana wa kike?
Sent from my Osborne II using JamiiForums Mobile App
Ni model wa kiumembona kama wote ni wanawake !!!?
mwanaume unatakiwa uwe mgumi jamani
hata picha ukipiga hutakiwi kutumia 360
smart?
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Dah... Kuna mvulana wa kike?
Sent from my Osborne II using JamiiForums Mobile App