Bahatisha Hizi ni Couple za member wapi hapa JF....

19731942_1869855743341986_8168341753462311392_n.jpg
 
Hivi huyu "ndugu yenu" yupo wapi siku hizi. Simsikii kabisa
Koma wewe, ndugu yetu wamaanisha nini? nenda kamuulize kamanda Sepenga ndo alikuwa anawafuga kipindi yupo ndani ya chama cha kijani.
 
Koma wewe, ndugu yetu wamaanisha nini? nenda kamuulize kamanda Sepenga ndo alikuwa anawafuga kipindi yupo ndani ya chama cha kijani.
Taratibu ndugu. Kwani si ni wa kiume mwenzenu ila kapitiwa tu na shetani?? Binadamu wote ni ndugu moja!
 
huyu angekuwa kijana wangu ningemkorogea nyongo ya mamba afilie mbali
Kuliko kumuua ukapata dhambi si bora umtafutie bwana akamuoa ukala zako mahari kisha akakutokea kwako na ufute kabisa jina lake kwenye orodha ya wanao?
 
mchicha mwiba angetaja mabwana zake wabunge mawaziri vigogo wasingebaki salama hivi ilee kesi yake na kigwangala iliishia wapi?
Kigwa katulia kimya baada ya huyo mrembo kusema atataja mabwana zake wabunge na mawaziri, kwa hiyo mawaziri wenzake wakamfata kumoamba apotezee hili dude lisije amka maana hii vita haitaacha wabunge na mawaziri salama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom