Mussa waukweli.
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 534
- 319
Hii ni hatari... ila bahati bukuku hii ngoma kabugi kabisa..... lowasa ndo Mungu wake shit....
Mkuu naona umeuzwa sana,mbona wewe ni mfuasi wa Gr.Slaa ambae ni padre mstaafu lakini hatuchukii? Mwache mtumishi wangu aoneshe mapenzi yake kwa mtu ambae maono yake yanaona anafaa kuliko wa kwako.Mimi namuunga Mkono Bahati Bukuku na aendeleee kumtungia nyimbo nyingi ili wenye chuki kama wewe muendelee kuumia na mtashindwa tu.
Mungu mbariki Lowasa ili wenye chuki nae wajiangamize wenyewe kwa wenyewe
Nilimwamini huyu mama ila sasa CD zake nazichoma moto tunadhani tunasikiliza nyimbo za Mungu kumbe wamejaa mapepo
Nilimwamini huyu mama ila sasa CD zake nazichoma moto tunadhani tunasikiliza nyimbo za Mungu kumbe wamejaa mapepo
Mkuu naona umeuzwa sana,mbona wewe ni mfuasi wa Gr.Slaa ambae ni padre mstaafu lakini hatuchukii? Mwache mtumishi wangu aoneshe mapenzi yake kwa mtu ambae maono yake yanaona anafaa kuliko wa kwako.Mimi namuunga Mkono Bahati Bukuku na aendeleee kumtungia nyimbo nyingi ili wenye chuki kama wewe muendelee kuumia na mtashindwa tu.
Kwanza ni kuweke sawa, Mimi sina chuki na mtutu yoyote yule na siwezi mchukia Lowasa kwa kuwa sio rank wala rika langu dhambi zake na zangu sio sawa, mimi sipendi kudhulumu wala kufisadi cha mtu. Sasa nitamchukiaje mtu ambaye haturandani nae?
Na ukumbuke hayo maneno kwenye hiyo post siyo yangu ni ya
Malisa Godlisten ila mimi nimeyapa uzito kwakuwa nimeona kuna haja ya kufanya hivyo.
Elewa Bahati Bukuku alikuwa akimwimbia na kumsifu Mungu, leo amegeuka na kuanza kumwimbia na kumsifu binadamu. Huoni kuwa hapo kuna dalilio zote za bahasha kupita?
Ningependa Pasco aje kabla sijaenda kazini.
cc pasco
Kuimba kwa Bahati Bukuku ni sehemu ya kumtukuza Mungu lakini pia ni kazi. Kama mtu kamuajili kumtungia wimbo wa kampeni na kumpa fedha ulitaka atunge wimbo wa kumtukana kwa vile tu unamchukia Lowasa? Kwa habari ya udini si kweli maana tumeshuhudia Wachungaji na mashekhe wakienda kwa Lowasa kumuomba atie nia Sijui wewe ulikuwa wapi! Kwa chuki hii mtasababisha Mungu anampa Lowasa urais hata kama hastahili! Bukuku huu ni mwaka wa kupiga hela.
Kuna tofauti ya kusifu na kuabudu. Alichokifanya Bukuku ni kusifia mtu kwa mazuri anayoyaona kwake jambo ambalo ni la kawaida. Angemwabudu na kusema yeye ndiye Mungu Hilo haswa ni dhambi! Mambo mengine ni wivu tu halafu huyo malisa kwamba amesema yeye sio Mungu.