Bahati Bukuku amuimbia Lowassa wimbo

Bahati Bukuku amuimbia Lowassa wimbo

Mwaka wa kuvuna mapesa huu wakuu
"Kula CCM, Kura UKAWA!"
 
Ngoja kesho nikatupe chooni cd zake, huwez kumfananisha lowasa na Daudi wala suleman, hiyo ni laana na kufuru
 
Dunia ya leo hv bado watu wanatungiana nyimbo? Badala ya kusikiliza na kufuata sera nzuri! kwel kachina huyu dada
 
Njaa mbaya sana.anajipendekeza ili akumbukwe kwenye ufalme wa mamvi.ambacho hajagunduwa ni kwamba lowasa kamwe hawezi kuja kuwa kiongozi wa taifa hili.
 
Waimbaji wote wapo hivi:
(1)Rozi Mhando tayari Mjamzito
(2)Bahati Bukuku yanafahamika
(3)Flora Mbasha
(4)Christina shushu
.
.
Roho ya Uzinzi na Kupenda pesa............................
 
Huyu Bukuku anajua kama Lowasa angekuwa Rais TZingeshapigana na Malawi?huyuLowasa na amani ni maji na mafuta. Jk kwa busara tu mzozo uliokuwepo kama sio kwisha unaelekea kwisha.
 
Mimi namalizia mchoro wa picha ya Lowassa akiwa anaaapishwa (just an imagination) nakuhakikishia ntapiga milioni 15 kwny hii.

Mwaka wa kuvuna mapesa huu wakuu
"Kula CCM, Kura UKAWA!"

Hii nimeipenda
 
Kama Lowassa kapakwa mafuta atakuwa amepakwa mafuta ya kisheni,Mungu hana Muda mchafu wa kuwapaka mafisadi mafuta.
 
hahaha hiyo kali sasa naona anatumia fursa kwa mwamvuli wa dini. :madgrin:
 
Wekeni link ya wimbo hapa mwenye nayo au jina la wimbo.
 
Back
Top Bottom