Bahati Bukuku amuimbia Lowassa wimbo

Bahati Bukuku amuimbia Lowassa wimbo

Badala Ya Kumsifu Mungu Kaamua Kuimba Nyimbo Za Kumsifu Mwanadamu, Kaona Za Kumsifu Mungu Hapati Maslahi
 
Huyu Mdada Bukuku namjua vizuri sana, kipindi anakaa kinondoni Mkwajuni , niliwahi kwenda nyumbani kwake alikuwa hapendi ndugu wala marafiki wa mme wake. aliwafukuza shemeji zake wote wote, akiwasingizia eti wanamtaka ,jamani !!! ,Baadaye wakahamia kijito nyama, karibu na shule ya Masijidi Ghuba. pale alikimbia familia yake kutokana na Choyo aliyokuwa nayo. " JE utamtambuaje Mtu aliyeokoka"? Mme wake aliwachukua Wadogo zake akaanza kuishi nao. Hana lolote huyu
 
Bahati Bukuku kwanza Umrudie Mungu , Mrudie Mumeo ,Ulikimbia mwenyewe Nyumba ,sasa unamnyatia mzee Mimvi
Huo ni wivu! mwenzangu labda una lako jambo juu ya Bahati Bukuku.Kama amekimbia, si hata wewe unaweza kuchukua nafasi yake? Mambo ya ndoa yaache jinsi yalivyo.
 
Umesikia ,aliyekuwa mme wake Bahati Bukuku ni Kaka yangu, ndiyo maana inaniuma niliuzulia vikao vyote vya harusi mwaka 2003 pale kinondoni, na shemeji zake bahati Bukuku ni Marafiki zangu mmoja yupo hospitari ya UDOM ni Docta ,lazima ujue namjua sana Bukuku kuliko unavyodhani. Nayajua Mengi mno , Siyo a Dar tu, hata kule Mbeya, Pale meta Mbeya kwa baba zake wadogo, napajua hata, Mzee yule mzee wake alivyofariki nawajua vizuri, nilikuwepo kwenye Msiba.

Tabia zake zote Chafu nazijua. Siku ile wakati Ametoroka Kwa mme wake pale Kijito nyama nilivyoenda Kumcheki Broo Vitu tulivyovikuta Mure ndani ni AIBU kukueleza hasa kwa Mtumishi kama BAHATI. Siku hizi hata Pale kanisani kinondoni haji. Wakati alikutana na Broo Pale Kanisani. Na kwa Taarifa yako Broo alishaoa , Kajichaguli mke wake kutoka Kigoma. Yupo Safi. Nakumbuka Mwaka 2004 alivyo watimua shemeji zake ,akisingizia kwamba Walikuwa wanamtaka Kimapenzi.
Wale shemeji zake walikuwa wanajiandaa kufanya Multiculation pale UDSM- walikosa hata sehemu ya kukaa, wakahamua kukaa kwa Watu ili Muradi wafanye Multiculation, Baada ya kufanya wakarudi kigoma. Sasa hivi ni Madaktari mmoja yupo Hospitary ya UDOM. I know that Woman Very Well. ukitaka nikuambie zaidi niPM
 
Huyu Mdada Bukuku namjua vizuri sana, kipindi anakaa kinondoni Mkwajuni , niliwahi kwenda nyumbani kwake alikuwa hapendi ndugu wala marafiki wa mme wake. aliwafukuza shemeji zake wote wote, akiwasingizia eti wanamtaka ,jamani !!! ,Baadaye wakahamia kijito nyama, karibu na shule ya Masijidi Ghuba. pale alikimbia familia yake kutokana na Choyo aliyokuwa nayo. " JE utamtambuaje Mtu aliyeokoka"? Mme wake aliwachukua Wadogo zake akaanza kuishi nao. Hana lolote huyu

Inaonekana unaagenda yako ya siri juu ya kutaka kumchafua Bahati Bukuku, sio vizuri kila mtu ana mapungufu yake, kwa kawaida katika ndoa mwanamke ndiye anayeonekana mdhambi hata kama mwanaume ndiyo mbaya, mfano, katika ndoa unaweza kumkuta mwanamume anakuletea nyumba ndogo chumbani mwako wakati wakitakana kufanya mambo yao wewe mke wa ndoa unaambiwa ushuke kitandani ukalale sebuleni!.

Hivyo basi mambo ya kutuletea habari kuwa alikuwa mchoyo huwezi jua chanzo nini, wakati wanapendana wanachumbiana hadi wanaoana sidhani kama ulijua mchakato mazima.Hadi Bukuku anaamua kuingia ndani ya familia ya mumewe lazima alishajua baadhi ya maisha aliokuwa akishi mumewe Basila, mfano kama kuishi na ndugu zake!

Hana lolote sasa, kuhusu nini, wokovu.... nadhani hata wewe hapo ulipo unapambana na maisha yote mawili ya kutafuta mali ili uweze kuishi maisha mazuri na pili kupalilia roho yako kila siku ili siku ya mwisho uweze kunyakuliwa mbinguni.
Nadhani hakuna anayejua sababu ya yeye kuambua kumwimbia Lowasa huo wimbo, hakuna anayejua mapatano yao, labda anelipwa hela... huwezi jua,.....

Hapo ulipo wewe nadhani ungepata hiyo fursa sidhani kama ungekataa.Ni vema tukiri kuwa kila mtu hapa duniani ana njaa ya fedha si Bahati Bukuku tu.

Hivyo, pamoja na r oho yake mbaya, uchoyo wake, ubaya wake, mwombee kwa Mungu.
 
makwetu;

HAPO NDUGU YANGU UMEJIBU VIZURI- Tofauti na ulivyojibu Mwanzo. I know That Woman kuliko unavyodhani- Tuendeleee kumuombea.
 
Last edited by a moderator:
Wa kumuombea ni mumewe ac endelee kuangamiza wasichana wasio na Hata makusudi akijifanya mlokole.Tuna skendo take yote mkononi,anzia kwa binti wa kisukuma waliyekutana kwa nabii flora.jinc walivyokwenda kupima alifanyaje majibu yake
 
Waimbaji wa nyimbo za kidini/injili siku hizi naona wako kimaslahi zaidi, nawaombea neema ya Mungu iwaguse waweze kujitambua na kumtumikia Mungu wa kweli.
 
Injili imekuwa ya kutukuza watu kwa nyimbo? Kama ni kweli basi waimbaji wengi wamekuwa watumwa wa fedha.
 
HAPO NDUGU YANGU UMEJIBU VIZURI- Tofauti na ulivyojibu Mwanzo. I know That Woman kuliko unavyodhani- Tuendeleee kumuombea.

Sawa pamoja na kumjua vizri mno kwa vile labda alikuwa wifi/shemeji yako, sio haki kuweka mambo yake hadharani, yote ni Maisha.Kama wewe mi mkristo anadhani unajua kuwa Yesu hakuna duniani kuwaita wenye afya wakamwone daktari , bali wenye dhambi ili wapate kutubu.

Hivyo mimi kama shabiki mkubwa wa nyimbo zake kamwe siwezi kukwaruzika kwa tabia yake/mambo yake.Hayo ni yake binafsi.Kumbuka hapa duniani shetani anapambana na watu wa Mungu kwa kila njia.
 
Back
Top Bottom