Baed vs bed | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baed vs bed

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by josewatano, Feb 2, 2012.

 1. j

  josewatano Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 15
  kuuliza si ujinga eti wadau hivi mtu mwenye shahada ya BAED anatofauti gani na yule mwenye shahada ya BED kwani naona wote wamesomea tLUUM moja msada pls
   
 2. Pianist

  Pianist JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Wote hao ni Mangwini, Nenda kaangalie muhtasari wa chuo kikuu(UDSM) uone tofauti ya masomo yaliyomo kwenye hizo shahada.
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Wote maticha hao.
   
 4. P

  Ptz JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 466
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  wote ni walimu lakini tofauti zao ni BAED ni Bacherol of Arts with Education mwalimu mwenye BAED huwa amesomea masomo ya general education machache na masomo ya kufundishia "teaching subject" zaidi ya moja mfano English na kiswahili wakati mwalimu mwenye BED "Bacherol of Education" husomea masomo ya general education(philosophy of education, psychology, nutrition na mengineyo mengi) mengi kuliko mwenye BAED na somo la kufundishia moja tu na walimu hao ni mahususi sana kwa ajiri ya kuwa wakufunzi wa vyuo na maadminstrater wa elimu, kwa uhakika zaidi hembu angalia ajira zilizotoka folder la walimu wenye shahada walopelekwa vyuo vya ualimu utakuta sifa mojawapo ni kuwa wana BED! Mfano utakuta kaandikiwa BED kiswahili ina maana kasomea general education kwa sana somo la kufundishia moja tu la kiswahili Lakini BAED ni mahususi kwa walimu kwenda Sekondari ingawa hata wenye BED wanapelekwa sekondari kwa sababu tu kuwa vyuo ni vichache kuliko wanaohitimu BED na ndo maana kwa mwaka huu wameajiriwa vyuoni wakufunzi wenye BED kama 50 hivi na wengine wamepangwa sekondari
   
 5. Z

  Zechie Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wote maticha walikimbia shule zawagumu!Hawana lolote kutwa wanabishana nani zaidi!
   
 6. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  walimu hao..ila mmoja mwalimu zaidi.
   
 7. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  za wagumu ni zpi mkuu? Zile za kupasua kichwa badala ya mguu au?? Acha academic arrogance!!
   
 8. MAKULILO

  MAKULILO Member

  #8
  Feb 3, 2012
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 84
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 15
  Mkuu Ptz,

  Umemaliza kila kitu, umetoa maelezo ya kina na ya kitaaluma kuonesha utofauti uliopo kati ya BAED na BED.

  MAKULILO
   
 9. P

  Ptz JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 466
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Asante mkuu!
   
Loading...