Bado wapo wenye imani na CHADEMA?

Bado wapo wenye imani na CHADEMA?

Mimi CHADEMA nimekuwa nacho kwa muda mrefu sana

Na siwezi kuikacha CHADEMA asilani....Ninaipenda kwa dhati...Ni kitu muhimu sana kwangu...Sitakubali kukipoteza hata siku moja

Lije jua ...Ije Mvua nitasimama upande wa CHADEMA

Ingawa nimekuwa wazi sana kuwa Mbowe hatufai tena kama kiongozi wa chama hiki....Anakera sana tena sana

Why mtu unakuwa msanii na kushindwa kuongoza chama kusimamia yale tunayoyaamini?

Mwaka jana Mbowe na slaa walifanya Grave mistake ya kutuletea Lowasa kwenye chama chetu...Tukasema okay...its fine...Lets compromise...Tutavumilia hoping baada ya Uchaguzi tutaijenga Upya discipline ya Chama chetu

Matokeo yake Mbowe pasipo kufuata ushauri umekuwa ukirudia mbinu zilezile za siku zote ukitegemea matokeo tofauti

Mwenyekiti wetu tunamkubali sana na tunamheshimu kwa kazi aliyoifanya kwenye chama chetu..Lakini kwa sasa amechoka.....hana akili mpya ya kutupeleka mbele.,....chama kimemzidi uwezo......

Ni wakati sasa wa yeye kukaa pembeni ili chama kirudi kwa watu wenye mawazo mapya ya kutuvusha

Nashangaa Chama changu kuhangaika na Sijui UKUTA wakati root cause ya haya yote ni Katiba Mbovu tuliyonayo...Focus au pressure kubwa kwa sasa ilipaswa kuwa kule

Halafu Kwa akili za Ki mbowe atataka tuende Uchaguzi mwingine kwa katiba na sharia hizi zilizopo

CHADEMA has a lot of brains lakini inashindwa kuzitumia...Kuna smart MPs ...why hawatumiki>?
 
Tena wanaume wa Dar mnatakiwa mshkuru UKUTA umesababisha tarehe 1 september mfanyiwe kazi ya usafi wa mitaro na wanajeshi, kazi ambayo bila uwepo wa UKUTA mngeaifanya nyie.
Kwa hiyo wanaume wa Dar ni muhimu kuunga mkono "The Wall Mission"
Ndugu yangu kama JK alizoea kuwapa uhuru kama ule ambao babu anampa mjukuu wake kiasi cha kuchezea kidevu chenye mvi,this time better be careful. Hakuna tena muda wa siasa za kitoto. Badilisheni uongozi wa juu kabisa, ili muweze kuwa na watu wengi watakaozielewa vision zenu. Otherwise mnaeleka shimoni,
 
Niliwahi kuweka thread iliyowashauri CHADEMA wabadilishe uongozi wa juu kabisa licha ya kuweza kuongeza idadi ya wabunge. Walipata wabunge wengi kwa sababu Lowassa has a very powerful personality and not because Mbowe is a capable leader, that is all.
CHADEMA needs new blood at the very top, otherwise siwaoni wakiongeza idadi ya wabunge, come 2020.

Kwa hili nakubaliana na wewe..
 
Hawa CHADEMA ndo basi tena.

Naona wapo kwenye mwendokasi wa kuelekea kaburini.

Hii si mara yao ya kwanza kuwapandisha watu mzuka halafu wanaishia kubadili gia angani na kuwaacha watu wakining'inia.

Nani tena atawaamini hawa jamaa? Manake baada ya kuwaaminisha watu kwa miaka mingi kuwa Lowassa ni fisadi, matokeo yake ndo akaja kuwa mgombea wao. Mamlaka ya kimaadili ya kukemea ufisadi wakayapoteza.

Baada ya kuwapandisha watu mzuka wa UKUTA, leo wameufyata mbele ya Ngosha.

Sasa eti wametangaza hayo maandamano yatafanyika Oktoba mosi.

Watampata nani hiyo Oktoba mosi? Wake, waume, na watoto wao?

Wameishiwa kabisa. Hawana jipya tena. Hawana dira wala mwelekeo wowote ule.

Mtu afadhali unaweza kusema kuwa kabla ya ujio wa Lowassa kwamba watu walijua wanasimamia nini na wanasimama wapi.

Lakini leo hii nani anayejua wanachokisimamia? Nani anajua wanaposimama?

Walishindwa hata kuwashawishi wapinzani wenzao kuwaunga mkono ki hali na ki mali kwenye huo UKUTA wao. Wengine wakadiriki hadi kuwatakia kila la kheri na kuwaahidi kuchangia damu endapo wangehitaji baada ya kupokea kichapo cha vijana wa Ngosha.

Matokeo yake tingatinga limepita na kuusambaratishia mbali.

Wanahitaji uongozi mpya wenye maono mapya la sivyo wataenda bye bye for good.
Ukuta sio wa mbowe wala chadema. Ukuta ni wa watanzania wote..kama haujaridhishwa na mamuzi ya chadema..shika bango ingia mtaani...ukuta ni ideology
 
kama unauliza wangapi wanaimani na CHADEMA kisa wewe umekosa ulichotarajia kukiona ni ufinyu wa upembuzi wako,labda nikuulize wewe utaraji nini kama UKUTA ungekuwepo leo??
political is the game of chance,Sometimes you gotta play the roll of a fool to fool the fool who thinks they are fooling you
 
sijajua kama watabadilika ila ukweli unauma chadema imepoteza muelekeo isijasahihishe ....
Wa kujisahihisha ni wakanyaga katiba. Na kwa mashamushamu Mkulu na wenzie waliishaanza kuzungumzia mchakato wa kuleta 'katiba mpya'. Mmmh ili wapate kipya cha kusigina?
 
Hawa CHADEMA ndo basi tena.

Naona wapo kwenye mwendokasi wa kuelekea kaburini.

Hii si mara yao ya kwanza kuwapandisha watu mzuka halafu wanaishia kubadili gia angani na kuwaacha watu wakining'inia.

Nani tena atawaamini hawa jamaa? Manake baada ya kuwaaminisha watu kwa miaka mingi kuwa Lowassa ni fisadi, matokeo yake ndo akaja kuwa mgombea wao. Mamlaka ya kimaadili ya kukemea ufisadi wakayapoteza.

Baada ya kuwapandisha watu mzuka wa UKUTA, leo wameufyata mbele ya Ngosha.

Sasa eti wametangaza hayo maandamano yatafanyika Oktoba mosi.

Watampata nani hiyo Oktoba mosi? Wake, waume, na watoto wao?

Wameishiwa kabisa. Hawana jipya tena. Hawana dira wala mwelekeo wowote ule.

Mtu afadhali unaweza kusema kuwa kabla ya ujio wa Lowassa kwamba watu walijua wanasimamia nini na wanasimama wapi.

Lakini leo hii nani anayejua wanachokisimamia? Nani anajua wanaposimama?

Walishindwa hata kuwashawishi wapinzani wenzao kuwaunga mkono ki hali na ki mali kwenye huo UKUTA wao. Wengine wakadiriki hadi kuwatakia kila la kheri na kuwaahidi kuchangia damu endapo wangehitaji baada ya kupokea kichapo cha vijana wa Ngosha.

Matokeo yake tingatinga limepita na kuusambaratishia mbali.

Wanahitaji uongozi mpya wenye maono mapya la sivyo wataenda bye bye for good.

Mkuu kwani hujui kuwa maandamano yamefanyika kwa zaidi ya mwezi na ujumbe umefika na kupokelewa, vijana wetu wametufanyia kazi hiyo kwa umahiri mkubwa sana. Mwenye maacho haambiwa tazama, watanzania wameona na dunia imeona tulichokuwa tunalalamikia.
 
Mnh kila kitu viongozi wa dini?
Viongozi wa dini wamesema turudi bungeni
Viongozi wa dini wamesema tuahirishe ukuta.

Tehe tutasikia mengi kwa mgongo wa dini.
 
Mtoa mada we upo nje YA nchi kama unavyojinasibu siku zote,,,je! Ungeandamana nawewe au?naona km imekukera iyo ya maandamano kustopishwa mkuu Nyani Ngabu
 
umeshapanic.
huyo unayemuita DJ amewa-outsmart amewachezesha singeli kuanzia rais wako,polisi, jeshi na serikali kwa ujumla na bado mtasakata singeli mpaka mkome kwakuwa siasa za akili hamziwezi.
Sijapanic, ninawaonea huruma watoto wa masikini ambao wakipigwa virungu huwa hawana uwezo wa kwenda Aga Khana au TMJ au nje ya nchi kule Apollo India. Ninawaonea huruma kina Salim Mwalim, wanaoacha familia zao kwa sababu ya kuingizwa mkenge na huyo DJ. Ninamsikitia sana huyo mzee wa billicanas kwa sababu siasa zake za chuki na visasi, this time zimekula kwake mazima. Watatandikwa watoto wa masikini kwa sababu tu ya poor influence ya DJ, halafu kina Lynda Chalker wakija wanaishia kumpongeza JPM kwa mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi.
 
huna huruma wowote wewe ni mihemko inakusumbua.
Magufuli akipongezwa shangilieni na akikosolewa msilie-lie.
maandamano ya uvccm ya tarehe 31 mmeishia wapi??
 
Kwa hili nakubaliana na wewe..
Mkuu freeland, CHADEMA needs to go back to the drawing board. Mashinji might be having qualities of a good leader but his boss misses some useful skills. Na muda wa kufanya mabadiliko ya juu kabisa bado upo, kuna miaka minne mpaka ufanyike uchaguzi wa 2020.
 
huna huruma wowote wewe ni mihemko inakusumbua.
Magufuli akipongezwa shangilieni na akikosolewa msilie-lie.
maandamano ya uvccm ya tarehe 31 mmeishia wapi??
Kaka tafuteni uongozi mpya kabla ya 2020. Huyu mkazi wa pale magogoni wa sasa hana muda wa kunywa na mtu chai pale Ikulu, vikao vyake na wageni huwa havidumu kwa zaidi ya dakika ishirini. Badilikeni, siasa za humu JF na kule FB zitawapatia umaarufu wa bei rahisi sana.
 
Back
Top Bottom