Bado wapo wenye imani na CHADEMA?

Bado wapo wenye imani na CHADEMA?

Unaposema how much the government lost monentarily unakuwa na maana gani wakati pesa waliyotumia iko kwenye budget yao iliyopitishwa na bunge.

Inawezekana neno LOST katika muktadha huu lina maana nyingine unayoifahamu wewe ambayo haipo katika kamusi ya uchumi.

Sitaki niwabeze CHADEMA kwa uamuzi wao wa kusitisha maandamano na mikutano pamoja na kwamba walichukua jukumu ambalo lilikuwa ni kubwa zaidi ya uwezo wao kisiasa.

Ninawapongeza CHADEMA kwa uamuzi wa kusitisha oparesheni ya UKUTA.
October UKUTA watakuja tena Na mtindo huu, serikali itafanya Kama ilivyofanya this time, right? Then Chadema watakwepa virungu kwa kuahirisha maandamano tena. Wakati wote serikali wanapofanya move wanatumia time and money. You know that?
Unasema kuna budget ambayo imehalishwa Na bunge, Ni ipi hiyo, understand that Hii ni tanzania resources are so limited!

Tuseme serikali inaacha interference Na chadema wanafanya peaceful demo, serikali wanapoteza nini??
 
Hivi kweli unaamini Oktoba watarudia tena huu upuuzi?
 
I warned about that a few days ago...
As long as CCM itakuwepo, upinzani utakuwepo, that is chadema Na wengine. Kwetu sisi independent hata Kama one day opposition watachukua nchi, we gonna still criticize the sitting government if they are wrong!! Msumeno.
 
October UKUTA watakuja tena Na mtindo huu, serikali itafanya Kama ilivyofanya this time, right? Then Chadema watakwepa virungu kwa kuahirisha maandamano tena. Wakati wote serikali wanapofanya move wanatumia time and money. You know that?
Unasema kuna budget ambayo imehalishwa Na bunge, Ni ipi hiyo, understand that Hii ni tanzania resources are so limited!

Tuseme serikali inaacha interference Na chadema wanafanya peaceful demo, serikali wanapoteza nini??
Time and money kwa lipi wakati bunge limepitisha budget yao?

Bora angalau jeshi likafanya mazoezi ya ziada kuliko kukaa tu huku wakipokea mishahara na marupurupu.

Tuna jeshi ambalo kwa kiwango kikubwa wanashinda kwenye mess hall wakipiga soga kwa sababu hawana kazi za kufanya.
 
Baba wa maandamano walikuwa CUF.....CDM wanafiki mno.
 
IO sema mkuu, unaweza kusema ni serikali imegharimia sana hasa kama ungeweza kusema maandalizi yote yale ya serikali yasingefanyika wakati wa kuelekea Siku Kuu ya Majeshi (JWTZ). Ni wazi serikali na vikosi bado vingefanya maandalizi na labda baadhi ya maandalizi ambayo huwa wanafanya kimya kimya kama kawaida (na tunajua vikosi vyetu huwa wanafanya) waliamua kuyafanyia hadharani tu.. kwa hiyo hata kama kuna gharama ya nyongeza inaweza kuwa si kubwa kivile.

Lakini hata hivyo, kama kuna watu wameamua kutishia kupambana na serikali kwa namna ya "haturudi nyuma liwalo na liwe" vikosi vya usalama vilitarajiwa kufanya nini?

Binafsi ninachohofia ni kuwa labda sasa CHADEMA wenyewe wamempa nguvu zaidi Magufuli kuliko ambayo walidhani anayo...
You really love this government
Magufuli kapiga brake kwenye sikukuu zote kwa ajili ya gharama, hili kweli hujaona?
 
October UKUTA watakuja tena Na mtindo huu, serikali itafanya Kama ilivyofanya this time, right? Then Chadema watakwepa virungu kwa kuahirisha maandamano tena. Wakati wote serikali wanapofanya move wanatumia time and money. You know that?
Unasema kuna budget ambayo imehalishwa Na bunge, Ni ipi hiyo, understand that Hii ni tanzania resources are so limited!
Tuseme serikali inaacha interference Na chadema wanafanya peaceful demo, serikali wanapoteza nini??
NDOTO!!!
kuna wanachama walikuwa na vurugu kama CUF
ulizia Mwembechai, ulizia Pemba walipokimbilia Mombasa
achana na siasa Serikali inayoshika madaraka kujilinda ndiko huko kwa gharama yoyote
CUF ya Mapalala sasa ilo wapi km CUF Maalim Seif na CUF Lipumba utapata nini hapo
 
You really love this government
Magufuli kapiga brake kwenye sikukuu zote kwa ajili ya gharama, hili kweli hujaona?

Nimeona lakini labda naangalia kwa tofauti tu; gharama zipo na kwa kawaida gharama zinaendelea kuwepo. Hoja ni kama kweli gharama zilizotumika ni kubwa mno kuliko ambavyo ilipangwa kutumika kama kusingekuwepo na mpango wa mgongano wa maandamano. Hatuwezi tu kusema ni "gharama kubwa" bila hata kuwa na baseline ya kusemea hivyo ni nini.

Naweza kukubali tu zinaweza kuwa zimeongezeka kidogo lakini siwezi kuwa na ujasiri wa kusema ni gharama kubwa mno kuliko ambavyo zingekuwepo kama majeshi yangefanya mipango yake na mazoezi yake ya kawaida. Kwa mfano, polisi kutembea au kufanya mazoezi mbele ya hadhara ambayo huwa wanafanya kambini (na najua huwa wanafanya mazoezi kama haya mara kwa mara) kutakuwa na gharama gani kubwa ukiondoa ya kuwasafirisha?

Nadhani hata tunapotaka kuikosoa serikali tufanye hivyo tukiwa na sense of fairness.
 
Hawa CHADEMA ndo basi tena.

Naona wapo kwenye mwendokasi wa kuelekea kaburini.

Hii si mara yao ya kwanza kuwapandisha watu mzuka halafu wanaishia kubadili gia angani na kuwaacha watu wakining'inia.

Nani tena atawaamini hawa jamaa? Manake baada ya kuwaaminisha watu kwa miaka mingi kuwa Lowassa ni fisadi, matokeo yake ndo akaja kuwa mgombea wao. Mamlaka ya kimaadili ya kukemea ufisadi wakayapoteza.

Baada ya kuwapandisha watu mzuka wa UKUTA, leo wameufyata mbele ya Ngosha.

Sasa eti wametangaza hayo maandamano yatafanyika Oktoba mosi.

Watampata nani hiyo Oktoba mosi? Wake, waume, na watoto wao?

Wameishiwa kabisa. Hawana jipya tena. Hawana dira wala mwelekeo wowote ule.

Mtu afadhali unaweza kusema kuwa kabla ya ujio wa Lowassa kwamba watu walijua wanasimamia nini na wanasimama wapi.

Lakini leo hii nani anayejua wanachokisimamia? Nani anajua wanaposimama?

Walishindwa hata kuwashawishi wapinzani wenzao kuwaunga mkono ki hali na ki mali kwenye huo UKUTA wao. Wengine wakadiriki hadi kuwatakia kila la kheri na kuwaahidi kuchangia damu endapo wangehitaji baada ya kupokea kichapo cha vijana wa Ngosha.

Matokeo yake tingatinga limepita na kuusambaratishia mbali.

Wanahitaji uongozi mpya wenye maono mapya la sivyo wataenda bye bye for good.
Unataka tumwamini nani zaidibya Chadema, kwa lipi jema, ??? Serikali ya viwanda vya matamko??
 
Unataka tumwamini nani zaidibya Chadema, kwa lipi jema, ??? Serikali ya viwanda vya matamko??
katuni.jpg
 
Nimeona lakini labda naangalia kwa tofauti tu; gharama zipo na kwa kawaida gharama zinaendelea kuwepo. Hoja ni kama kweli gharama zilizotumika ni kubwa mno kuliko ambavyo ilipangwa kutumika kama kusingekuwepo na mpango wa mgongano wa maandamano. Hatuwezi tu kusema ni "gharama kubwa" bila hata kuwa na baseline ya kusemea hivyo ni nini.

Naweza kukubali tu zinaweza kuwa zimeongezeka kidogo lakini siwezi kuwa na ujasiri wa kusema ni gharama kubwa mno kuliko ambavyo zingekuwepo kama majeshi yangefanya mipango yake na mazoezi yake ya kawaida. Kwa mfano, polisi kutembea au kufanya mazoezi mbele ya hadhara ambayo huwa wanafanya kambini (na najua huwa wanafanya mazoezi kama haya mara kwa mara) kutakuwa na gharama gani kubwa ukiondoa ya kuwasafirisha?

Nadhani hata tunapotaka kuikosoa serikali tufanye hivyo tukiwa na sense of fairness.
MWKJJ
Believe me Kama chadema watakuja Na strategy Na kudefine goals zao, Mara mbili au tatu Na serikali kucheza muziki huu huu, at the end of the day,( as chadema wataenfelea) serikali itachoka kwa sababu gharama zitakuwa kubwa, credibility itapotea Na chadema wata triumph
 
Chadema ni watu wa kubadili gia popote hata chooni. Si viongozi tu hata wafuasi nao pia wanabadili gia popote. Kwa hiyo bado wafuasi wa chadema wanaimani nayo washabasili gia. Ilianza uchaguzi mkuu, walishindwa ila wakabadili gia wakasema wameshinda wao, ika mkutano wa ccm Dom wakatuaminisha hautofanyika watauzia, wakashindwa mkutano ukafanyika na wafuasi wakabadili gia ukumbini wakadai wameshinda wao. Sasa kimbembe kikaja kushika ukuta, wakasema ukuta lazima, kuna amabao walijitolea kufa, wengine wakajifanya yesu nk, ukuta ukashindikana wafuasi wa cdm wamebadili gia choomi nakusema wameshinda wao kwa kuwa majeshi yamefanya mazoezi. Mboa amefundisha cdm kubadili gia popote, cdm hawakubali kushindwa hata siku moja, wakishindwa wanabadili gia wamashimda wao
 
Na mnukuu mnyika kuwa ukuta upo pale pale nimeanza kupoteza imani na hawa jamaa
Kwani unapo ongea baaday ukashindwa kutimiza azima yako sasa unakuwa mtu mnafiki
 
whatever,serikali imechezwa mdumange kweli inaua nzi kwa bastola
 
CUF labda Zanzibar... huku bara naona kitasubiri sana.
CHADEMA wanatuchelewesha sana kwenye ukombozi! FANYA uchunguzi wako huru please

Hawa ni CCM B kwa sasa!Basi twende hata na Zitto 2020
 
Back
Top Bottom