Bado unawaza utaanzaje ujenzi? Anza na hii kwa mchanganuo huu

Watu wanabisha kwenye kunyanyua level ya kupaua kwa 7m

Unajua haya mambo yanategemea vitu vingi sana, mfano. Ikiwa kiwanja kipo tambarare (kipo usawa unaolingana) tofali hazitaenda nyingi kwenye msingi.

Tofauti ya kwanza kwenye gharama inaanzia hapo. Mwingine atatumia tofali 2000 kwa msingi pekee huku mwingine akifukia tofali hadi 3000.

Tunakuja kwenye nondo za lenta na mkanda baada ya msingi. Kuna watu wanaweka nondo moja, wengine tatu na wengine nne. Hapo gharama zitatofautiana tu.

Fundi wa ujenzi anakula ngapi hapo kati ya hiyo 7M ili ibaki ya tofali, cement, kokoto, nondo, maji na mbao za kukodi?
 

Mh! Hapo kwa hiyo nyumba bati running meter ngapi? Na bei ya meter moja Sunshine ni kiasi gani kwa gauge 28?

Hizo mbao kwa bati la contemporary sawa, ila hizi bati za kuinuka juu zinaenda mbao nyingi sana. Naona kama makadirio yapo chini.

Lakini inawezekana una uzoefu na kujua maeneo vitu vinapatikana kwa bei nzuri.

Sio kwa vile mwingine alipigwa basi ndio bei ya vitu ilivyo. Kufanya utafiti kabla ya kununua vitu inaepusha gharama zinazoepukika.
 
Mahesabu ya vifaa yako juu sana mfano hizo nondo 70 kwenye nyumba ya chini kama hiyo zinakaa wapi au ndio unajilipa kwenye vifaa
 
Kwa haraka haraka tu, mchanga wa laki 3 hauwezi jenga hiyo nyumba yote...(at least kwa mkoa kama Dar)

Labda utueleze wingi/ujazo wa mchanga wa laki tatu kwa huko ulipo...
 
Kwa haraka haraka tu, mchanga wa laki 3 hauwezi jenga hiyo nyumba yote...(at least kwa mkoa kama Dar)

Labda utueleze wingi/ujazo wa mchanga wa laki tatu kwa huko ulipo...

Mfano mkoa wa tanga wilaya x tipa la mchanga ni elfu 70
 
Upo sahihi Chief.

Gharama Ya fundi haipo kwenye hiyo 7m, wala kwenye upauaji, nimeeleza hapo
 
Kwa haraka haraka tu, mchanga wa laki 3 hauwezi jenga hiyo nyumba yote...(at least kwa mkoa kama Dar)

Labda utueleze wingi/ujazo wa mchanga wa laki tatu kwa huko ulipo...
Upo sahihi boss, kuna wengine mchanga wanaupata bure kabisa kwenye viwanja vyao.
Ila hizo hesabu hazihusishi finishing ( so huo mchanga ni kwa ujenzi wa structure tu)
 
Mchanganuo huu ni nyumba kubwa kiasi gani/vyumba vingapi?
 
Umetisha mzee so hapo m15 nilismaliza boma ni kuweka grils nahamia
 
Shukran mkuu kwa huu mchanganuo mzuri
 
je kwa sunshre gej 30 migongo midogo bei gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…