Queen Horse
JF-Expert Member
- Sep 12, 2013
- 414
- 317
Kama unataka PM we jidai dem halafu utaona zitakavyojaa!
Mbona mi cipati au nijidai man
Kama unataka PM we jidai dem halafu utaona zitakavyojaa!
Mbona mi cipati au nijidai man
Mi sizitaki we unazitaka kweli tunatofautianaa!!!!
Uwe unaandika mapoint ya ukweli halaf na kiingreza kingi mbona utawakamataa tu!!!!!
Mweeeeee huu ushauri ayayayaya, plpl ipi sasa? Capscum au hot chill, utasaidia wengi
Hahahaha zako hajibu halafu anakimbilia kumkarimu mwinginePM zangu mbona hujibu?
Hahahaha zako hajibu halafu anakimbilia kumkarimu mwingine
Tangaza nia uone zinavyomiminikaMbona mi cipati au nijidai man
yaani unavojitaja kuwa ni mvulana ushajitoa maksi
Pilipili mbuzi au kichaa
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Una maana sie tuliyopishana na kingeleza hapa tutazeekea tunapiga punyeto?
PM zangu mbona hujibu?