Bado sijapata hata wa kuni-PM

Bado sijapata hata wa kuni-PM

nddio mimi ni mvulana na wewe ni msichana au?

hahahahaaaaa!!! kumbe wewe ni mvulana? ok, samahani bana nimepaliwa, unajua kwenye uvulana kuna mengi sana yanayopitiwa,

mojawapo ni hii stage ya foolish age ambayo nadhani ni moja kati ya chronic probleem why boys get lost into the jungle of problems.. hasa sex hii unayoililia wewe....

sikiliza nikwambie, kama wewe bado uko shule, achana na mchezo mbaya wa wanawake na wasichana, stick kwanza kwenye masomo yako.. utafanikiwa!

hivi si umeona division 0 ya point 49?

hii ni hatari sana kwa taifa mdogo wangu, usililie wanawake wala watu wa kukupm, lengo la kuwa jf si kutumiana pm! hii sio facebook wa badoo.. huu ni mandao wa watu ambao wanakutana na kupeana mawazo ya kiutu uzima.. mawazo yanayojenga, si kubomoa..

kauli mbiu ya hapa, ni kwamba unaongea openly, critically thinking... without breaking laws and regulations.. jf ni kama nchi vile! ina kila kitu ndani..

by the way, kuhusu avatar... unaweza kuiacha hiyo, kitakachoku-determine, ni wewe sasa utakavyokuwa unaongea hapa jamvini..

kuhusu mimi, MIMI NI MWANAUME WA SHOKA...
 
Kumbe raha ya jf ni pm? Sijapata pm mwezi sasa na bado naenjoy kila nukta niwapo humu.
 
Kwani kumbe wengine humu wanatafuta?
Mi sikulijua hili, mi nilijua ni sehem ya kujadili mambo bila ya kumfahamu mtu halisi na hivyo kuwa wazi kimawazo na kimtazamo
Kumbe ni pahala pa kutafutia....dah jameni!!!!!
Kwani mitaani huko hakuna, au facebook au eskimi au badoo au watsap. Pole.
 
hahahahaaaaa!!! kumbe wewe ni mvulana? ok, samahani bana nimepaliwa, unajua kwenye uvulana kuna mengi sana yanayopitiwa,

mojawapo ni hii stage ya foolish age ambayo nadhani ni moja kati ya chronic probleem why boys get lost into the jungle of problems.. hasa sex hii unayoililia wewe....

sikiliza nikwambie, kama wewe bado uko shule, achana na mchezo mbaya wa wanawake na wasichana, stick kwanza kwenye masomo yako.. utafanikiwa!

hivi si umeona division 0 ya point 49?

hii ni hatari sana kwa taifa mdogo wangu, usililie wanawake wala watu wa kukupm, lengo la kuwa jf si kutumiana pm! hii sio facebook wa badoo.. huu ni mandao wa watu ambao wanakutana na kupeana mawazo ya kiutu uzima.. mawazo yanayojenga, si kubomoa..

kauli mbiu ya hapa, ni kwamba unaongea openly, critically thinking... without breaking laws and regulations.. jf ni kama nchi vile! ina kila kitu ndani..

by the way, kuhusu avatar... unaweza kuiacha hiyo, kitakachoku-determine, ni wewe sasa utakavyokuwa unaongea hapa jamvini..

kuhusu mimi, MIMI NI MWANAUME WA SHOKA...

umemaliza hakuna swali!
 
Dah.... Kweli tunatofautiana, mie inbox yangu huwa inajam kwa kujaa PM... Lol!!!

Jerrymsigwa saiv pm zimepungua unaweza kuni PM sasa....
 
Last edited by a moderator:
Sasa si uweke picha kama unavutia pm zimiminike haijalishi ni ke/me,jalibu uone
 
Analipa bana, sema wadada wa humu hawajamfahamu tu... Au sio???

relaxing-black-man-full-body-african-american-formal-clothes-sitting-sand-32696006.jpg

KNY: #TeamWekaPicha ....
 
Aisee unapenda pm.. Pm me and i will pm u back
 
Back
Top Bottom