Bado mpo mnaolitegemea jeshi kuchukua nchi tarehe 29? 😂

Nyani Ngabu Jeshi Lina watu wa Kila namna hao average ndio unakutana nao zaidi mtaani wanalinga na Gwanda zao za Mboga Mboga ila Information za Jeshi nyingi ni Highly classified we unakutana na dogo ametoka Kuruta uko na Ni form four tu then akaingia Jeshini anatoa wapi ufahamu wa aircraft carriers au Budget za Jeshi zaidi ya kuona ufahari tu kuvaa Gwanda?
 
Kinachokwenda kutokea.

Wananchi wanatoka barabarani.

Askari wanaanza kuwazuia kwa maji washa, risasi, tear gas na mabomu ya sauti.

Wananchi wana resist.

Jeshi linanunua ugomvi, askari wana surrender.

Hakuna cha aircraft carriers, hizo aircraft carriers hata Russia ipo moja, zingekuwepo Tanzania wangezifahamu.
 
Nyani Ngabu Jeshi Lina watu wa Kila namna hao average ndio unakutana nao zaidi mtaani wanalinga na Gwanda zao za Mboga Mboga ila Information za Jeshi nyingi ni Highly classified we unakutana na dogo ametoka Kuruta uko na Ni form four tu then akaingia Jeshini anatoa wapi ufahamu wa aircraft carriers au Budget za Jeshi zaidi ya kuona ufahari tu kuvaa Gwanda?
Umewahi kumsikia CDF akiongea?
 
Hayawi hayawi yanakuja kuwa.

Zimebaki siku tatu tu siku ya siku kuwadia.

Wachache wetu tuliwaambia kuwa mnajipa matumaini hewa tu.

JWTZ kamwe haliwezi kuipindua serikali ya CCM kwa sababu:

1. JWTZ ni majuha.
Hakuna lolote wanalolielewa kuhusu mambo yanayoendelea nchini. Hawajui chochote kuhusu ubovu wa katiba, utawala mbovu, n.k.

Mfano wa ujuha wa JWTZ: kuna siku nilimuuliza afisa mmoja wa hilo jeshi kuhusu aircraft carriers. Nikamwuliza Tanzania tunazo ngapi? Akasema ‘blaza’ hizo zipo kwenye maeneo yote ya mipakani mwa nchi 😂😂.

Nilimwuliza hilo swali kwa sababu alikuwa anazisifia sana silaha za jeshi. Alikuwa anadai JWTZ ina silaha hatari sana.

Mimi nikajaribu ku reason naye kwa kumwuliza kuhusu bajeti yetu ya ulinzi, kuhusu silaha zinazotengenezwa Tanzania kwa kutumia viwanda na wataalamu wa Kitanzania, na kadhalika.

Badala ya kunijibu maswali yangu, ambayo sidhani kama aliyaelewa, yeye akawa anazungumzia uhatari wa silaha walizonazo [ambazo ni za kizamani].

Dunia inakoelekea sasa hivi binadamu watakuwa hawaendi vitani tena. Yatakuwa maroboti huko kwenye medani za kivita. Madege yasiyo na rubani, nyambizi zisizo na wanamaji, ufyatuzi wa makombora yanayoweza kufika popote pale duniani na yakapiga shabaha kwa usahihi wa hali ya juu, na kadhalika.

Sasa unaweza kusema, ‘Ngabu, huyo ni mtu mmoja tu umeongea naye kuhusu hayo mambo yanayoendelea nchini kijeshi. Wote hawako hivyo’.

Ni kweli kabisa. Wote hawako hivyo. Huyo niliyeongea naye ndo mwenye nafuu. Hao wengine hata kuongea nao mambo ya maana haiwezekani.

2. Hao wachache waliobaki wenye ‘below average IQ’, wameshaonjeshwa asali ya ufisadi.

Hawawezi kufanya wala kusema chochote. Hawawezi wakaukata mkono unaowalisha.

Bila ya kuwa jeshini, hawana uwezo mwingine wowote ule ambao ungewapa fursa ya kushamiri.

3. Kwa kuzingatia hayo niliyoyasema kwenye 1 na 2, nadhani naweza kusema kwa uhakika mkubwa kabisa kuwa sisi hatuna jeshi la wananchi.

Lililopo ni jeshi la kulinda maslahi ya viongozi wa CCM na serikali yao.

Hivyo, kutegemea msaada kutoka kwenye jeshi la kulinda na kutetea maslahi ya CCM, ni kupotoka.

Huo ndo ukweli, hata kama ni mchungu kuukubali.

Btw, Kapteni Tesha kaja akapita tu kama upepo na akapotea mazima 😂.

Au bado mna matumaini kuwa atarudi?
Tanzania haina Jeshi la kuchukua nchi. Yaani kwamba Jeshi linaogopa k8asi linategemea kujificha migongoni mwa raia?

Kama Jeshi halioni kama linawajibika kuchukua hatua basi wajue jeshi ni sehemu ya waliopo madarakani, na litaendelea kupokea maelekezo kutoka kwenye Chama na hivi sasa Mwenyekiti wa Chama ni mama, Katibu ni mama halafu Mwenezi naye ni sindano inayochoma huku inaungizwa uzi, hapo watu wafanye maamuzi yao, kujipigania au kuendelea kutawaliwa, lakini si kwa k6danganyana eti kuna Jeshi la kuwaunga mkono.

Kingine maandamano lazima ya focused, hauwezi ukawa na maandamano ya nchi nzima kwa wakati mmoja, kwa li nchi likyvwa kama hilo
 
Humu JF kuna wapumbavu wengi mno, ukiwaambia ukweli wanakuona adui au n mwanaccm.

Na mm nasema hv 'watanganyika sisi ni nyumbu, hakuna nyumbu yeyote atakayeandamana na ccm ipo pale kuendelea kutunyoosha'
Basi furahia kuendelea kunyooshwa na hao ccm..nyie ndo mnatoa ndogo baada ya kunogewa mnajitangaza kabisa kama unkle T
 
Nyani Ngabu Jeshi Lina watu wa Kila namna hao average ndio unakutana nao zaidi mtaani wanalinga na Gwanda zao za Mboga Mboga ila Information za Jeshi nyingi ni Highly classified we unakutana na dogo ametoka Kuruta uko na Ni form four tu then akaingia Jeshini anatoa wapi ufahamu wa aircraft carriers au Budget za Jeshi zaidi ya kuona ufahari tu kuvaa Gwanda?
Sasa wewe una amini Tanzania tuna Aircraft carriers? Achaga masihara basi
 
Hayawi hayawi yanakuja kuwa.

Zimebaki siku tatu tu siku ya siku kuwadia.

Wachache wetu tuliwaambia kuwa mnajipa matumaini hewa tu.

JWTZ kamwe haliwezi kuipindua serikali ya CCM kwa sababu:

1. JWTZ ni majuha.
Hakuna lolote wanalolielewa kuhusu mambo yanayoendelea nchini. Hawajui chochote kuhusu ubovu wa katiba, utawala mbovu, n.k.

Mfano wa ujuha wa JWTZ: kuna siku nilimuuliza afisa mmoja wa hilo jeshi kuhusu aircraft carriers. Nikamwuliza Tanzania tunazo ngapi? Akasema ‘blaza’ hizo zipo kwenye maeneo yote ya mipakani mwa nchi 😂😂.

Nilimwuliza hilo swali kwa sababu alikuwa anazisifia sana silaha za jeshi. Alikuwa anadai JWTZ ina silaha hatari sana.

Mimi nikajaribu ku reason naye kwa kumwuliza kuhusu bajeti yetu ya ulinzi, kuhusu silaha zinazotengenezwa Tanzania kwa kutumia viwanda na wataalamu wa Kitanzania, na kadhalika.

Badala ya kunijibu maswali yangu, ambayo sidhani kama aliyaelewa, yeye akawa anazungumzia uhatari wa silaha walizonazo [ambazo ni za kizamani].

Dunia inakoelekea sasa hivi binadamu watakuwa hawaendi vitani tena. Yatakuwa maroboti huko kwenye medani za kivita. Madege yasiyo na rubani, nyambizi zisizo na wanamaji, ufyatuzi wa makombora yanayoweza kufika popote pale duniani na yakapiga shabaha kwa usahihi wa hali ya juu, na kadhalika.

Sasa unaweza kusema, ‘Ngabu, huyo ni mtu mmoja tu umeongea naye kuhusu hayo mambo yanayoendelea nchini kijeshi. Wote hawako hivyo’.

Ni kweli kabisa. Wote hawako hivyo. Huyo niliyeongea naye ndo mwenye nafuu. Hao wengine hata kuongea nao mambo ya maana haiwezekani.

2. Hao wachache waliobaki wenye ‘below average IQ’, wameshaonjeshwa asali ya ufisadi.

Hawawezi kufanya wala kusema chochote. Hawawezi wakaukata mkono unaowalisha.

Bila ya kuwa jeshini, hawana uwezo mwingine wowote ule ambao ungewapa fursa ya kushamiri.

3. Kwa kuzingatia hayo niliyoyasema kwenye 1 na 2, nadhani naweza kusema kwa uhakika mkubwa kabisa kuwa sisi hatuna jeshi la wananchi.

Lililopo ni jeshi la kulinda maslahi ya viongozi wa CCM na serikali yao.

Hivyo, kutegemea msaada kutoka kwenye jeshi la kulinda na kutetea maslahi ya CCM, ni kupotoka.

Huo ndo ukweli, hata kama ni mchungu kuukubali.

Btw, Kapteni Tesha kaja akapita tu kama upepo na akapotea mazima 😂.

Au bado mna matumaini kuwa atarudi?
Kwenye tensions za kisiasa, military intervention huja kama last resort, kuokoa jahazi lililo na kila dalili ya kuzama.

Kama tunataka hilo litokee, civilians lazima waliamshe dude kama civilians wa Nepal, Madagascar, Egypt, etc walivyoliamsha. Short of that, hakuna sababu ya kuamini kwamba Jeshi linaweza kuwa karata ya wananchi kufurusha political thugs!
 
Hayawi hayawi yanakuja kuwa.

Zimebaki siku tatu tu siku ya siku kuwadia.

Wachache wetu tuliwaambia kuwa mnajipa matumaini hewa tu.

JWTZ kamwe haliwezi kuipindua serikali ya CCM kwa sababu:

1. JWTZ ni majuha.
Hakuna lolote wanalolielewa kuhusu mambo yanayoendelea nchini. Hawajui chochote kuhusu ubovu wa katiba, utawala mbovu, n.k.

Mfano wa ujuha wa JWTZ: kuna siku nilimuuliza afisa mmoja wa hilo jeshi kuhusu aircraft carriers. Nikamwuliza Tanzania tunazo ngapi? Akasema ‘blaza’ hizo zipo kwenye maeneo yote ya mipakani mwa nchi 😂😂.

Nilimwuliza hilo swali kwa sababu alikuwa anazisifia sana silaha za jeshi. Alikuwa anadai JWTZ ina silaha hatari sana.

Mimi nikajaribu ku reason naye kwa kumwuliza kuhusu bajeti yetu ya ulinzi, kuhusu silaha zinazotengenezwa Tanzania kwa kutumia viwanda na wataalamu wa Kitanzania, na kadhalika.

Badala ya kunijibu maswali yangu, ambayo sidhani kama aliyaelewa, yeye akawa anazungumzia uhatari wa silaha walizonazo [ambazo ni za kizamani].

Dunia inakoelekea sasa hivi binadamu watakuwa hawaendi vitani tena. Yatakuwa maroboti huko kwenye medani za kivita. Madege yasiyo na rubani, nyambizi zisizo na wanamaji, ufyatuzi wa makombora yanayoweza kufika popote pale duniani na yakapiga shabaha kwa usahihi wa hali ya juu, na kadhalika.

Sasa unaweza kusema, ‘Ngabu, huyo ni mtu mmoja tu umeongea naye kuhusu hayo mambo yanayoendelea nchini kijeshi. Wote hawako hivyo’.

Ni kweli kabisa. Wote hawako hivyo. Huyo niliyeongea naye ndo mwenye nafuu. Hao wengine hata kuongea nao mambo ya maana haiwezekani.

2. Hao wachache waliobaki wenye ‘below average IQ’, wameshaonjeshwa asali ya ufisadi.

Hawawezi kufanya wala kusema chochote. Hawawezi wakaukata mkono unaowalisha.

Bila ya kuwa jeshini, hawana uwezo mwingine wowote ule ambao ungewapa fursa ya kushamiri.

3. Kwa kuzingatia hayo niliyoyasema kwenye 1 na 2, nadhani naweza kusema kwa uhakika mkubwa kabisa kuwa sisi hatuna jeshi la wananchi.

Lililopo ni jeshi la kulinda maslahi ya viongozi wa CCM na serikali yao.

Hivyo, kutegemea msaada kutoka kwenye jeshi la kulinda na kutetea maslahi ya CCM, ni kupotoka.

Huo ndo ukweli, hata kama ni mchungu kuukubali.

Btw, Kapteni Tesha kaja akapita tu kama upepo na akapotea mazima 😂.

Au bado mna matumaini kuwa atarudi?

Na bado
 
Bado mpo mnaolitegemea jeshi?

Bado mpo mlio na imani na huyo mkuu wa jeshi?

Mimi ongea yake tu tayari inanipa kiwango cha akili alizonazo.

Hamna kitu kabisa hapo.

Niliwaambia mapema kuhusu hilo jeshi.
 
Am very dissapointed na hili jeshi kumbafu. We are on our own and ccm must go
 
Back
Top Bottom