tarehe 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. passioner255

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kusema CCM Tarehe 29 Oktoba 2025 ndiyo iliyoua watu?

    baada ya kada wa CCM kusema vyombo vyote vya dola ni mali ya chama ni uthibitisho kuwa walimwaga damu za watanganyika tarehe29. hapo ndipo umuhimu wa katiba mpya unapokuja ili kuimarisha utawala wa kisheria.damu za watu itawaangusha CCM.
  2. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Sioni uwezekano wa watu kuandamana tarehe 29 October

    Maandamo yaliyofanyika tarehe 29 October 2025 yalifanikiwa kufanyika kwa sababu maandamano yalikuwa yameunganishwa na tukio kubwa la kitaifa ambalo ni uchaguzi. Kwa kuwa 29 Oktoba ndiyo ilikuwa siku ya uchaguzi, watu wengi walikuwa tayari wako nje ya nyumba zao, vituo vya kupigia kura na...
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa Zambia, Brian Mundubile, ameibua madai mazito akisema: “Zambia siyo Tanzania

    Mgombea Urais wa Zambia, Brian Mundubile, ameibua madai mazito akisema: “Zambia siyo Tanzania” na kuonya dhidi ya kujaribiwa kuingizwa kwa mbinu alizozitaja kama “Tanzanian tactics” katika uchaguzi wa Zambia. Kauli hiyo inakuja wakati Tume ya Uchaguzi ya Zambia iliposimamisha kwa muda zoezi la...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati ukikaa na kukumbuka kwamba serikali ilitoa amri ya kuwaua raia wake tarehe 29 Oktoba, unaishiwa pawa

    Kuna wakati ukikaa na kukumbuka kwamba serikali ilitoa amri ya kuwaua raia wake tarehe 29 Oktoba, unaishiwa nguvu. Je, nyinyi mawazo haya hayawajii tena? Au ni mimi tu ambaye kuna wakati ninakuwa nimetulia, halafu nakumbuka kwamba serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilitoa amri ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nchimbi unawatakia nini vijana ? Ya tarehe 29 uliyakalia kimya unataka vijana waingie barabarani kwa ulinzi upi ?

    Na katika hali ya sasa katiba imeshindikana kabisa kupatikana kwa njia ya kidiplomasia Kwa muda mrefu zimekuwa ni sinema zetu za kujirudia Vijana wengi sana tumewapoteza waliouwa wakitaka katiba mpya na kilele kilikuwa ni October 29 Je muda huo Nchimbi alikuwa wapi akikemea ? ndie anataka...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tarehe 29 Oktoba 2025 haitasahaulika. Ujumbe kwa Samia na CCM

    CCM na huyo Samia wao, wametenga hela nyingi kwa Content Creators ili wawe wanahoji mambo ya kijinga ili kuwasahaulisha watu Ugumu wa maisha, Ripoti ya CAG na Mauaji waliyofanya tarehe 29 Oktoba 2025 walipokuwa wanalazimisha kuongoza Nchi. Hii Video ni Ushahidi kwamba tarehe 29 Oktoba 2025...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani kwa Lissu kusema "watakinukisha" CHADEMA tarehe 29 Oktoba ili kitoe harufu yake nzuri Watanzania wote waisikie?

    Mie nashindwa kuwaelewa watu. Wanasema eti Lissu alisema "tutakinukisha" Sasa tatizo liko wapi? Je wanajua Lissu alisema watakinukisha kitu gani? Kukinukisha kitu ni kukifanya kitoe harufu nzuri au mbaya. Sasa hawa watu wanashindwaje kuelewa kwamba Lissu alimaanisha watakinukisha Chadema ili...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyotokea Oktoba 29 hayawezi kusahulika kiurahisi, sawa na kusema tusahau biashara ya utumwa

    Hawa Viongozi wa CCM siyo wa kuwasikiliza wala kuwaamini wote lao ni moja na ndiyo walioiba kura katika uchaguzi wa Oktoba 29 na wakawaua watanganyika ambao hawakuwa na silaha. Hivi unamwambia mtu asahau aliyeuliwa ndugu yake mkashindwa kumpa maiti yake inaingia akilini kweli?Tena waliouliwa na...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wazee wanatoa maazimio yao juu ya kilichotokea tarehe 29 Oktoba

    https://www.youtube.com/live/EJPutwDEwWI MAAZIMIO YA MAZUNGUMZO YAWAZEE KUHUSU UJENZI WA AMANI, UMOJA NA HAKI NCHINI TAREHE: 22 JANUARI 2026 MAHALI: DARES ES SALAAM, UKUMBI WA MWALIMU NYERERE FOUNDATION Imewasilishwa na: Mzee Joseph W. Butiku, M/Kiti Bodi ya Wadhamini,Mwalimu Nyerere...
  10. passioner255

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hakuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha mauaji ya tarehe 29

    Hakuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha mauaji ya tarehe 29.Habari njema ni kwamba Mungu amesikia sauti ya vilio vya watanzania waliouawa pamoja na vilio vya ndugu zao.Hukumu ipo tayari kwa wauaji wote kuanzia juu.
  11. D

    JamiiForums Tanzania ITV: Waliopigwa risasi na kuuwawa mnamo tarehe 29 Oktoba 2025 hawakuwa waandamaji - Tume ya Jaji Chande

    Nipo hapa napata Moja baridi na Moja baridi nchi jirani huku nikofuatilia ITV HABARI kupitia YOUTUBE, huyu mtangazaji wa ITV anayeitwa Asiraji Mvungi, ameripoti Kwamba Tume ya Jaji Chande imekutana na wahanga na waathirika wa vurugu baada ya uchaguzi, na waathirika hao wamemwambia Jaji Chande...
  12. passioner255

    JamiiForums Tanzania Mungu amesikia vilio vya damu zilizomwagwa tarehe 29

    Kama ambavyo Abel alivyomlilia Mungu damu yake ilivyomwagwa na Cain, ndivyo hivyo damu za watanzania zaidi ya elfu 10 waliokuwa wanadai Tanzania bora vilimlilia Mungu. Kama ambavyo Mungu alivyosikia kilio cha Abel vivyo hivyo kwa watanzania. God'sJustice is inevitable and it is comming.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tukio la tarehe 29 0ctobar limehamishia Siasa majumbani na kwenye familia

    Zamani magroup ya uko tulikuwa tunazungumzia mambo ya kifamilia,kama misiba,harusi na mengineyo, lakini sasa hivi mjadala mkubwa ni Siasa na wengi hawampendi Mama
  14. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nini kilitokea Tanzania tarehe 29 Oktoba 2025? Huu hapa mtazamo binafsi wa Likud.

    Nitaeleza kwa kwa ufupi kabisa na kwa lugha nyepesi ambayo hata kilaza kama popoma anaweza kuelewa. Kilicho tokea Tanzania hiyo tarehe 29 Oktoba 2025 ni UPEPO MBAYA period. Kwa vilaza 👇👇👇 Tanzania ilikumbwa na UPEPO MBAYA hiyo tarehe 29 OKTOBA 2025. Upepo huo mbaya ukawa reflected kwenye...
  15. Gengis Khan wa Jf

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mange alituaminisha kuwa Oktoba 29 kuwa Jeshi na polisi wote wapo kwetu sisi tutoke tu kisha wao wamalize

    Mzuka wana Jamvi ? Nakumbuka siku karibia na October 29 Mange alituhakikishia kuwa tusiliangushe Jeshi na kwamba vyombo vya usalama Jeshi na polisi hawapo pamoja na Rais Samia na wanatumia message maofisa wengi na Askari wakimtaka awaaambie Watanzania watoke kwa wingi wasipoteze hii nafasi wao...
  16. President of China

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nakuuliza Kitima, Oktoba 29 kulikuwa na maandamano au vandalism? Namna ya kukabiliana na vandalism ni ipi kwa mujibu wa imani yako?

    Naona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi. Nataka nimuulize anijibu kule aliko. Je, hiyo tarehe kulikuwa na maandamano au vandalism? Je, kwanini...
  17. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Tarehe 29 Oktoba: Watanzania Walikufa, Haki Itarudi!

    Tarehe 29 Oktoba, shit hit the fan, na Watanzania walikufa! Serikali inacheka tu, inadhani maisha ya watu ni joke. What the fck? Hawa watu walikuwa na familia, walikuwa na ndoto, lakini leo wamebaki kuwa ghosts kwenye mtaa huu wa dunia. Na serikali? Wamefunga macho kama hawaoni. Sasa, what’s...
  18. President of China

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Ikongo: TEC wamehusika kwa asilimia 90 kuratibu vurugu za tarehe 29 Oktoba

    https://youtu.be/B5pHrjsXXDM?si=YrhU152Q9lyY-CLR
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tangu tarehe 29 Oktoba, najihisi Mtanganyika na kuchukia Utanzania wangu

    Kama kichwa cha habari kilivyo, kuanzia tarehe tajwa, najihisi Mtanganyika. Napanga kuuzika utanzania wangu. Je Watanganyika wenzangu mnapitia ninachopitia?
  20. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Aliyetoa wazo la kuua watu tarehe 29 Oktoba kauharibia sana utawala huu

    Inawezekana kwa 2001 kule visiwani hili wazo lilifanya kazi kwa sababu mbalimbali na sababu kuu ni kutokuwa na maendeleo makubwa ya teknolojia kwa wakati huo. Inasemwa kwamba visiwani kulikuwa na mauaji ya kutisha na kikatili mno. Wasimuliaji wanadai hata waliokuwa wakikimbilia nchi jirani wengi...
Back
Top Bottom