Bado Lowassa ana nafasi kubwa ya kushinda

Mr. Mangi

JF-Expert Member
Sep 21, 2014
1,515
766
Kwa nionavyo Tume inavyosoma matokeo Lowassa ana nafasi kubwa bado. Kwa mujibu wa tume wanasoma matokeo yaliyowafikia na mpaka sasa matokeo yaliyosomwa Magufuli anafanya vizuri ila sehemu kubwa ya matokeo hayo ni ya ngome za CCM kama vile Tabora, Dodoma, Singida, Mtwara, Unguja n.k na mikoa hiyo tume inasoma matokeo karibia ya majimbo yote ila tatizo katika ngome za CCM hamna jimbo Magufuli amemzidi lowassa sana wamekuwa wakipishina kwa tofauti ya kura elfu 10 hadi 30.

Lowassa bado ana akiba kubwa ya kura kwani ngome zake nyingi hazijasomwa na hata iliposomwa ilionesha tofauti kubwa sana mfano jimbo la Arumeru Magharib Lowassa kamzidi Magufuli kwa zaidi ya kura elfu 80 ambazo zinatosha kabisa kusawazisha matokeo mpaka sasa hapo bado Dar, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, n.k

Makamanda msife moyo wametanguliza baiskeli ya barafu jangwani
 
Kuna mpango ovu uliopangwa since day one, kuwa wamtangaze KUFULI kuwa ndio mshindi!

Ila UKAWA tumeshagundua mbinu hii, na hatukubaliani nayo!
 
Kwa nionavyo tume inavyosoma matokeo lowassa ana nafasi kubwa bado. Kwa mujibu wa tume wanasoma matokeo yaliyowafikia na mpaka sasa matokeo yaliyosomwa Magufuli anafanya vizuri ila sehemu kubwa ya matokeo hayo ni ya ngome za ccm kama vile tabora, dodoma, singida, mtwara, unguja n.k na mikoa hiyo tume inasoma matokeo karibia ya majimbo yote ila tatizo ktk ngome za ccm hamna jimbo Magufuli amemzidi lowassa sana wamekuwa wakipishina kwa tofauti ya kura elfu 10 hadi 30
Lowassa bado ana akiba kubwa ya kura kwani ngome zake nyingi hazijasomwa na hata iliposomwa ilionesha tofauti kubwa sana mfano jimbo la Arumeru Magharib lowassa kamzidi Jpm kwa zaidi ya kura elfu 80 ambazo zinatosha kabisa kusawazisha matokeo mpaka sasa hapo bado dar, klm, arusha, mbeya, n.k
Makamanda msife moyo wametanguliza baiskeli ya barafu jangwani

Ni Kweli Kwani Hata Sisi Mashabiki Wa Simba Mechi Yetu Ya JUZI Tuliyocheza Na Yanga Baada Tu Ya Tambwe Kutupiga Cha Kwanza Tukawa Tunajipa Moyo Huku Tukijawa Na Jeuri Kuwa Tutarudisha Mara Hapo Hapo Tena Ghafla Busungu Akatuweka Cha Pili TUKATIA ADABU Na Mwishowe Tukajikuta Tunafungwa 2 - 0. UZI Wako Umetudhihirishia Uwezo Wako Wa KUFIKIRI Ulipoishia Kwani Zingekuwa ZINAKUTOSHA Ungejipima Kwanza Kuliko KUKURUPUKA Namna Hii Na Kutuonyesha UWEZO WAKO DUNI WA KIFIKRA ULIOBARIKIWA NAO. Wenzako Wana CCM Sasa Tunapanga Tu Mshono Wa Kutoka Nao Alhamisi ATAKAPOTANGAZWA MSHINDI Dr MAGUFULI Na Jinsi Ya KUTOKELEZEA KISAWASAWA Hapa Mnamo Tarehe 5 November, 2015 Wakati AKIAPISHWA Na Kukabidhiwa Rasmi UTAWALA Wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
 
Ni kweli bwana, hata nastaajabu kwamba hata viongozi wenyewe wamepanick. Sijui kunani? Mahesabu bado hayajakatisha tamaa.
 
Kuna mpango ovu uliopangwa since day one, kuwa wamtangaze KUFULI kuwa ndio mshindi!

Ila UKAWA tumeshagundua mbinu hii, na hatukubaliani nayo!

Wewe WACHUUZE Na WADANGANYE Wenzako Waingie Mtaani WATENGULIWE VIUNO Na Wapate VILEMA VYA KUDUMU Kama Siyo Vya MAISHA.
 
sasa majimbo yapi hayo,mbona hata arusha magufuli kaongoza baadhi ya majimbo,mbeya pia....

jwani hizo ngome zilizobaki ni zipi,si mtaje mojamoja hapa tuzione
 
Ni Kweli Kwani Hata Sisi Mashabiki Wa Simba Mechi Yetu Ya JUZI Tuliyocheza Na Yanga Baada Tu Ya Tambwe Kutupiga Cha Kwanza Tukawa Tunajipa Moyo Huku Tukijawa Na Jeuri Kuwa Tutarudisha Mara Hapo Hapo Tena Ghafla Busungu Akatuweka Cha Pili TUKATIA ADABU Na Mwishowe Tukajikuta Tunafungwa 2 - 0. UZI Wako Umetudhihirishia Uwezo Wako Wa KUFIKIRI Ulipoishia Kwani Zingekuwa ZINAKUTOSHA Ungejipima Kwanza Kuliko KUKURUPUKA Namna Hii Na Kutuonyesha UWEZO WAKO DUNI WA KIFIKRA ULIOBARIKIWA NAO. Wenzako Wana CCM Sasa Tunapanga Tu Mshono Wa Kutoka Nao Alhamisi ATAKAPOTANGAZWA MSHINDI Dr MAGUFULI Na Jinsi Ya KUTOKELEZEA KISAWASAWA Hapa Mnamo Tarehe 5 November, 2015 Wakati AKIAPISHWA Na Kukabidhiwa Rasmi UTAWALA Wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

Lowasa anashinda uraisi na hautaamini
 
Kwa nionavyo Tume inavyosoma matokeo Lowassa ana nafasi kubwa bado. Kwa mujibu wa tume wanasoma matokeo yaliyowafikia na mpaka sasa matokeo yaliyosomwa Magufuli anafanya vizuri ila sehemu kubwa ya matokeo hayo ni ya ngome za CCM kama vile Tabora, Dodoma, Singida, Mtwara, Unguja n.k na mikoa hiyo tume inasoma matokeo karibia ya majimbo yote ila tatizo katika ngome za CCM hamna jimbo Magufuli amemzidi lowassa sana wamekuwa wakipishina kwa tofauti ya kura elfu 10 hadi 30.

Lowassa bado ana akiba kubwa ya kura kwani ngome zake nyingi hazijasomwa na hata iliposomwa ilionesha tofauti kubwa sana mfano jimbo la Arumeru Magharib Lowassa kamzidi Magufuli kwa zaidi ya kura elfu 80 ambazo zinatosha kabisa kusawazisha matokeo mpaka sasa hapo bado Dar, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, n.k

Makamanda msife moyo wametanguliza baiskeli ya barafu jangwani
Umesema kweli Mangi
 
Lowassa hawezi kushinda.

Kwani Wewe ULIJUA Angeshinda Mkuu? Ogopa Sana Watu Waitwao Watanzania Kwani Ni WANAFIKI WALIOTUKUKA. Walikuwa Wakijaa Ktk Mikutano Yako Na Wakisema Ni MAFURIKO YA TSUNAMI Huku Watu WAKIZIMIA Na Wengine Hadi KUPIGA DEKI BARABARA Leo Hao Hao Watu Na Hiyo Hiyo Mikoa Asilimia Kubwa WAMEMPIGIA KURA Dr. MAGUFULI. Mfano ANGALIA Lile NYOMI La TABORA, TANGA, MTWARA Na LINDI Lakini Ndiko Huko Huko WANAMUME WAMEMCHINJA Mtu. Na Hapa Ndipo Ninapowapenda WATANZANIA Kuwa UNAVYOWAONA SIVYO WALIVYO MIOYONI.
 
Naona hufuatilii kimahesabu unafuatilia kisiasa, limesomwa jimbo moja tu la ngome ya lowassa mzani WA matokeo ukayumba Arumeru magharibi waliojiandikisha 190,000 waliopiga kura 136,000 lowassa amepata 104,000 Huku magufuri akiambulia 27,000.Tulia ngoma utaiona kesho itakavyogeuka
 
Lowasa anashinda uraisi na hautaamini

Ni Kweli Atashinda Urais Wa Kufuga Ng'ombe Zake Zile Za MONDULI Lakini Si Kuwa Rais Wa Tanzania Kwani TAYARI WATANZANIA TUMESHAAMUA Juzi Ktk Maboksi Yale Ya Kupigia Kura Kuwa Rais Wetu Ni Dr. MAGUFULI Period.
 
Back
Top Bottom