Bado Lowassa ana nafasi kubwa ya kushinda

Bado Lowassa ana nafasi kubwa ya kushinda

Kwa nionavyo Tume inavyosoma matokeo Lowassa ana nafasi kubwa bado. Kwa mujibu wa tume wanasoma matokeo yaliyowafikia na mpaka sasa matokeo yaliyosomwa Magufuli anafanya vizuri ila sehemu kubwa ya matokeo hayo ni ya ngome za CCM kama vile Tabora, Dodoma, Singida, Mtwara, Unguja n.k na mikoa hiyo tume inasoma matokeo karibia ya majimbo yote ila tatizo katika ngome za CCM hamna jimbo Magufuli amemzidi lowassa sana wamekuwa wakipishina kwa tofauti ya kura elfu 10 hadi 30.

Lowassa bado ana akiba kubwa ya kura kwani ngome zake nyingi hazijasomwa na hata iliposomwa ilionesha tofauti kubwa sana mfano jimbo la Arumeru Magharib Lowassa kamzidi Magufuli kwa zaidi ya kura elfu 80 ambazo zinatosha kabisa kusawazisha matokeo mpaka sasa hapo bado Dar, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, n.k

Makamanda msife moyo wametanguliza baiskeli ya barafu jangwani

Tatizo wanatunga matokeo. Kwa nini Tunduma alipata kura 32,000 wametangaza kwamba alipata 6,000 tu?

Ninahitaji number ya simu ya Tundu lisu mwenye nayo anipe.
 
Kwa nionavyo Tume inavyosoma matokeo Lowassa ana nafasi kubwa bado. Kwa mujibu wa tume wanasoma matokeo yaliyowafikia na mpaka sasa matokeo

Matokeo ya

TANGA
MWANZA
ARUSHA
MBEYA
DAR
TUNDUMA

...yameshabandikwa, ni Arusha tu ndio amepata kura nyingi. Sasa utakuwa unasubiri nini, maana mikoa iliyobaki ndio nyumbani kwa CCM.

Unavyosema ni kinyume chake, TUME wametoa matokeo ya Lowassa kwanza kuwapa picha kamili ya nini kitatokea jumatano na Alhamisi.
 
Sasa kama ni arusha kumebaki nini na huko kilimanjaro nini cha ziada, mbeya wameshamakiza ngome zilizokuwa hatari kumebaki dar na hakuna gap kubwa kwani watu wanazo mikononi tayar.
 
Ni kweli bwana, hata nastaajabu kwamba hata viongozi wenyewe wamepanick. Sijui kunani? Mahesabu bado hayajakatisha tamaa.

Tunduma Lowasa alipata kura 32,000. Iweje NEC itangaze kura 6,000? Kuna mtu mwenye akili timamu atashindwa kuelewa nini kinafanywa?
 
watu hawaamini,,lowasa kashinda arusha mjini,pemba,babati kama sikosei,,,ngome ipi anaisubiri jama?
lowasa awe msitaarabu,mda ukifika akubali matokeo na atabaki na heshima yake,kuliko kufuata ushauri wa mbowe na kujitia matatizoni,,,,
 
Tunduma Lowasa alipata kura 32,000. Iweje NEC itangaze kura 6,000? Kuna mtu mwenye akili timamu atashindwa kuelewa nini kinafanywa?

Kazipatia wapi??

Mshaanza kuchanganyikiwa, si mlisema mnajua mianya yote... Haya izibeni
 
Tunduma Lowasa alipata kura 32,000. Iweje NEC itangaze kura 6,000? Kuna mtu mwenye akili timamu atashindwa kuelewa nini kinafanywa?

wewe tunakujua vizurinhuwezi kujidai eti huna namba ya lisu wakati wewe na kina yerico ndo timu moja tangu miaka mingi...

unachofanya hapo ni uchochezi....
 
Tanga
dodoma
kagera
mwanza
mbeya
tabora...
Magufuli anchanja mbuga
 
sasa majimbo yapi hayo,mbona hata arusha magufuli kaongoza baadhi ya majimbo,mbeya pia....

jwani hizo ngome zilizobaki ni zipi,si mtaje mojamoja hapa tuzione

Mbeya Mjini,Karatu,Simanjiro,Arumeru Mashariki,Ubungo,Kawe,Kibamba,Temeke,Mbagala,UkongaTanga Mjini. N.k
 
Makamanda naona wamesambaratika kila moja anakuja na lake.
 
Matokeo ya

TANGA
MWANZA
ARUSHA
MBEYA
DAR
TUNDUMA

...yameshabandikwa, ni Arusha tu ndio amepata kura nyingi. Sasa utakuwa unasubiri nini, maana mikoa iliyobaki ndio nyumbani kwa CCM.

Unavyosema ni kinyume chake, TUME wametoa matokeo ya Lowassa kwanza kuwapa picha kamili ya nini kitatokea jumatano na Alhamisi.

Hayo ya tunduma ya uongo?na katavi pia na bumbuli?makosa yako wazo yanaonekana.
 
Tunduma, Lowasa alipata kura 32000 tume wakatangaza 6000.
Hadi sasa NEC hawaaminiki. Hayo matokeo sio ya kuyaamini.
Kuna uchakachuaji mkubwa.
 
Naona hufuatilii kimahesabu unafuatilia kisiasa, limesomwa jimbo moja tu la ngome ya lowassa mzani WA matokeo ukayumba Arumeru magharibi waliojiandikisha 190,000 waliopiga kura 136,000 lowassa amepata 104,000 Huku magufuri akiambulia 27,000.Tulia ngoma utaiona kesho itakavyogeuka

Tumebakiza jimbo la Arumeru mashariki, Vunjo na Moshi Mjini tu ndio kwenye kura nyingi... tumeshashindwa

Lowassa hawezi kushinda
 
Makamanda peeeeeoopleeesss watu wote poweeerrrrr. Siku mbili tu zimebaki za kusaga meno maana dili limebuuumaaaa
 
Kwa nionavyo Tume inavyosoma matokeo Lowassa ana nafasi kubwa bado. Kwa mujibu wa tume wanasoma matokeo yaliyowafikia na mpaka sasa matokeo yaliyosomwa Magufuli anafanya vizuri ila sehemu kubwa ya matokeo hayo ni ya ngome za CCM kama vile Tabora, Dodoma, Singida, Mtwara, Unguja n.k na mikoa hiyo tume inasoma matokeo karibia ya majimbo yote ila tatizo katika ngome za CCM hamna jimbo Magufuli amemzidi lowassa sana wamekuwa wakipishina kwa tofauti ya kura elfu 10 hadi 30.

Lowassa bado ana akiba kubwa ya kura kwani ngome zake nyingi hazijasomwa na hata iliposomwa ilionesha tofauti kubwa sana mfano jimbo la Arumeru Magharib Lowassa kamzidi Magufuli kwa zaidi ya kura elfu 80 ambazo zinatosha kabisa kusawazisha matokeo mpaka sasa hapo bado Dar, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, n.k

Makamanda msife moyo wametanguliza baiskeli ya barafu jangwani

We jitoe ufahamu tu...hizo hizo kura 10000 kila jimbo ndio zytaleta ushindi....btw kuna sehemu mbeya magufuli kashinda. hivi dar,arusha,kilimanjaro kuna kura ngapi?? 20m???
 
Back
Top Bottom