Kwani Wewe ULIJUA Angeshinda Mkuu? Ogopa Sana Watu Waitwao Watanzania Kwani Ni WANAFIKI WALIOTUKUKA. Walikuwa Wakijaa Ktk Mikutano Yako Na Wakisema Ni MAFURIKO YA TSUNAMI Huku Watu WAKIZIMIA Na Wengine Hadi KUPIGA DEKI BARABARA Leo Hao Hao Watu Na Hiyo Hiyo Mikoa Asilimia Kubwa WAMEMPIGIA KURA Dr. MAGUFULI. Mfano ANGALIA Lile NYOMI La TABORA, TANGA, MTWARA Na LINDI Lakini Ndiko Huko Huko WANAMUME WAMEMCHINJA Mtu. Na Hapa Ndipo Ninapowapenda WATANZANIA Kuwa UNAVYOWAONA SIVYO WALIVYO MIOYONI.
TUME ni ya CCM...kuna uwezekano mkubwa, matokeo ya KURA zote kabla ya KWENDA NEC.... zinapitia IT ya CCM kwa njia ya mtandao, then ndio IT ya CCM inatuma NEC kwa njia ya ku print..!!! Hili liko wazi...!!
Unaiongelea mbeya ipi?sijasikia 80,000 za mbaya mjini,wala 55000 za arumeru mashariki,wala majimbo ya dar ambayo ubunge tayari washabeba.Karatu?simanjiro?tanga mjini?Same Mashariki?na kumbuka haya ni majimbo makubwa makubwa sio kama majority ya hayo yaliyotangazwa.
ulitakaje kwani we mcheza baoMamangi na Chadema.