Ngoma Bado Mbichi hii...
sawa ngoja tuone gia ya kipindi hiki mtabadilishia wapi maana hii ya kutaka kufanya editting kwenye system ya kukusanya matokeo nec mmekwama
Ngoma Bado Mbichi hii...
Kwa nionavyo Tume inavyosoma matokeo Lowassa ana nafasi kubwa bado. Kwa mujibu wa tume wanasoma matokeo yaliyowafikia na mpaka sasa matokeo yaliyosomwa Magufuli anafanya vizuri ila sehemu kubwa ya matokeo hayo ni ya ngome za CCM kama vile Tabora, Dodoma, Singida, Mtwara, Unguja n.k na mikoa hiyo tume inasoma matokeo karibia ya majimbo yote ila tatizo katika ngome za CCM hamna jimbo Magufuli amemzidi lowassa sana wamekuwa wakipishina kwa tofauti ya kura elfu 10 hadi 30.
Lowassa bado ana akiba kubwa ya kura kwani ngome zake nyingi hazijasomwa na hata iliposomwa ilionesha tofauti kubwa sana mfano jimbo la Arumeru Magharib Lowassa kamzidi Magufuli kwa zaidi ya kura elfu 80 ambazo zinatosha kabisa kusawazisha matokeo mpaka sasa hapo bado Dar, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, n.k
Makamanda msife moyo wametanguliza baiskeli ya barafu jangwani
hayo majimbo mpe lowasa kura za kuongoza 20'000 kila jimbo bado gap litakuwepo
Naona hufuatilii kimahesabu unafuatilia kisiasa, limesomwa jimbo moja tu la ngome ya lowassa mzani WA matokeo ukayumba Arumeru magharibi waliojiandikisha 190,000 waliopiga kura 136,000 lowassa amepata 104,000 Huku magufuri akiambulia 27,000.Tulia ngoma utaiona kesho itakavyogeuka
Moshi mjini, monduli, Arusha mjini, arumeru magharibi, Mbeya zishatajwa na mpaka sasa kuna gap la kura laki 7 ni ngome gani sasa ambazo hazijatajwa ziwekeni kwa idadi tulinganishe na zile za ccm zilizobaki tuanze kushangilia ushindi
Ni Kweli Kwani Hata Sisi Mashabiki Wa Simba Mechi Yetu Ya JUZI Tuliyocheza Na Yanga Baada Tu Ya Tambwe Kutupiga Cha Kwanza Tukawa Tunajipa Moyo Huku Tukijawa Na Jeuri Kuwa Tutarudisha Mara Hapo Hapo Tena Ghafla Busungu Akatuweka Cha Pili TUKATIA ADABU Na Mwishowe Tukajikuta Tunafungwa 2 - 0. UZI Wako Umetudhihirishia Uwezo Wako Wa KUFIKIRI Ulipoishia Kwani Zingekuwa ZINAKUTOSHA Ungejipima Kwanza Kuliko KUKURUPUKA Namna Hii Na Kutuonyesha UWEZO WAKO DUNI WA KIFIKRA ULIOBARIKIWA NAO. Wenzako Wana CCM Sasa Tunapanga Tu Mshono Wa Kutoka Nao Alhamisi ATAKAPOTANGAZWA MSHINDI Dr MAGUFULI Na Jinsi Ya KUTOKELEZEA KISAWASAWA Hapa Mnamo Tarehe 5 November, 2015 Wakati AKIAPISHWA Na Kukabidhiwa Rasmi UTAWALA Wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
Kwa nionavyo Tume inavyosoma matokeo Lowassa ana nafasi kubwa bado. Kwa mujibu wa tume wanasoma matokeo yaliyowafikia na mpaka sasa matokeo yaliyosomwa Magufuli anafanya vizuri ila sehemu kubwa ya matokeo hayo ni ya ngome za CCM kama vile Tabora, Dodoma, Singida, Mtwara, Unguja n.k na mikoa hiyo tume inasoma matokeo karibia ya majimbo yote ila tatizo katika ngome za CCM hamna jimbo Magufuli amemzidi lowassa sana wamekuwa wakipishina kwa tofauti ya kura elfu 10 hadi 30.
Lowassa bado ana akiba kubwa ya kura kwani ngome zake nyingi hazijasomwa na hata iliposomwa ilionesha tofauti kubwa sana mfano jimbo la Arumeru Magharib Lowassa kamzidi Magufuli kwa zaidi ya kura elfu 80 ambazo zinatosha kabisa kusawazisha matokeo mpaka sasa hapo bado Dar, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, n.k
Makamanda msife moyo wametanguliza baiskeli ya barafu jangwani
Kwa nionavyo Tume inavyosoma matokeo Lowassa ana nafasi kubwa bado. Kwa mujibu wa tume wanasoma matokeo yaliyowafikia na mpaka sasa matokeo yaliyosomwa Magufuli anafanya vizuri ila sehemu kubwa ya matokeo hayo ni ya ngome za CCM kama vile Tabora, Dodoma, Singida, Mtwara, Unguja n.k na mikoa hiyo tume inasoma matokeo karibia ya majimbo yote ila tatizo katika ngome za CCM hamna jimbo Magufuli amemzidi lowassa sana wamekuwa wakipishina kwa tofauti ya kura elfu 10 hadi 30.
Lowassa bado ana akiba kubwa ya kura kwani ngome zake nyingi hazijasomwa na hata iliposomwa ilionesha tofauti kubwa sana mfano jimbo la Arumeru Magharib Lowassa kamzidi Magufuli kwa zaidi ya kura elfu 80 ambazo zinatosha kabisa kusawazisha matokeo mpaka sasa hapo bado Dar, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, n.k
Makamanda msife moyo wametanguliza baiskeli ya barafu jangwani
kikubwa ni kwamba tume ni ccm.ni vigumu kukitangaza chama cha upinzani.kwa matokeo ya urais tanzania bado sana.kuna vitendo vingi viovu vinafanyika ndani na huku raia hatuelewi.tunaletewa tu matokeo na kushangalia.baada ya mwezi life yetu inarudi kuwa ileile ya mlo mmoja.watu hawafukirii.
Ni Kweli Kwani Hata Sisi Mashabiki Wa Simba Mechi Yetu Ya JUZI Tuliyocheza Na Yanga Baada Tu Ya Tambwe Kutupiga Cha Kwanza Tukawa Tunajipa Moyo Huku Tukijawa Na Jeuri Kuwa Tutarudisha Mara Hapo Hapo Tena Ghafla Busungu Akatuweka Cha Pili TUKATIA ADABU Na Mwishowe Tukajikuta Tunafungwa 2 - 0. UZI Wako Umetudhihirishia Uwezo Wako Wa KUFIKIRI Ulipoishia Kwani Zingekuwa ZINAKUTOSHA Ungejipima Kwanza Kuliko KUKURUPUKA Namna Hii Na Kutuonyesha UWEZO WAKO DUNI WA KIFIKRA ULIOBARIKIWA NAO. Wenzako Wana CCM Sasa Tunapanga Tu Mshono Wa Kutoka Nao Alhamisi ATAKAPOTANGAZWA MSHINDI Dr MAGUFULI Na Jinsi Ya KUTOKELEZEA KISAWASAWA Hapa Mnamo Tarehe 5 November, 2015 Wakati AKIAPISHWA Na Kukabidhiwa Rasmi UTAWALA Wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
acha umangi meza ndugu yangu tuliwasubili kwenye box ili tukate ngebe ngome ya cdm imebaki dar tu kwingine mmeshapigwa mwanza kapigwa mbeya kapigwa tanga kapigwa kumb. idadi ya wapiga kura kwenye haya majiji ni kubwa na dio alikopigwa unategemea nn na huku ndio llkuwa tegemeo lao hiki ulichoaandika hapa ni ndoto za alinacha na kuota mchana tena tulichowafanya kanda ya ziwa hamtosahau waulizeni watu wenu lembeli, kiwia, wenje, kahigi, na wengine chinja kabisa bado ukerewe tu nako mmeiba kura tunafatilia tumewazidi idadi ya madiwani ccm19 cdm 6 mpaka kura za urais eti bila aibu mbunge chadema bulaya na matiko hao sawa hakuna ttzo
Fungua macho Mr. Mangi, hiyo ni tekniki mojawapo ya goli la mkono!
Kama unafuatilia matokeo ya tume, hata kule ambako Lowassa kapata kura nyingi idadi imechakachuliwa (rejea jimbo la Tunduma).
Pia makosa ya makusudi kwenye majumuisho kwa upande wa Lowassa ni mengi hivyo kupelekea kuona kuwa kuna lao jambo wanalolitengeneza!