Bado Lowassa ana nafasi kubwa ya kushinda

Kwa nionavyo Tume inavyosoma matokeo Lowassa ana nafasi kubwa bado. Kwa mujibu wa tume wanasoma matokeo yaliyowafikia na mpaka sasa matokeo yaliyosomwa Magufuli anafanya vizuri ila sehemu kubwa ya matokeo hayo ni ya ngome za CCM kama vile Tabora, Dodoma, Singida, Mtwara, Unguja n.k na mikoa hiyo tume inasoma matokeo karibia ya majimbo yote ila tatizo katika ngome za CCM hamna jimbo Magufuli amemzidi lowassa sana wamekuwa wakipishina kwa tofauti ya kura elfu 10 hadi 30.

Lowassa bado ana akiba kubwa ya kura kwani ngome zake nyingi hazijasomwa na hata iliposomwa ilionesha tofauti kubwa sana mfano jimbo la Arumeru Magharib Lowassa kamzidi Magufuli kwa zaidi ya kura elfu 80 ambazo zinatosha kabisa kusawazisha matokeo mpaka sasa hapo bado Dar, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, n.k

Makamanda msife moyo wametanguliza baiskeli ya barafu jangwani

Duh! nakupa poleee.... hizo ndo ndoto za mchana. labda atashinda nafasi ya kufagia kanisani kwa Tb joshua
 
Kwa mtiririko huu, kuna possibility kubwa ya CCM kushinda urais wa JMT. However, naamini watatofautiana kwa kura zisizozidi au chini ya milioni moja!
 
Matokeo ya

TANGA
MWANZA
ARUSHA
MBEYA
DAR
TUNDUMA

...yameshabandikwa, ni Arusha tu ndio amepata kura nyingi. Sasa utakuwa unasubiri nini, maana mikoa iliyobaki ndio nyumbani kwa CCM.

Unavyosema ni kinyume chake, TUME wametoa matokeo ya Lowassa kwanza kuwapa picha kamili ya nini kitatokea jumatano na Alhamisi.
Umelenga penyewe Kiongozi. Ndio maana sasa Mbowe anaanza kupinga matokeo baada ya kuona Magufuli ameshinda kila kona.
 
arusha mjini ni tofauti ya kura 90000
Kwa nionavyo Tume inavyosoma matokeo Lowassa ana nafasi kubwa bado. Kwa mujibu wa tume wanasoma matokeo yaliyowafikia na mpaka sasa matokeo yaliyosomwa Magufuli anafanya vizuri ila sehemu kubwa ya matokeo hayo ni ya ngome za CCM kama vile Tabora, Dodoma, Singida, Mtwara, Unguja n.k na mikoa hiyo tume inasoma matokeo karibia ya majimbo yote ila tatizo katika ngome za CCM hamna jimbo Magufuli amemzidi lowassa sana wamekuwa wakipishina kwa tofauti ya kura elfu 10 hadi 30.

Lowassa bado ana akiba kubwa ya kura kwani ngome zake nyingi hazijasomwa na hata iliposomwa ilionesha tofauti kubwa sana mfano jimbo la Arumeru Magharib Lowassa kamzidi Magufuli kwa zaidi ya kura elfu 80 ambazo zinatosha kabisa kusawazisha matokeo mpaka sasa hapo bado Dar, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, n.k

Makamanda msife moyo wametanguliza baiskeli ya barafu jangwani
 
mbeya labda jimbo la sugu na lasilinde mengine kapigwa
 
sasa majimbo yapi hayo,mbona hata arusha magufuli kaongoza baadhi ya majimbo,mbeya pia....

jwani hizo ngome zilizobaki ni zipi,si mtaje mojamoja hapa tuzione

Hawa jamaa wanashangaza sana.

Hizo ngome wanazozisema sijui ni zipi?
 
acha umangi meza ndugu yangu tuliwasubili kwenye box ili tukate ngebe ngome ya cdm imebaki dar tu kwingine mmeshapigwa mwanza kapigwa mbeya kapigwa tanga kapigwa kumb. idadi ya wapiga kura kwenye haya majiji ni kubwa na dio alikopigwa unategemea nn na huku ndio llkuwa tegemeo lao hiki ulichoaandika hapa ni ndoto za alinacha na kuota mchana tena tulichowafanya kanda ya ziwa hamtosahau waulizeni watu wenu lembeli, kiwia, wenje, kahigi, na wengine chinja kabisa bado ukerewe tu nako mmeiba kura tunafatilia tumewazidi idadi ya madiwani ccm19 cdm 6 mpaka kura za urais eti bila aibu mbunge chadema bulaya na matiko hao sawa hakuna ttzo
 
Tunduma, Lowasa alipata kura 32000 tume wakatangaza 6000.
Hadi sasa NEC hawaaminiki. Hayo matokeo sio ya kuyaamini.
Kuna uchakachuaji mkubwa.
Ushalewa Bavaria ile ya kopo jeusi la ml 500 ,8% Alc na utuoneolee uchuro wako wako hapa ,endelea kumwamini Mbowe /Sumaye/Babu Kingunge sisi tunaiamini NEC na Ijumaa ni kuchele tu
 
Mtanzania atakae lia lia maisha magumu ooh kazi hakuna Hii miaka ijayo ntamuona ------ tena ***** lisilo jitambua CCM hawawapendi nyinyi hatamjipendekeze vip mbwa hawa
 
Tunduma, Lowasa alipata kura 32000 tume wakatangaza 6000.
Hadi sasa NEC hawaaminiki. Hayo matokeo sio ya kuyaamini.
Kuna uchakachuaji mkubwa.

Ukiitwa uonshe hizo kura 32000 utabaki unjiumauma tu.

Usipende kubebabeba kila unachokisikia mtaani.

Mbeya Mjini,Karatu,Simanjiro,Arumeru Mashariki,Ubungo,Kawe,Kibamba,Temeke,Mbagala,UkongaTanga Mjini. N.k

hayo majimbo mpe lowasa kura za kuongoza 20'000 kila jimbo bado gap litakuwepo
 
Moshi mjini, monduli, Arusha mjini, arumeru magharibi, Mbeya zishatajwa na mpaka sasa kuna gap la kura laki 7 ni ngome gani sasa ambazo hazijatajwa ziwekeni kwa idadi tulinganishe na zile za ccm zilizobaki tuanze kushangilia ushindi
 
arusha mjini ni tofauti ya kura 90000
Kwa nionavyo Tume inavyosoma matokeo Lowassa ana nafasi kubwa bado. Kwa mujibu wa tume wanasoma matokeo yaliyowafikia na mpaka sasa matokeo yaliyosomwa Magufuli anafanya vizuri ila sehemu kubwa ya matokeo hayo ni ya ngome za CCM kama vile Tabora, Dodoma, Singida, Mtwara, Unguja n.k na mikoa hiyo tume inasoma matokeo karibia ya majimbo yote ila tatizo katika ngome za CCM hamna jimbo Magufuli amemzidi lowassa sana wamekuwa wakipishina kwa tofauti ya kura elfu 10 hadi 30.

Lowassa bado ana akiba kubwa ya kura kwani ngome zake nyingi hazijasomwa na hata iliposomwa ilionesha tofauti kubwa sana mfano jimbo la Arumeru Magharib Lowassa kamzidi Magufuli kwa zaidi ya kura elfu 80 ambazo zinatosha kabisa kusawazisha matokeo mpaka sasa hapo bado Dar, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, n.k

Makamanda msife moyo wametanguliza baiskeli ya barafu jangwani
 
Kuna mpango ovu uliopangwa since day one, kuwa wamtangaze KUFULI kuwa ndio mshindi!

Ila UKAWA tumeshagundua mbinu hii, na hatukubaliani nayo!
mtaisoma namba. kila mbinu mmekwama. matokeo yanatangazwa hamuamini!
 
ww hujielewi et inamaana walio mpigia lowasa siyo watanzania? halafu unaweza kuwa ni mkimbizi ww
 
Back
Top Bottom