1. Chakula: watu 150 x 7000 (kwa kila sahani) = 1,050,000 .00
2. Vinywaji: Bia At least watu 50 watatumia bia x 3 @ x 2300Tshs = 345,000.00
Soda Watu 100 watakunywa soda x 3@ x 600Tshs = 180,000.00
3. Suti ya bwana harusi 150 000Tshs. x 1 = 150,000.00
4. Gauni la bibi harusi kukodi 150,000 Tshs x 1 = 150,000.00
5.Suti ya best man 150,000 x 1 = 150,000.00
6. Gauni la best woman 100,000 x 1 = 100,000.00
7.Kushona suti za watoto wasimamizi 4 x 25,000 = 50,000.00
8. Usafiri A. Gari ya bibi harusi 1 x 50,000 = 50,000.00
B.Gari ya bwana harusi 1x 50,000 = 50,000.00
C. Gari costa 2 kwa ajili ya ndugu x 60,000 = 120,000.00
9. Gharama ya Ukumbi 1 x 500,000 = 500,000.00
10. Gharama za upambaji 1 x 250,000 = 250,000.00
11. Gharama za kurekodi 1 x 200,000 = 200,000.00
12. Gharama za Shampeni 2 x 200,000 = 400,000.00
13. Gharama za guest 60,000 = 60,000.00
14. Mc na Muziki 200,000 = 200,000.00
15. Vipodozi bibi harusi 150,000 = 150,000.00
16. Blass Band 200,000 = 200,000.00
= 4,355,000.00
NDUGU WASHAURI WANGU, NI MIMI NILIYEOMBA USHAURI JUU YA UWEZEKANO WA KUFANYA HARUSI YA TSHS. 2000,000 HAPA DAR ES SALAAM. MLINIONYESHA KUWA HAKUNA KINACHOSHINDIKANA, ILA NI AINA GANI YA HARUSI NILIHITAJI NI SUALA AMBALO MLINIACHIA.
NIMEENDELEA KUPAMBANA WAKUU, MWANAMKE HATAKI KUNIACHIA, NIMEKUBALI KUPAMBANA.
BADO NARUDI KWENU WAKUU,HEBU KAGUENI VIFAA NILIVYOTAJA HAPO JUU, NINI KIMEPUNGUA, JE HARUSI HAPO NIMEKAMILISHA. NIBORESHE NINI, WAZEE KARIBUNI.
NATANGULIZA SHUKRANI
Hapo gharama zitaongezeka, ni 100,000/= badala ya 50,000/=...
7.Kushona suti za watoto wasimamizi 4 x 25,000 = 50,000.00
Ndio Fanya ivo mkuu... Maisha yanaendelea... Hongera zako lkn kwa kupata jiko bila shaka hujakosea kuchagua na mungu alikusaidia maana ni bora ukosee kujenga nyumba kuliko kukosea kuoa.
Hapo gharama zitaongezeka, ni 100,000/= badala ya 50,000/=
suti ya best man na gauni la best man nayo iondoeni. wavae nguo zao tu za zamani. au kama mpya wajinunulie wenyewe
Mkuu,utanipa gharama za mwisho kbs utakazotumia,mimi nataka nifanye harusi very simple,ya wageni kama 35 tu...unaweza kualika wengi wachawi nao wakapitia humohumo! Infact,sababu ya msingi ni kwamba nataka kufanya harusi kwa pesa yangu mwenyewe! Sitaki kumchangisha mtu hata senti tano(maisha magumu haya,sitaki kuwabebesha watu majukumu yasiyo na ulazima,ila nikikumbuka nilivyowachangia watu roho inaniuma),ikikost kama 3M naweza kuimudu mwenyewe.[/QUOTS
Sawa usijali ndugu yangu. Lakini baadae kidogo nitarudi kwako
kaka siku hz sherehe za ndoa hizi mitaji ya watu hasa wanakamati
hapo watajfanya kuchangia ila wanajua zitarudi kwenye maandalizi
take care and all the best
Pls nitupie namba za mc na huyo wa steel picha na video
Unrealistic unless unaifanyia nje ya mji kabisa
wish you all the best
Ndoaa ngumu na mke mwema cjapatiwaa na hata nikipatiwa haruc nayo ghali daaaaaaaa!!!!
Uislam unakataza hivo vitu Vyote ulivo Orodhesha hakuna karibu katika uislam ndugu yangu
Interesting...
Ndugu yangu umenigusa sana, ni kitu kinasumbua kichwa mpaka sasa kuna kitu najaribu kufanya. Nitawajuza kama nikifanikiwa kupitia hapa JF, yaani nafahamu kuna watu wanangoja hilo sana ili wapate hela.