Bado, gharama za harusi jamani, tafadhali

Bado, gharama za harusi jamani, tafadhali

mozambiqueone

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2014
Posts
238
Reaction score
122
1. Chakula: watu 150 x 7000 (kwa kila sahani) = 1,050,000 .00
2. Vinywaji: Bia At least watu 50 watatumia bia x 3 @ x 2300Tshs = 345,000.00
Soda Watu 100 watakunywa soda x 3@ x 600Tshs = 180,000.00
3. Suti ya bwana harusi 150 000Tshs. x 1 = 150,000.00
4. Gauni la bibi harusi kukodi 150,000 Tshs x 1 = 150,000.00
5.Suti ya best man 150,000 x 1 = 150,000.00
6. Gauni la best woman 100,000 x 1 = 100,000.00
7.Kushona suti za watoto wasimamizi 4 x 25,000 = 50,000.00
8. Usafiri A. Gari ya bibi harusi 1 x 50,000 = 50,000.00
B.Gari ya bwana harusi 1x 50,000 = 50,000.00
C. Gari costa 2 kwa ajili ya ndugu x 60,000 = 120,000.00
9. Gharama ya Ukumbi 1 x 500,000 = 500,000.00
10. Gharama za upambaji 1 x 250,000 = 250,000.00
11. Gharama za kurekodi 1 x 200,000 = 200,000.00
12. Gharama za Shampeni 2 x 200,000 = 400,000.00
13. Gharama za guest 60,000 = 60,000.00
14. Mc na Muziki 200,000 = 200,000.00
15. Vipodozi bibi harusi 150,000 = 150,000.00
16. Blass Band 200,000 = 200,000.00
= 4,355,000.00

NDUGU WASHAURI WANGU, NI MIMI NILIYEOMBA USHAURI JUU YA UWEZEKANO WA KUFANYA HARUSI YA TSHS. 2000,000 HAPA DAR ES SALAAM. MLINIONYESHA KUWA HAKUNA KINACHOSHINDIKANA, ILA NI AINA GANI YA HARUSI NILIHITAJI NI SUALA AMBALO MLINIACHIA.

NIMEENDELEA KUPAMBANA WAKUU, MWANAMKE HATAKI KUNIACHIA, NIMEKUBALI KUPAMBANA.

BADO NARUDI KWENU WAKUU,HEBU KAGUENI VIFAA NILIVYOTAJA HAPO JUU, NINI KIMEPUNGUA, JE HARUSI HAPO NIMEKAMILISHA. NIBORESHE NINI, WAZEE KARIBUNI.
NATANGULIZA SHUKRANI

Shampeni nunua zile za elfu 20, gari ya bwana arusi tafuta ndugu au rafiki mwenye gari maana si unalihitaji kwenda kanisani au sehemu ya ndoa tu. matron na best man wajinunulie nguo wenyewe...
 
Sherehe ya arusi si mchezo.
Unaweza kukata matumizi ya best man,best lady sijui, bei ya champagne, gari ya bibi harusi na yako, suti za watoto kama wazazi wao wanajiweza...!

Angalia usifanye harusi then baada ya japo huna hata senti...
 
Mpwa, ndio maana kila siku uko single, kumbe unaepuka haya
 
Shampeni laki 2 moja?zinatoka ughaibuni?

shampeni elf 10 tu.
Asante nashukuru, niliuliza haraka, nikaambiwa ..... we hiyo hadi laki 250,000. Nashukuru kwa taarifa hiyo itanisaidia kupunguza gharama.
 
Shampaign nunua za elfu ishirin tena nakumbuka Shoprite walikua nazo.Najua una rafiki anaemiliki gari.Ongea nae umjazie mafuta na atakusave well n gd mana akufaae kwa dhiki ndio rafiki wa kweli.

Gharama ya chakula ni sahihi sana ila unaonaje ukapunguza cost kwa kumuomba mama yoyote ambae ni msaf na mwenye kikund chake aje kuwapikia wali,pilau,viazi,nyama ya ng'ombe na kuku kidogo.Mana mchele wa laki1 nadhan utatoa pilau na wali mweupe na watu watakula till wataacha
 
Da! asante sana ndugu yangu, nitazingatia ushauri.
 
Pole ... But ungeifanya simple tu yaan hadi champain laki 2 .kitu cha siku moja? Yeah its special but hapo hapana jamani

Asante ndugu yangu. Kuna mtu amenishauri hapa kuwa shampeni ipo na ni bei ndogo si kama nilivyotaja hapo, nitabadilisha hapo ili niokoa vijisenti kiasi.
 
Asante ndugu yangu. Kuna mtu amenishauri hapa kuwa shampeni ipo na ni bei ndogo si kama nilivyotaja hapo, nitabadilisha hapo ili niokoa vijisenti kiasi.

Ndio Fanya ivo mkuu... Maisha yanaendelea... Hongera zako lkn kwa kupata jiko bila shaka hujakosea kuchagua na mungu alikusaidia maana ni bora ukosee kujenga nyumba kuliko kukosea kuoa.
 
Sherehe ya arusi si mchezo.
Unaweza kukata matumizi ya best man,best lady sijui, bei ya champagne, gari ya bibi harusi na yako, suti za watoto kama wazazi wao wanajiweza...!

Angalia usifanye harusi then baada ya japo huna hata senti...

Very right uwezekano wa kutobaki na hata senti kweli upo kabisa, nashukuru kwa ushauri.
 
Kama uwezo ni mdogo fanya harusi ya saizi yako. Na ka mchumba wako hakubaliani na hali halisi basi huyo sio mke atakuja kukupa shida siku za usoni ukimwoa. Fanya kikao na ndugu jamaa na marafiki na watakachokuchangia ni hicho hicho funga ndoa yako hata kama umepata milioni moja! Hata kama huna hela mradi mwenzio anakuelewa na anakupenda ndoa itafungwa na maisha yatasonga mbele.
 
Fanyia sherehe nyumbani kama kuna nafasi, utaokoa pesa nyingi tu.
Ikiwa lazima muende ukumbini, basi watu 50-80 wanatosha. Na ubook tables tu kwenye hoteli, chakula na vinywaji ndio gharama ya kukodi ukumbi. Yaani unabadili utaratibu kabisa wa typical wedding receiption. La tafuta bar inakosa wateja ndio ufanye ukumbi, owner watafurahi maana wataona umewaletea wateja.
 
Back
Top Bottom