Sio fresh kabisa.
Ila mtu wa aina hiyo unatakiwa siku moja umkomeshe na "haya tuachane" na ujifanye unamaanisha kama hajanywea na kuanza kulalamika bila mpangilio.
Hii niliitest akaumwa mwezi mzima eti kuna mtu anakupa jeuri ndo wanataka hivyo hawa
na mungu azidi kukupa wa kufanana na ww, wakucheat wee!!!!!
Mkuu Michelle km pangekua na kitufe cha thanks kwenye kategory ya uvivu ningekugongea...binafsi wakati mwingine sipendi ata kufikiri sema haiwezekani tu!
he he he he dearest:
Bad habits zangu:
Mi naturally napenda utani na uchokozi...sometimes inaniletea shida as wakati mwingine natania wakati mtu yuko serious.
Napenda kufanya kile ninachotaka, kwa wakati ninaotaka na kwa namna ninayotaka....sipendi kusukumwa
Mvivu, kuna wakati sijisikii kufanya chochote,nataka nikae tu...lol
Nazochukia:
mbahili au anayetumia hela ovyo ovyo na kutaka usawa kwenye matumizi...am a woman for God's sake, be a man!
mwenye kuongea sana au ambaye ukikosea hata ukimuomba msamaha,ye analo tu,kelele
mchafu, siwezi kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
asiyependa kushirikiana nami na kunishirikisha kwenye mambo yake ninayopaswa kujua
Mi mzima mkwe. . .mamkwe habari yako hivi January ni lini tena!!!!!!!:focus: mie nachukuia umekosea umeomba samahani baada ya miaka kadhaa anakumbushia kosa ulilofanya kama vile hukuomba samahani daaaah inakuwa gubu la hatari
- napenda kushirikishana kwa kila jambo
-kuelewana na kusikilizana sio kwa kinafiki
Hahahaha dearest kumbe uvivu unahusika? Ngoja niongeze kweli list maana leo yenyewe ni one of those days, najisikia kuvivuka tu. Ngoja nipige Lazy Song ya Bruno Mars. . . kama huijui ichungulie.
Alafu usawa wa nini jamani wakati kwakuwa tu mwanamke mahitaji yako ni zaidi? Aina hiyo anahitaji somo.
Hahahaha unaona sasa maneno tu kumbe. . . hiyo ndio dawa yao. Sasa baada ya hapo unatakiwa umjulishe kabisa kwamba next time akiku'beep' utampigia na ndio basi tena. Hamna haja ya kunyimana raha kila siku bana.
Ongeza dearest,uvivu unahusika sana....lol....ngoja nikasikilize ka Bruno Mars, katamu kama chocolate....napenda tu kukaona...usikilize pia Just the way you are....you are amazing,just the way you are...lol
Yaani kitu kinakera sana, mtu anataka akiacha 500 na mi nitoe 500, lol....usawa huu sitaki....!
Sasa nimerudi
Nisivyopenda
1. Tegemezi hata kama yeye ana pesa anataka atumie zako tu
2. Mlevi
3. 6x6 kila siku
4. Msiri
5. Anaficha ficha mambo yake
6..........................
Nayoyafanya
1. Mbishi
2. Kiburi
3. Hata kama nimekosa siombi msamaha ng'o
4. Kununa - Hapa namaanisha nikiwa na hasira sitaki kuongea nitalia
5. Huruma saaaaaana
6. Ujeuri
7.......................................
Sasa nimerudi
Nisivyopenda
1. Tegemezi hata kama yeye ana pesa anataka atumie zako tu
2. Mlevi
3. 6x6 kila siku
4. Msiri
5. Anaficha ficha mambo yake
6..........................
Nayoyafanya
1. Mbishi
2. Kiburi
3. Hata kama nimekosa siombi msamaha ng'o
4. Kununa - Hapa namaanisha nikiwa na hasira sitaki kuongea nitalia
5. Huruma saaaaaana
6. Ujeuri
7.......................................
Done deal dearest.
Dah naupenda huo nao. . . ngoja nitafute na nyingine nivivuke vizuri.