FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
1. Jitu limekuja kaunta linakukuta unakunywa Tusker Malt yako taratibu, afu na lenyewe linaagiza yake afu linamwambia akaunta "Hii bia atalipia ODM"......... Pumbaf kabisa.
2. Umechukua kimwana chako ushalipia room yenye godoro la comfy, unamwambia kimwana twenzetu tukaunganishe vimwaga mkojo vyetu mara unajibiwa oh sorry, cha kwangu kiko kwenye emergency leave.... damn it!
3. Unaenda kanisani kupunguza zambi zako basi padre/mchungaji ye anazungumzia umuhimu wa kumtolea Bwana sadaka tuuuuuu..... shit!
4. Umemwaga yuziful post kama hii, watu wanaipenda afu wanacheeka lakini wanasahau kuitendea haki ya kuigongea kale ka chakula ka LIKE..... manina!
Which bad habits do you HAVE/HATE when it comes to relationships?
Mine:
1. Naweza kuonekana sijali sana kwa kumpa mtu uhuru wake na kutomfuatilia kama mtoto.
2. Ni ngumu kuomba zile samahani za 'kulazimishwa' kosa kafanya yeye samahani anaitaka kwangu.
3. Napenda usawa linapokuja swala la kutendeana mazuri/kuheshimiana n.k
Na hii ni bad habit kutegemeana na nyakati maana nimegundua kiasi flani cha watu hawakubaliani na hilo. . wao wanataka kuheshimiwa ilhali hawawaheshimu wenzao n.k
4. Mkorofi, kwa wale wanaopenda kuendesha wenzao.
5. Mbishi, kwa wale wasiopenda majadiliano.
6. Kiburi, kwa wale wanaopenda kuagiza wenzio kama vile wamewaajiri. Ask me nicely i'll be more than happy to do whatever it is you asking of me, order me around and you'll have to wait forever.
7. Sina UVUMILIVU kwa kiasi kile ambacho wengi wanataka/pendelea.
8. Ni muwazi sana. .
9. Nasimamia nnayoamini, hamna compromise hapo.
10. Mvivu. . . Siku moja moja najisikia kuvivuka tu, hata kula kunageuka kazi.
Nnazochukia:
1. Nachukia mwanaume kuwa insecure.It creates a lot of unnecessary tension.
2. Nachukia mtu anapokumbatia simu yake japo hata akiiacha sitohangaika nayo.
3. Nachukia mtu kudanganya HASWA vitu ambavyo vinaonekana kabisa sio vyalazima.
4. Nachukia mtu kutokua na shukrani na kuchukulia kwamba kwa kuwa na mwenzi wake anamfanyia favor.
5. Nachukia mtu kuchukua mambo ya ndani (mahusiano yao ) na kuyapeleka nje. .iwe mabaya ya sebuleni au mazuri ya chumbani.
6. Nachukia mtu kutomwamini mwenzake bila sababu yoyote ile.
7. Nachukia mtu anapotaka maelezo ya kitu fulani alafu anayakataa akipewa, kwasababu sicho alichotaka kusikia.
8. Nachukia mtu kumtumia mwenzake kifedha/kimwili/kihisia huku akimuaminisha kwamba anampenda.
9. Nachukia mtu kumwambia mwenzake "NAKUPENDA" wakati hamaanishi.
10. Nachukia mtu kumtisha mwenzake na "TUACHANE" kila siku.
11. Nachukia mtu kumnyanyasa mwenzake kwakua tu anajua anampenda.
12. Nachukia mtu kuwa mbinafsi kupitiliza kuhusu mahitaji yake bila kujali mahitaji ya mwenzake. Mf sex. . . mmoja anataka tu na akikosa analalamika bila kujali kwamba mwenzake anaweza akawa hayuko vizuri, au mmoja anakataa bila sababu ya msingi bila kujali kwamba mwenzake anahitaji.
13. Nachukia mtu kuwa mlalamishi kwa kila kitu, kila wakati.
. . . . . . . .
DA ukishakubali kuishi na mtu kubanana hakukwepeki kila siku.
...dahhh....
...kwenye mahusiano hata ukipenda na kuchukia, kila mwenza anakuja
na packages zake bana...ni jinsi ya kuzi accomodate zako na za mwenzako maisha
yaendelee...
...msichukulie mahusiano kama chuo cha mafunzo nyie, sheria na kanuni nyiiiingi....why?
Nimeipokea Amy. . Ahsante.
Hehehehe hiyo hua inavuruga sana mahusiano ya nyumbani. Mtu waliofungana huko hata hawamjui alafu eti ananuna wiki. . . !!
Alafu kuna thread nataka kuanzisha Chiti chati baadae ntatumia ID yako ndani I hope you won't mind. It's just for fun.
Basi kazi ipo kama mmoja anapenda sana na mwingine hapendi kabisa.
Ahsante mwaya.
@DA uswahilini joto likizidi watu wengine hua wanalala barazani, ushajaribu?
Hahahahaha. . . Si mnazima taa ya barazani kama mnayo? Alafu usininyime kuuliza mwasali wakati soda yangu unataka, najifunza ujue!!
Hehehehe dearest hupendi kujua kuku wako kala nini na nini? Mi kuna kaisi ambacho hua napenda kujua ili niwe na idea ya mtu ninaedeal nae.
Lol, niliaga kwenda kulisha watoto nilioachiwa na unayemuulizia sana....hamna lingine tajiri la kihaya....loljamani Michelle nin tena?
nalog foo (source:washawasha)
yaani Michelle jitihada zangu zooooote za usuluhishi ndo naambulia masimango? kha!!!!!!!!! ama kweli mla ndizi husahau mwokota maganda ndo hukumbuka,najiweka pembeni!
ps: mkionana msalimie lakini!
jamani Michelle nin tena?
nalog foo (source:washawasha)
Ahsante dearest. . .
Be good and stay safe uendako.
Katika vitu nitamuomba mume wangu nikijaliwa ni kiwepo chumba cha ziada jamani....akishindwa basi hata kitanda pembeni...mi sielewi kabisa watu wanaweza vipi kulala kitanda kimoja kila siku? unabanwa mwaka mzima,kwa lipi? mwanamke ulale vizuri na ujitanue kwa raha zako bwana,si kujikunja na kubana miguu....!
Unabanwa na joto lote hili halafu anajifanya kawasha feni unaamka na mafua asubuhi taabu tupu tu yaani