Back from Honeymoon

Back from Honeymoon

usijali mlongo wangu, shule zinatafungwa soon, na kwa nnavyomjua shem wangu........aaaaahhhhhhh full machimbo.
yaani ukitoka huko wanadhani ndo unaenda kuanza form one......huko hakuna kupika, kufua, mastress mengine.....yaani ni full kuangaliana kwa macho.....hakuna kulala etiiiii maana unaona usingizini unam-miss mwenzio.... chezea uteja wewe, lol!
mimi pia miss u so machi mlongo wangu......ila nilianza kukumiss baada ya kufika home, lol!
na ungesema ulinimiss toka huko,ningekusemea kwa mama walahi!kha yani we uende honeymoon halafu uanze kuulizia mpka kitchen party za kina mama nanihii sijui na sare za harusi,walahi ningekununia!
 
na ungesema ulinimiss toka huko,ningekusemea kwa mama walahi!kha yani we uende honeymoon halafu uanze kuulizia mpka kitchen party za kina mama nanihii sijui na sare za harusi,walahi ningekununia!
weweeeeeeeeeee, unafikiri alikuwa hata ananipa muda wa kuwaza kitu/mtu mwingine? na tuligoma kabisa kuzungumzia chochote zaidi ya mapenzi yetu......yaani ukianzisha topic nyingine tu unajikuta hakuna mchangiaji, lol!
ila kiukweli nilikuwa na furaha saaaaanaaaaa, sijawahi kufurahi hivi kwa kweli.
Asante sana MPENZI WA MOYO WANGU
 
AHSANTE SANA MPENZI WA MOYO WAKE DADA MKUBWA!
na chilau mewawa!lol
 
ahahahahhahahhahahah chezeya kanga ikiwa imeloweshwa maji weee!uwii af dada mkubwa mi staki uchokozi!lol mboni shem wako atanibeba(ahahahhahhahhahah hii chekea tumboni)
kubebwa tena........yaani kila kitu unafanyiwa.....unakuwa malkia......
yaani usisahau kudeka, ndo muda wenyewe huo mlongo wangu. ukirudi uswahilini tu, akishasikia watu wanakuita mama fulani tayari ameshagundua kuwa umeshakua........hakikisha unashika akili yake yoooooottteeeeee....... hata kulala anashindwa......yaani anakumiss wakati upo naye hapo hapo, kama huyu jamaa
 
Last edited by a moderator:

chezeya hanimuni wewe!ahahahhahahhahahhahaha mambo ya mtu unageukia upande huu unaambia ALREADY MISSING YU!oh la laaaaaa aah!
 
Last edited by a moderator:
Apiliki mlongo wangu......yaani itabidi again and again and againnnnnnnnnn.
Asante kwa support pia mlongo wangu......

ah mwezangu kwa raha zako mamii!raha sana kuyafurahia mapenzi kiasi hiki!after all nini kingine kimpacho mtu amani zaidi ya kupenda na kujihisi unapendwa!ah mwenzangu jiachie dada langu!
 
chezeya hanimuni wewe!ahahahhahahhahahhahaha mambo ya mtu unageukia upande huu unaambia ALREADY MISSING YU!oh la laaaaaa aah!
umeona eeeh! kwani anapata usingizi basi! yaani ukishtuka usingizini unakuta jamaa kakutolea macho tu......kisa hataki kukumiss, lol!
usiombe ukampata mnayependana mlongo wangu...... ni hatari kubwa sana
 
ah mwezangu kwa raha zako mamii!raha sana kuyafurahia mapenzi kiasi hiki!after all nini kingine kimpacho mtu amani zaidi ya kupenda na kujihisi unapendwa!ah mwenzangu jiachie dada langu!
na nimejiachia kabisaaaaaaaaa, nimemkabidhi moyo wangu wooooteeeee, aufanye anachotaka. siku akiuachia (God forbid), sijui mtanipeleka rehab gani? maana hii sumu ni kali sana
 
umeona eeeh! kwani anapata usingizi basi! yaani ukishtuka usingizini unakuta jamaa kakutolea macho tu......kisa hataki kukumiss, lol!
usiombe ukampata mnayependana mlongo wangu...... ni hatari kubwa sana
ahahahhahahhahahha mi huwa ni mbaya kwa imaginationa muulize rafiki yako The Boss hapa nishatengeneza picha moja mardadi kabisa lol!
 
Last edited by a moderator:
jamani naomba mniache.... Erickb52.. KakaKiiza....TANMO na mtu chake....kwa taarifa yenu nina nyonda mpya.....hapa mtasoma tu namba.....nitulie nimekuwa tui la nazi.......kwendeni zenu huko.....hamnitishi wala hamnibabaishi.....alaaaaaaaa......he he he....wewe unaekanda moyo ndio nakuonea huruma.....

Dunia oooooh haina huruma, duniaaaa haina huruma..
Anyway, ni upepo tu. Utapita
Ngoja nimtafute zangu King'asti, nitulize akili na jani............ :mvutaji:
 
Ila TANMO mshahara wa dhambi ni mauti wewe na Erickb52 mtu chake unadhani mlichonifanyia kwa Preta nikizuri??namimi nilifanya kampeni ya chini chini nikaakikisha jimbo lako linang'olewa sasa you should scratch from...0 kudadadeki!!watu people!:bange::drum::drum::whoo::cheer2::target::target::target::target::target::target::censored:

Kaka hamna kitu mbaya kama kupigwa kibuti hazarani kama alivyonifanyia huyu mtu.
Ila Preta si ni wa kwetu sote? alisema hapendi kuona tukimgombania, kila mtu amewekewa zamu yake sema wewe unataka kujimilikisha peke yako.
 
pole sana, ndo dunia ilivyo.......ukienda kama kinyonga wenzio wanaruka kama ndege, lol!
 
Back
Top Bottom