Back from Honeymoon

Back from Honeymoon

dada mkubwa u owe me big time oooh!
BTW hivi muda huu muda uliopost ndo akili zinakuwaga nyingi eeeeh?
chechezeya post za bila kuambiwa ''rudi kwanza>............'' Asprin we ndo mana ni mwanafunzi wangu mpendwa katika hili somo la kuspeculate mambo!hapa umewapiku wengine wooote !A + kwako kwa muhulu huu!lol
Nalijua hilo mlongo wangu, usijali wala nini, you know me now........
huyo mwanafunzi wako Asprin hajui dunia ni duara? labda ndo nilikuwa naamka.......
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi mamangu mpenzi wa kunizaa!lol
huwa unapenda kahawa au capuccino kwa kubreak the fasting?ahahahhahahhahahhahahahhahahhahahhah hapa natamani nikugongee like 800!lol Invisible please niruhusu tuuuuuuuu!mtu akipatia mawazo namna hii kuwe na aina fulani ya motivation jamani !ai !
ha haaaaaaaaaaa, mamako naye bwana, huyu namsamehe sababu umri umeanza kumtupa mkono, lol!
 
Dah!!!Opppppppppppppppppssssssss ngoja nikutizame vizuri yani wewe mtoto FP yani umeisha hivi???Nini kimekukuta huko kwenye asali ya mwezini aka honeymoon??Hukuwepo na shangazi yenu kuwapeni somo maana huwa mnadhani mnakomoa kumbe mnajindana na njia iliyowaleta!!Ila Karibu sana tunakupenda tulikukumbuka sana ila nashukuru kwakipindi chote cha udhuru nilikuwa na watu hakuharibika kitu wote hawa tulikumiss...... Baba_Enock, AshaDii, Arushaone, The Boss, Asprin, KakaKiiza, Nicas Mtei gfsonwin, King'asti, mwaJ, Kongosho, Ciello, lara 1, cacico, FirstLady1, MwanajamiiOne, na wengine woote Walikuwakilisha vema)Ila TANMO mshahara wa dhambi ni mauti wewe na Erickb52 mtu chake unadhani mlichonifanyia kwa Preta nikizuri??namimi nilifanya kampeni ya chini chini nikaakikisha jimbo lako linang'olewa sasa you should scratch from...0 kudadadeki!!watu people!:bange::drum::drum::whoo::cheer2::target::target::target::target::target::target::censored:
ha haaaa, KakaKiiza kweli yale majungu uliyokuwa unayapika yalisaidia kunikimbiza, lol!
 
Last edited by a moderator:
Haiwezekani aisee!
Mbona ngumu? Huyu huyu FP au nani? Kama amekutosa hata mi namdiss mazima hawezi kukufanya wewe kuwa mtu wa kuumizwa other wise ajiandae kula ban kila wiki....!
yaani hata ukinidiss wala sina shida kabisaaaaaaaaaaaa. ninaye wangu wa kumoyo ananipa raha vibaya sana
 
Its good to see you so good to see you ooh how i have missed since you have been gone. You have cross the ocean travel through many land its good to see you back at our home.
stevoh, nimefarijika kusikia nilikuwa nakumbukwa kwa kipindi chote hicho. Asante sana
 
Last edited by a moderator:
Ila ngoja nikuulize ongea taratibu watu wasisikie hivi lara 1 vipi?Ngoja nimwule na FP kwakuwa ni shosti wake!!Kuhusu huyo Preta sijui anamatatizo gani kwenu ila kwangu alitulia labda nyinyi kuna kitu mnamkosea au hamumtimizii!!Ila achana na watoto wa Daraja mbili hawashikiki!!
ha haaaaaaaaa, huyo lara 1 utamuweza?
 
Last edited by a moderator:
Hongera kwa honeymoon FP na karibu tena CC. Nilikumiss sana kwy msuto wa gfsonwin. Ungekuwepo nadhani asingetushida.
Asante sana rafiki yangu mwaJ
yaani ningekuwepo mimi ndo ningekimbia kabla ya muda, naogopaje kusutwa..... maana nimeona alivyowageuzia kibao si mchezo......mlitokaje mbio sasa!
 
Last edited by a moderator:
jamani naomba mniache.... Erickb52.. KakaKiiza....TANMO na mtu chake....kwa taarifa yenu nina nyonda mpya.....hapa mtasoma tu namba.....nitulie nimekuwa tui la nazi.......kwendeni zenu huko.....hamnitishi wala hamnibabaishi.....alaaaaaaaa......he he he....wewe unaekanda moyo ndio nakuonea huruma.....
Heeee kwani ana nyonda ya zamani?
Labda KakaKiiza
Mi niko zangu na kipotabo changu ki Kipipi sina pressure
Nyonda zako Preta ni magubegube
 
Last edited by a moderator:
Ila ngoja nikuulize ongea taratibu watu wasisikie hivi lara 1 vipi?Ngoja nimwule na FP kwakuwa ni shosti wake!!Kuhusu huyo Preta sijui anamatatizo gani kwenu ila kwangu alitulia labda nyinyi kuna kitu mnamkosea au hamumtimizii!!Ila achana na watoto wa Daraja mbili hawashikiki!!

KakaKiiza ni bora kurudi kwa Preta kuliko lara 1 yan kule ni wrong number bora uombe nikupatie kadogo kangu ka nivea
 
Last edited by a moderator:
We mi sina longolongo km wewe unavyomfanyia TANMO huna hata huruma
Ila nashangaa pamoja na kutoka honeymoon bado kijana hajakata tamaa lol
ingawa wanasema asiyekubali kushindwa........ lakini kuendelea kujaribu bahati pia imo.....
 
Back
Top Bottom