Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
- #221
bora mlongo wangu :shut-mouth:ah mi sijathema ivo lo!
haya lete habari za mujini....... zooote zilizotokea wakati nipo chimbo
bora mlongo wangu :shut-mouth:ah mi sijathema ivo lo!
ah humu bana mi mwenyewe unafikir nilikuwepo kuwepo sana basi!kuna kazi moja inanipelekesha kweli kweli mamii!hapa mpka sasa hivi nipo ofisin kwa mtu animalizie stage fulani kisha niendelee!humumwali hakuna jipya saaana sema tu Natalia ana dollar anataka kugawa cacico mke mwenza walimfanyia mtima nyongo lakini na ye wala hakufanya makosa alijilipuaje pande za shem wetu!nina hakika muda si mrefu itabidi tuanze kubeba ndimu au ukwaju humubora mlongo wangu :shut-mouth:
haya lete habari za mujini....... zooote zilizotokea wakati nipo chimbo
pole sana, ndo dunia ilivyo.......ukienda kama kinyonga wenzio wanaruka kama ndege, lol!
ha haaaaaaaa, kweli nimepitwa mlongo wangu. pole na hiyo kazi inayokukamata. Natalia Bado ananyanyasa tu na mzungu wake? ila amepigwa bao na mgombea wa akina BAK BO, sasa sijui ana sura gani huko aliko na wazungu wake! Kongosho bwana, kama namwona alivyokamatika, sasa msururu wake ukiongozwa na mkwe wangu Asprin atamwachia nani? ila afadhali na wengine nao wapate japo kupumua. hiyo harusi sasa mimi mmenipanga wapi? cacico, pole mwaya, duniani huku wabaya ni walio ndani kwako, unakumbuka wimbo wa nibebe wa Rose Mhando? "kumbe ni rafiki yangu tuliyejuana naye sana.... tulikula pamoja, tulikunywa pamoja.... kanisani pamoja, Bwana asifiwe pamoja....kumbe mwenzangu walikusudia kuniangamizaaaaa eeh"ah humu bana mi mwenyewe unafikir nilikuwepo kuwepo sana basi!kuna kazi moja inanipelekesha kweli kweli mamii!hapa mpka sasa hivi nipo ofisin kwa mtu animalizie stage fulani kisha niendelee!humumwali hakuna jipya saaana sema tu Natalia ana dollar anataka kugawa cacico mke mwenza walimfanyia mtima nyongo lakini na ye wala hakufanya makosa alijilipuaje pande za shem wetu!nina hakika muda si mrefu itabidi tuanze kubeba ndimu au ukwaju humu
@kogosho kawekwa mtu kati na zombie lake limechoka kushika mapembe huku kina Asprin wanakamua maziwa ,limeamua kufunguka live na linataka ndoaas soon as posibo!na mi nilivo mpana ka gagulo la kisomali nisapendekeza hadi rangi,mabridemaids,sijui wale wa kusindikiza wimbo,tayari nishaomba undugu kwa zombie ili nimpeleke kwa mamake Kongosho na mambo mengne yaendelee
halafu nilisahau kunasiku tulimsuta gfsonwin lakini duh!alitutoaje kamasi ila wee alichemsah mwisho wa siku!
halafu na nini tenaaaaaaaa enhe nimekumbuka naniii yule tena alikuwaga mchumba wako wa zamani yule,ah! sijui alisemaje vile ngoja nikumbuke!
hiyo yote tisa!kumi ni kuwa platozoom bana a.k.a yake ni mfukunyuku! yani akinusa tu kuwa wifilove wake anamdanganya!hakulaliki na hakuliki lazima kieleweke!eti hataki ule wimbo wa nani sijui yule wa we nidanganye danganye tuu!hataki anasema aambiwe tu ukweli!sasa nafkiri kuna issue atakuwa ameihisi ndo yupo kwenye upekuzi!atakuja tu humu!umuulize alikuwa wapi na yamemsibu mangapi?ha haaaaaaaa, kweli nimepitwa mlongo wangu. pole na hiyo kazi inayokukamata. Natalia Bado ananyanyasa tu na mzungu wake? ila amepigwa bao na mgombea wa akina BAK BO, sasa sijui ana sura gani huko aliko na wazungu wake! Kongosho bwana, kama namwona alivyokamatika, sasa msururu wake ukiongozwa na mkwe wangu Asprin atamwachia nani? ila afadhali na wengine nao wapate japo kupumua. hiyo harusi sasa mimi mmenipanga wapi? cacico, pole mwaya, duniani huku wabaya ni walio ndani kwako, unakumbuka wimbo wa nibebe wa Rose Mhando? "kumbe ni rafiki yangu tuliyejuana naye sana.... tulikula pamoja, tulikunywa pamoja.... kanisani pamoja, Bwana asifiwe pamoja....kumbe mwenzangu walikusudia kuniangamizaaaaa eeh"
he heeeeeee, mwaJ alinipa huo mchapo wa kutolewa balu na gfsonwin...... kama nawaona vile mlivyokuwa wadogo..... Zinduna mwenyewe mwandaa msuto sijui katimukia wapi? maana sijamsikia kabisaaaaaaaaaaaaa.
Asante mlongo wangu kwa nyepesi nyepesi.
halafu hivi mtani wetu platozoom bado yupo? sijamsikia kabisaaaaa
halafu hivi mtani wetu platozoom bado yupo? sijamsikia kabisaaaaa
hiyo yote tisa!kumi ni kuwa platozoom bana a.k.a yake ni mfukunyuku! yani akinusa tu kuwa wifilove wake anamdanganya!hakulaliki na hakuliki lazima kieleweke!eti hataki ule wimbo wa nani sijui yule wa we nidanganye danganye tuu!hataki anasema aambiwe tu ukweli!sasa nafkiri kuna issue atakuwa ameihisi ndo yupo kwenye upekuzi!atakuja tu humu!umuulize alikuwa wapi na yamemsibu mangapi?
Nakutaka ila naogopa kugandiana...!Erickb52 au mwanajf mwenzangu unanitaka?
Awapi aniwezi mimi naendaga infoo kama hivi naanza kukutokea naona turaisishe mambo maana hapa nao tutamwakuku kwenye mchele mwingi!!lol!!Njoo PM tumalize mzizi wa fitna wabaki wamekodoa nina jembe langu gfsonwin kwa msaada wa marekani hakiharibiki kitu!!
ha haaaaaa, "2012 Dunia ni yako, chaguo ni lako"Asante sana, Sasa siku nikikutana na huyo aliyenizidi kete nimuite Shemeji au Braza au Mwenza au Mgoni?
ha haaaaaa, binamu type writer nimeshaacha kutumia, asante kwa kuniambia hilo.dah Binamu FP karibu sana nilikumisss, vipi mama mkwe anauliza Honeymoon imejibu??
Binamu acha kutumia typreta mwandiko unaumiza majicho
ha haaaaaaaaa, nampongeza sana huyo mtani platozoom, hata mimi huo wimbo siutaki kuusikia kabisaaaaaaaa. yaani niambie ukweli kama vipi nisepe.... kwa nini ugandane na ambaye hakupendi?hiyo yote tisa!kumi ni kuwa platozoom bana a.k.a yake ni mfukunyuku! yani akinusa tu kuwa wifilove wake anamdanganya!hakulaliki na hakuliki lazima kieleweke!eti hataki ule wimbo wa nani sijui yule wa we nidanganye danganye tuu!hataki anasema aambiwe tu ukweli!sasa nafkiri kuna issue atakuwa ameihisi ndo yupo kwenye upekuzi!atakuja tu humu!umuulize alikuwa wapi na yamemsibu mangapi?
nilijua tu mtani lazima unimissss, utakosaje kunimiss wakati mimi ndo natembea na kibobo cha pumzi yako? lol!Halafu wewee nimekumiss........na nimekutafuta kweli....nimeenda bombambili sijakuona, pitapita lizaboni hakuna mtu....nikapanda baiskeli mpaka Mbinga holaa...........ikabidi niende Mbamba bay huko ndio kabisaa nakutana na washamba wa kingoni wanawaiga wanyasa kuvua samaki.
Hongera kwa haneimuni............nakuona mwepesiiii
yaani wewe, ng'ombe ndo anakutoa roho? ugonjwa ukipita tu chali.....Me mjanja unafikiri nani anapenda kuuziwa mbuzi kwenye gunia? Halafu sisi mahari tunalipa kwa ng'ombe (najua utafikiri ni ndugu yako).......halafu mtu alete masikhara nang'oa shingo kabisa!!
nilijua tu mtani lazima unimissss, utakosaje kunimiss wakati mimi ndo natembea na kibobo cha pumzi yako? lol!
yaani ni mwepesiiiiiiiiiiiiii, si utani, lol! ungekuja mfaranyaki mtani, kuna muda muda nilikuwa kule labda ungenibahatisha.
wifi hajambo lakini? maana mlongo wangu snowhite ananiambia upo mawindo ya kufumania, lol!
yaani wewe, ng'ombe ndo anakutoa roho? ugonjwa ukipita tu chali.....
huyu wangu mahari kalipishwa dola, gold na silver, yeye akaongezea diamond platinum na Tanzanite lakini wala hajawahi kusungumzia mahari siku zote hizo
Hawapi nilishtuka mapema nikawaachia mkajifanya kuniongelea mbofumbofu humu nikasema ipo siku mtarudi na ngeu chezea mtoto wa daraja mbili au Matejo kwa mama yoyo biashara gongo!!Utamwambia nini??Poleni ndo ukubwa!Kaka hamna kitu mbaya kama kupigwa kibuti hazarani kama alivyonifanyia huyu mtu.
Ila Preta si ni wa kwetu sote? alisema hapendi kuona tukimgombania, kila mtu amewekewa zamu yake sema wewe unataka kujimilikisha peke yako.