Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
- #181
he heeeeeeeeee, kumbeeee!Umesahau kuwa pm naziona??
he heeeeeeeeee, kumbeeee!Umesahau kuwa pm naziona??
Mimi mimiiiiiiiii wa kupigwa kibuti?salamu zimefika. ila jana tulipata wasaa wa kuongea kidogo inaonyesha ulishapigwa kibuti, au hulijui hilo?
Usiogope hakuna hilo na mkulu alishakula kiapo hata akiziona mdomo:shut-mouth:he heeeeeeeeee, kumbeeee!
..mkuu nitake "RADHI"..mie ni Preta tu ndio ananisumbua wengine nikiamua dakika sifuri...hahahahahaMimi mimiiiiiiiii wa kupigwa kibuti?
Heheheheee FP umekosea atakuwa ni TANMO au mtu chake
Mi sina historia labda itokee niamue kuacha mwenyewe kama nilivyofanya kwako...unakumbuka ulikuwa na wakati mgumu wa kumkataa TANMO ? Kama nisingeamua kumwachia jamaa ungekuwa mikononi mwangu kwa sasa ila baada ya kumwona Kipipi yuko juu sana nkaamua kuepuesha msongamano kwako!
next time mjipange vizuri, siyo ya ghafla bin vu, lol!
you wish!Mimi mimiiiiiiiii wa kupigwa kibuti?
Heheheheee FP umekosea atakuwa ni TANMO au mtu chake
Mi sina historia labda itokee niamue kuacha mwenyewe kama nilivyofanya kwako...unakumbuka ulikuwa na wakati mgumu wa kumkataa TANMO ? Kama nisingeamua kumwachia jamaa ungekuwa mikononi mwangu kwa sasa ila baada ya kumwona Kipipi yuko juu sana nkaamua kuepuesha msongamano kwako!
tupo pamoja rafiki, ni hiki kidole ndo kiliteleza, tutajipanga mwaya, nani hataki bonus na xmas yote hii!Haaaa! Mbona unasema "mjipange" badala ya "tujipange"? Mwenzetu upo kambi gani? Utakosa bonus ya X-mas! shauri yako! Lol!
afadhali...... lakini mimi zangu hata akija kuzimwaga hapa hazina sumu....... ndoa yangu itaendelea kudumu, lol!Usiogope hakuna hilo na mkulu alishakula kiapo hata akiziona mdomo:shut-mouth:
dada mkubwa!kuuliza sio ujing alakini!nahisi kama tabasamu limeongezeka!
kumba makitu yanaongeza jismile enhe! Boflo watu8 et al mwaona dada mkubwa alivo nawir!sa na nyie muwe mnawapa watu honeymoon sio kila siku humo humo tu,kisa oh hiki chumba nimelipa kodi kubwa sana!INAHUUUU!? mwaJ mwenzio naanza kuandika application ya honeymoon hapa!wewe je? Kongosho sijui kama ataipata manake mazombie yakistuka yanakuwaga majeuri hayo!kisa oh yalishafanya pre paid mabembelezo!
kumbe mlongo wangu umeona eeh! sasa kuna mtu mmoja anaitwa KakaKiiza eti anasema kaniangalia sana kaona nimepungua na nimechoka sana, mi namwangalia tuu.dada mkubwa!kuuliza sio ujing alakini!nahisi kama tabasamu limeongezeka!
kumba makitu yanaongeza jismile enhe! Boflo watu8 et al mwaona dada mkubwa alivo nawir!sa na nyie muwe mnawapa watu honeymoon sio kila siku humo humo tu,kisa oh hiki chumba nimelipa kodi kubwa sana!INAHUUUU!? mwaJ mwenzio naanza kuandika application ya honeymoon hapa!wewe je? Kongosho sijui kama ataipata manake mazombie yakistuka yanakuwaga majeuri hayo!kisa oh yalishafanya pre paid mabembelezo!
itapitishwa tu, chezeya shemu wangu weye......Nakutakia heri application yako ifanikiwe. Mie nilishatuma maombi naona yana mlolongo mreeefu mpaka yapitishwe.
ahahahhahahhahha full kurudi uform six leaver!ahahhahahhahah !shurti shingo inaangukia kwa pembeni!halu haluuuuu!kumbe mlongo wangu umeona eeh! sasa kuna mtu mmoja anaitwa KakaKiiza eti anasema kaniangalia sana kaona nimepungua na nimechoka sana, mi namwangalia tuu.
afadhali mdogo wangu umeona tabasamu limeongezeka......raha ya mapezni si unajua tena? hasa kama wote mkiwa mateja, lol!
wahimize hao madogo wachangamke kuwatoa wake zao, inalipa aisee
Nakutakia heri application yako ifanikiwe. Mie nilishatuma maombi naona yana mlolongo mreeefu mpaka yapitishwe.
itapitishwa tu, chezeya shemu wangu weye......
usijali mlongo wangu, shule zinatafungwa soon, na kwa nnavyomjua shem wangu........aaaaahhhhhhh full machimbo.ahahahhahahhahha full kurudi uform six leaver!ahahhahahhahah !shurti shingo inaangukia kwa pembeni!halu haluuuuu!
chezeya TEJA LA KINGONI!uuuuuuuwih mi staki!jamani shule zinafungwa lini ?nna njaa na kiwanja cha nje!hizi nyasi za hapa old traford nahisi nimezizoea kiasi sasa nataka niende anfield au emirates!ahahahhahahhah dada mkubwa mimi love yu saan bana!af nilikumiss kama nini!
ha haaaaaaaaa, kanga moja pia inahuuuuuu, lol!umeona enh dada mkubwa !kitu cha honeymoon masikhara huwa hakina kila bana!lol!mi vile vijindala na vijikaptura tu!uwwih!