Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
h ahaaa, chezeya watoto wa Peramiho weye, utacheka hata kama unanunishwa, lol!
bora kabisa usitie neno hapo rafiki
humu nina walongo wengi balaa. huyo moto2012 mara ya mwisho alitutambulisha wifi yetu Preta, sijui wanaendelea? maana naona preta mwenyewe anao wengi. mlongo mwingine ni Kipipi, huyu alikuwa anafukuziwa na Erickb52 baada ya mimi kumkataa, ila inaonyesha hata Kipipi naye kamkataa....... huyu Peramiho haimtaki kwa kweliKumbe una mlongo mwingine rafiki? hahahahah lol! huyu nilikuwa sijamsikia...haya ngoja tusubiri ufafanuzi kuhusu Chiviga
bora umeamua hivyo rafiki, lol!:tape::tape::tape::tape::tape: lol!
humu nina walongo wengi balaa. huyo moto2012 mara ya mwisho alitutambulisha wifi yetu Preta, sijui wanaendelea? maana naona preta mwenyewe anao wengi. mlongo mwingine ni Kipipi, huyu alikuwa anafukuziwa na Erickb52 baada ya mimi kumkataa, ila inaonyesha hata Kipipi naye kamkataa....... huyu Peramiho haimtaki kwa kweli