Haiwezekani aisee!Nimeshapigwa kibuti Kaka, nipo naukanda moyo hapa...
KakaKiiza mambo!Dah!!!Opppppppppppppppppssssssss ngoja nikutizame vizuri yani wewe mtoto FP yani umeisha hivi???Nini kimekukuta huko kwenye asali ya mwezini aka honeymoon??Hukuwepo na shangazi yenu kuwapeni somo maana huwa mnadhani mnakomoa kumbe mnajindana na njia iliyowaleta!!Ila Karibu sana tunakupenda tulikukumbuka sana ila nashukuru kwakipindi chote cha udhuru nilikuwa na watu hakuharibika kitu wote hawa tulikumiss...... Baba_Enock, AshaDii, Arushaone, The Boss, Asprin, KakaKiiza, Nicas Mtei gfsonwin, King'asti, mwaJ, Kongosho, Ciello, lara 1, cacico, FirstLady1, MwanajamiiOne, na wengine woote Walikuwakilisha vema)
Mimi nipo nakunywa wine baada yakutimiza gal zangu!!ila siyo MDG! Erickb52 namsubiri TANMO na mtu chake!maana hawa ni mabazazi walichonifanyia kunipeperushia njiwa wangu Preta!we acha ila namshukuru mungu maana siku hizi Preta naona anapita kule njia kabadilisha wakati ndiyo ilikuwa njia ya mkato kwake sikuizi anazunguka ili mradi asionane na mimi!!KakaKiiza mambo!
Mzima kaka?
Hehehee achana na stress toka kwa Preta kwanza hajatulia yan kila mwanaume anamtaka nahisi atakuwa kambakiza Invisible tu nae ni kwa kuogopa kudungwa life ban otherwise angeshatumaliza wote!Mimi nipo nakunywa wine baada yakutimiza gal zangu!!ila siyo MDG! Erickb52 namsubiri TANMO na mtu chake!maana hawa ni mabazazi walichonifanyia kunipeperushia njiwa wangu Preta!we acha ila namshukuru mungu maana siku hizi Preta naona anapita kule njia kabadilisha wakati ndiyo ilikuwa njia ya mkato kwake sikuizi anazunguka ili mradi asionane na mimi!!
Ila ngoja nikuulize ongea taratibu watu wasisikie hivi lara 1 vipi?Ngoja nimwule na FP kwakuwa ni shosti wake!!Kuhusu huyo Preta sijui anamatatizo gani kwenu ila kwangu alitulia labda nyinyi kuna kitu mnamkosea au hamumtimizii!!Ila achana na watoto wa Daraja mbili hawashikiki!!Hehehee achana na stress toka kwa Preta kwanza hajatulia yan kila mwanaume anamtaka nahisi atakuwa kambakiza Invisible tu nae ni kwa kuogopa kudungwa life ban otherwise angeshatumaliza wote!
Mi nimehamia zangu kwa Kipipi ambako hakuna stress mtoto hana kashfa hata moja lol najituliza zangu tuliiiiiii kama kasuku!
Nadhani Moyo wake sasa karibu utakuwa kama jipu lilokaribia kupasuliwa!!Unchezea toto ya Daraja mbili kwa sinoni!!utalala hoi na juzi Dina marios alienda kuwapa kitchen part gal kuna mdada fb anaitwa kungwi lao mutajibeba!!jamani naomba mniache.... Erickb52.. KakaKiiza....TANMO na mtu chake....kwa taarifa yenu nina nyonda mpya.....hapa mtasoma tu namba.....nitulie nimekuwa tui la nazi.......kwendeni zenu huko.....hamnitishi wala hamnibabaishi.....alaaaaaaaa......he he he....wewe unaekanda moyo ndio nakuonea huruma.....
Na kisosi cha poda!Ulinitoroka kwa nini??
Tulikubaliana niende na wwe hanemuni niwe namsaidia kushikilia baadhi ya viungo? Hasa mdalasini
....Nimekusikia..Nimekufikia..jamani naomba mniache.... Erickb52.. KakaKiiza....TANMO na mtu chake....kwa taarifa yenu nina nyonda mpya.....hapa mtasoma tu namba.....nitulie nimekuwa tui la nazi.......kwendeni zenu huko.....hamnitishi wala hamnibabaishi.....alaaaaaaaa......he he he....wewe unaekanda moyo ndio nakuonea huruma.....
Asante sana mdogo wangu. ila usijali wala nini, tupo pamoja sasaMie nilikumiss mpaka nikapauka mwili na roho!
ha haaaaaaaaaa, nimeona highlights chezeya wewe, si mchezo.....naona hata Zinduna aliyeandaa msuto alikula kona, lol!karibu tena mamito lol! unausimulia msuto wangu niliwagaragazaje??? muulize Ruttashobolwa na DSpecial walinikubali mbona wote walikimbia uwanja?? chezeya kunngwi wewe.........