Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,744
Heshima kwenu wana CC wenzangu, yaani najiona kama nimekuwa mpya hapa. Naona nyuzi nyiingi na nzuri ambazo zimenipita kipindi chote nilichokuwa honeymoon. Nawashukuru woote waliokuwa wananimiss huku kwa hicho kipindi maana nimekuta alert za kumwaga (PM, mentions, tags… hii inaonyesha kweli kuna watu wananikumbuka sana hata kama sipo. Mubarikiwe sana
Napenda kuchukua nafasi hii kuomba msamaha kwa mlongo wangu snowhite sikuweza kukusalimu na kuhudhuria party yako ya kuzaliwa, nina uhakika shem wangu alifanya mambo makuu, namuaminia sana. Hata hivyo utanidai kwa hilo, lazima dada mkubwa atambue wajibu wake. Kakangu moto2012 na mdogo wangu Kipipi mumjovela mwe mlongo wangu huyo apepayi, chonde.
Rafiki yangu Madame B pia naomba unisamehe, najua tutayamaliza haya siku si nyingi.
Mchumba aliyekimbia mahari TANMO na your rival Erickb52 najua mlinimiss saaana, maana nimekuta uzi kabisa wa kunitafuta. Pole ulishapigwa bao, lol! Jamani kwa wale waliodhani mimi ni wale waliogandana kule Temeke ( Mungi et al.) siyo kweli, nilifichwa tu sehemu na mupenzi, na kwa raha nilizokuwa nazo sikuweza kukumbuka kama kuna JF.
Wifi yangu sweetlady, kweli ulijitahidi lakini ndo hivyo tena ambacho si rizki hakiliki, lol!
Kuna rafiki zangu nilikuwa nawakumbuka mara moja moja; Dena Amsi, Baba_Enock, AshaDii, Arushaone, The Boss, Asprin, KakaKiiza, Dark City, Kaizer, Mamndenyi, mpalu, mtu chake, Baba V, Nicas Mtei, C6, BAK, Young Master, wakati ndio sasa, Zinduna (sijui lini tunamsuta mtu? Maana niliukosa ule msuto wa gfsonwin, ila naona akina King'asti, mwaJ, Kongosho, Ciello, lara 1, cacico, aka kasiko (pole mwaya), FirstLady1, MwanajamiiOne, na wengine woote Waliniwakilisha vema)

Last edited by a moderator: