CUTE
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 1,229
- 592
mwaka wako huu mpaka na kihindi hindi utapataKizunguzungu..............
mwaka wako huu mpaka na kihindi hindi utapataKizunguzungu..............
Kizunguzungu..............
ilikuwa nzuri saaaaana........
wenyewe eti tuna-wish mapacha, ndo kwaaanza wana siku kadhaa huku kwa tumbo, lol!
ha haaaaaaa, ukweli ndo huo rafiki.Yaani siku zote izo ulikuwa ubanikumbuka mara moja tu @fp? Wakati kila mara nilikuwa nakuongoza kwen toba?
ha haaaaaaaaa, mlikomaje sasa?
next time mjipange vizuri, siyo ya ghafla bin vu, lol!We acha tu!
kama ulikuwepo, mwendo ni kuzidiana speed tu "kwa msaada wa watu wa marekani", lol!Utajibeba wewe unakaa unapet wakati umesikia kunakuja Hurricane sandy ??Eti @FP?
Awapi aniwezi mimi naendaga infoo kama hivi naanza kukutokea naona turaisishe mambo maana hapa nao tutamwakuku kwenye mchele mwingi!!lol!!Njoo PM tumalize mzizi wa fitna wabaki wamekodoa nina jembe langu gfsonwin kwa msaada wa marekani hakiharibiki kitu!!niambie huyo kaka yangu Erickb52 kesha kula hela ???naona unajiamini sana
Awapi aniwezi mimi naendaga infoo kama hivi naanza kukutokea naona turaisishe mambo maana hapa nao tutamwakuku kwenye mchele mwingi!!lol!!Njoo PM tumalize mzizi wa fitna wabaki wamekodoa nina jembe langu gfsonwin kwa msaada wa marekani hakiharibiki kitu!!
thanx...... it was great!welcome back , how was it ? feedback pse...