Back from Honeymoon

Back from Honeymoon

kumbe mlongo wangu umeona eeh! sasa kuna mtu mmoja anaitwa KakaKiiza eti anasema kaniangalia sana kaona nimepungua na nimechoka sana, mi namwangalia tuu.
Haya najua kilichokupata wewe unaona umenawili ila sisi tunaokujua tunaona!Ila mimi simtu mzima najua nini kimehappen ndo ukubwa!!
 
Hawapi nilishtuka mapema nikawaachia mkajifanya kuniongelea mbofumbofu humu nikasema ipo siku mtarudi na ngeu chezea mtoto wa daraja mbili au Matejo kwa mama yoyo biashara gongo!!Utamwambia nini??Poleni ndo ukubwa!

Usije ukachagua mwenza kama Preta kwa sababu yakulipiza utaingia cha kike na mwishowe ukituma sms ujibiwe hivi!

Kweli wewe mtu Preta alikuumiza moyo. Kila dakika lazima umtaje, halafu niko naye hapa Ghetto ananiliwaza na kibuti cha FP, sema yuko jikoni anaanda makulaji.. Karibu lakini!
 
Kweli wewe mtu Preta alikuumiza moyo. Kila dakika lazima umtaje, halafu niko naye hapa Ghetto ananiliwaza na kibuti cha FP, sema yuko jikoni anaanda makulaji.. Karibu lakini!
Unajitia moyo wakati moyo wako umeiva kwa ghubu!!poyeee mimi lara 1 kajaa namsubiria hapa nakaniambia ananunua wine anakuja step kwa step usimkanyage mwenziyo!!
 
Last edited by a moderator:
Nilitaka kuja mfaranyaki lakini kufika bombambili nikakutana na wazee wa Kingoni wakaniambia "karibu babu karibu babu" huku wanatetemeka (si unajua taito yetu kubwa)...........basi nikapiga mayi (ofcoz komoni) mpaka nikazima.Ila nashukuru niliamka salama ila memory za mfaranyaki zikawa "corrupted" na virus.

Usimsikilize sana snowhite ........huyu mwanamke amekuwa mbea huyo...........balaa!!
ha haaaaaaaaa, umeona sasa......yaani komoni tu chali....lol! nina uhakika ulikabidhiwa na toto la kingoni ukasahau kilichokupeleka....au unasemaje mlongo wangu snowhite?
 
Last edited by a moderator:
Unajitia moyo wakati moyo wako umeiva kwa ghubu!!poyeee mimi lara 1 kajaa namsubiria hapa nakaniambia ananunua wine anakuja step kwa step usimkanyage mwenziyo!!

Dont tell me uko siriaz kwenye Red Mkuu,,,,, Ila ni mpaka Lara 1 aje athibitishe..
Na kama ni kweli basi wewe ni Mkareee :first:
 
Dont tell me uko siriaz kwenye Red Mkuu,,,,, Ila ni mpaka Lara 1 aje athibitishe..
Na kama ni kweli basi wewe ni Mkareee :first:
Rudi kwenye page ya 8 hivi utaona ila nimepewa angalizo na Erickb52 niwe mwangarifu nisiende kama mamba macho yapo utosini!
 
Last edited by a moderator:
ha haaaaaaaaa, umeona sasa......yaani komoni tu chali....lol! nina uhakika ulikabidhiwa na toto la kingoni ukasahau kilichokupeleka....au unasemaje mlongo wangu snowhite?

Hapo nisiseme uongo...... mnaweza............ kwanza anaanza kama mashine ya windmill halafu kidogokidogo anaongeza spidi ya feni la mchina..........mwishowe inakuwa kama pangaboi la helikopta.

Basi baiskeli yangu ilikuwa nje akaniambia usiwe na wasi.........kila baada ya dakika 2 ananizungusha na kunibeba hadi juu dirishani halafu ananiambia (with ngoni tone) "umeona baiskeli yako, iko haphap"!!
 
umeona eeh!
 
Kumbe eeh! ndio maana unazidi kunawiri na kupendeza!!! macho yanazidi kung'aa, ngozi nyororo utadhani ya kichanga na nywele zilizonawiri zinakaribia kushuka hadi kiunoni....Kupenda na kupendwa raha sana asikwambie mtu FP unalala ukiwa na tabasamu la nguvu, ukiamka una tabasamu la nguvu siku nzima ni raha tu vicheko visivyokwisha na chakula kitamu kuliko vyote duniani CHERISHED FOOD...Mweziasali unaupata mara mbili kwa mwaka kunako anniversary na kwenye Xmas kwa hisani ya watu wa America ... Hongera zako nyingi FP jirushe kwa raha zako...msalimie sana TEJA 🙂🙂mwambie maradhi hayo ni mabaya sana asigomee matibabu lol!:majani7:

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom