Bachelor sugu naomba ushauri wenu wakuu

Bachelor sugu naomba ushauri wenu wakuu

Huyo dogo wa UDSM yuko Dar? Wewe upo Dar?

Mfuate mtandike mikanda, chapa makofi kisha ondoka.

Muda wote wa tukio usiongee kitu. Baada ya siku nne mtumie sms.

"Mtoto atasoma wapi?"
Dogo wa UD ss hv yupo field mwanza mi naishi zangu Moro kiukweli ni subira yangu tu imeepusha mengi but naamini kiuanaume tulio wengi tusingekubaliana na hii tabia ya mdogo wangu.But yote heri nashukuru sana kwa mawazo yako mkuu nimeshamwambia akirudia tena tabia hii nitapanda basi kwa ajili yake tu na simtanii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Family friend mdogo alikua ana dharau hizo hizo.

Kaka mtu uhamiaji mdogo mtu kaaminiwa na wakorea kaachiwa ofisi. Akawa ana jeuri za hapa na pale. Na wote walikua wanaishi nyumbani bado.

Siku hiyo kumekucha mvua inanyesha. Kaka mtu akavaa traki akamgongea mdogo, mdogo akafungua kilifuata kipigo na kuburuzwa kwenye maji ya mvua.

Alinyooka.
 
Mdogo wako anapataje kiburi mbele yako? Dada yangu nilikua namuogopa kwasababu alikua ananipiga sana makonzi. 'mimi ndo dada yako,ni mkubwa kwako. Uniheshimu'
 
Hahahahaha kweli hiyo safi heshima lazima irudi mkuu,hata mm siku hiyo ikifika napiga stop wazee kuingilia kati tena kwa ukali wa kufa mtu mpaka atubu kwa sauti kubwa kuwahatorudia upumbavu huo ndo nimuache ila baada ya kumlainisha vya kutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Piga Makofi mkuu hawa madogo usipo wanyoosha ni shida Hata Kama ana ndevu Piga onyo usimpige mbele ya wazaz

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu yaani bimkubwa wangu hapendi dharau kabisa yy anakwambia mdogo anatakiwa kubaki kuwa mdogo na mkubwa awe mkubwa tu hadi alishafikia kuwapambanisha huyu dogo na kaka yake yaani anayenifuata wapigane ili ijulikane nani mkubwa,aisee palinoga huyu dogo alipigwa akaanza kulia na kuomba msamaha na pia baada ya mtanange huo bimkubwa akamuongezea na fimbo juu but kwangu mm ananiona maji poa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdogo wako anapataje kiburi mbele yako? Dada yangu nilikua namuogopa kwasababu alikua ananipiga sana makonzi. 'mimi ndo dada yako,ni mkubwa kwako. Uniheshimu'
Unajua Dada yangu ninayemfuata kanizidi miaka 3 japo hana chochote na mie nimekuwa nikimbeba hapa na pale but namuheshimu na sijawahi kutofautiana nae kauli hata kwa mbali licha ya msaada mkubwa niliompa na hela yangu nyingi aliyokwishakupoteza ktk kujaribu kumuinua na hawa madogo wote wanayajua na wanayaona.But sijui kwann hawajifunzi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakua watu wengi humu tunakushauri ukambonde we cha kufanya anza kutafuta pumzi tu kama wiki mbili hivi.

Ila kama na yeye yumo humu ndugu yangu utakuta surprise imekusurprise
 
Back
Top Bottom