Bachelor sugu naomba ushauri wenu wakuu

Bachelor sugu naomba ushauri wenu wakuu

1. Malezi ya mtoto yanaanzia na umri gani? Tabia inajengeka kipindi kipi katika makuuzi ya binadamu? 3. Maongozi ya familia yanachangia kupata nidhamu ya familia? 4. Je? tunataka mfumo wa maisha binafsi au mfumo wa maisha ya familia. 5. Hivi, unamsomesha mdogo wako ili aishi maisha yake? 6. kumsomesha mtoto kumbe sio kuwekeza? 7 sasa, tofauti ya ubinadamu na ung'ombe haupo? Naambiwa ng'ombe dume hampandi mama yake, hivi ni kweli? Huu ndio mchango wangu tafadhali.
Maisha yetu waafrika ni kama mbio za vijiti unakimbiza na mwenzio ukiona pumzi inakukatia basi akupokee,tulio wengi tunawekeza kwa watoto na ndugu zetu but unapopata bahati mbaya ukakosea ulipowekeza basi uwekezaji hugeuka kuwa kamari tena ile uliyoliwa.
Anyway asante kwa mchango wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani mkuu nitajitahidi kulitafutia suluhu na lazima nisimamie future ya huyu dogo wa mwisho coz hawa wengine wameshakuwa na mwanga wa maisha ila huyu yy bado yupo gizani hivyo lazima nimpambanie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana ila usiwe mbabe kwa kulazimisha vitu wape nafasi na wadogo zako nao watoe mawazo yao. Katika Maisha kuwa mkubwa sio kwamba ndio una dominate maamuzi yote. Uenda wadogo zako au ndugu wengine wana mawazo au upeo mkubwa Zaidi yako. Huyo mdogo wako msikilize anaweza kuwa na mawazo mazuri sana. Ila mnatakiwa kumsikiliza Zaidi huyo dogo anayefanyiwa maamuzi maana yeye ndio mnafanya mustakabali wa Maisha yake msikilizeni na mumshauri katika njia iliyo bora.

Nawatakia kila lakheri na pia nawaombea muishi katika kupatana na kupendana
 
Shukrani sana ubarikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za jioni wapendwa wote.

Sawa na kichwa cha Uzi hapo juu,naombeni mchangi wenu wa mawazo katika hili.

Mimi ni mtoto wa 2 kuzaliwa katika tumbo la mama yangu nikitanguliwa na dada yangu na pia nina wadogo 3 wa kiume wa 2 na kitinda mimba wetu ni wa kike.

Nimeelemewa na ujeuri na dharau za wadogo zangu hawa wawili wa kiume hali inayonifanya nihisi kuchoka na kuhitaji kuchukua hatua ili tu niwadhihirishie kuwa mm ni kaka yao na ni mkubwa kwao.

Licha ya kuwa mm ndiye niliyewasimamia na kuwasaidia katika masomo na miongozo yote maana wazazi nguvu ziliwaishia mapema hivyo kuanzia level ya sekondari nilichukua usukani na kuwasimamia hawa madogo na niliweka nadhiri ya kuhakikisha wanapata pa kushika ilimradi kila mmoja aweze kupata namna ya kujipatia mkate wake wa kila siku.
Nashukuru Mungu kuwa mmoja alishaajiriwa serikalini tangu 2014 na huyu mmoja anaingia mwaka wa NNE hapo UDSM katika kozi flani ya mambo ya Sayansi
Jana katika conversation moja na huyu wa UDSM tukiwa tunabishana kuhusu namna ya kumuendeleza huyu kitinda mimba wetu ambaye amemaliza form four mwaka Jana na kupata matokeo mabaya huyu dogo kutokana na kujua kwake akampa amri huyu binti kuwa anatakiwa kusema Veta-Laboratory technology hivyo nililazimika kumuhoji kama kuna channel ameipata ambayo atampachika huyo binti pindi atakapomaliza hiyo kozi lakini hakuweza kunipa maelezo yaliyonyooka hali iliyopelekea mm kukataa huyu mtoto kusema hiyo kozi nikitoa altenative kuwa afunguliwe mradi ili ajiajiri.

Kiukweli mdogo wangu huyu msomi alijibu jeuri kubwa kuwa DOGO ATASOMA KOZI HIYO VYOVYOTE ITAKAVYOKUWA na kwa kuwa mie ndiye maamuzi nilimwambia hicho kitu hakitakuwepo na mlengwa mwenyewe hawezi ends kinyume na mm sababu anajua ni gharama zangu kiasi gani nimepoteza kwa ajili yake.
Kila nikiyarejea mazungumzo ya SMS tuliyoyafanya Jana kiukweli napata na hasira sana maana huyu dogo imekuwa ndio tabia yake kwa muda mrefu sasa hivyo naombeni ushauri ndugu zangu nimfanyeje ili aweze kutambua kuwa mm ni mkubwa kwake na adabu ichukue mkono wake?

Sincerely,Bachelor Sugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nitalielezea hili kwa uzoefu wangu na hatima yenu ya mbelen.
Kwanza mi binafs nilipitia hayo maisha yako japo mi niliishia la saba then nilipowamaliza wote wa nne chuo ndio nikasoma mimi. Iko hiv.
Mi nilijichanganya na maisha mapema sana na wakat naanza maisha nilijiwekea malengo matatu.
Kufafuta msingi wa kuanzia maisha
2.elimu za wadogo zangu na kesho yao
3.shughuli za wazazi za kuwaingizia kipato.
4.familia yangu na uwekezaji endelevu.
Wakati namaliza la saba nilikuwa na hela flan niliyoipata kwa kuuza matunda na mafuta ya taa so nilianzia huo.
Nilianza kumpeleka wa kwanza shule mpaka amemaliza master na namshukuru Mungu ana kaz na ana maduka yake anaendelea vizur.
Wa pili kamaliza degree ya kwanza nae ana shighuli yake. Wa tatu anamalia chuo ifm. Nae anamsingi wake wa kuagiza gar moja na kuuza.
Wazaz nilinunua eneo nikachimba maji safi chin so nikawafundisha namna ya kulima zile mboga kwa ngaz ili waweze kuwa na mboga za kuuza kila cku. So wamemasta na cjawah kutuma hela mosh huu ni mwaka wa 5.
Changamoto iko hapa.
Wakat ninaanza hiz kitu wote walikuwa wananisikiliza lakin kumbe kijana anapokuwa anataka nae asikilizwe so mi nilikuwa nikikaa nao kwenye kikao cha familia nawapa mda mwingi wa kuwasikiliza then mtu akikosea unamrekebisha kwa lugha lain coz ukitumia mabavu unaisambaratisha familia.so inabid utumie hekima zaid kuliko nguvu. Pamoja na yote hayo kumbuka hao ni ndugu sio watoto wako so hayo yote unafanya tu katika ile hali ya kutimiza ndoto zako northing more. Usimsomeshe au kumsaidia mtu kwa matumain yeyote.
Ushaur wangu kwako msomeshe mdogo wako hasa kama ni wa kike. Hata afeli mara ngapi msomeshe hata padogo mbelen atajiongeza na kama ni msingi utamuongezea wakat huo. Pili mtu akishafika form six epuka kumwekea mashart mengi au usikilizwe wewe tu. Ukiwa na wadogo zako epuka kuongea sana wasikuzoee sana na mwisho. Kwa sasa angalia zaid familia yako anza kujiondoa kwenye mambo ya familia ya baba yako taratibu wakutafute pale pa muhim tu. Mwisho nenda katoe shukran kwa Mungu kama alikupa ufahamu ukajua umuhim wa kuwasomesha wadogo zako then deal na familia yako. Hongera kwa ulichofanya huwez kuona umuhim wake sasa ila itakusaidia mbelen watoto. Hii habar ya watoto wa baba mkubwa wana maisha mazur kuliko sisi mnaanza kulogana yanaisha kabisa. So mkishaoa na kuwa na familia mnanunua eneo kubwa mnakuwa mnakutana hapo na watoto wenu na wake zenu mnafurahia maisha mkisubir kabur mzee. Northing more.
 
kizazi cha nyoka...tena wenye sumu ya "fira", wewe ndie mkubwa....kuwa na busara, chaguo la binti ndio sahihi....anataka kufanya nini......wewe na mdogo wako mna bifu zenu.....msimuharibu binti....kumbuka kwa age yake hiyo atampata rafiki wa amani.......sikio halizidi kichwa.....wewe fanya maamuzi na tekeleza kwa mustakabali wa binti......wacha kufikiria kumuadhibu msomi........boom bado halijaisha atakuzingua
 
Mi nitalielezea hili kwa uzoefu wangu na hatima yenu ya mbelen.
Kwanza mi binafs nilipitia hayo maisha yako japo mi niliishia la saba then nilipowamaliza wote wa nne chuo ndio nikasoma mimi. Iko hiv.
Mi nilijichanganya na maisha mapema sana na wakat naanza maisha nilijiwekea malengo matatu.
Kufafuta msingi wa kuanzia maisha
2.elimu za wadogo zangu na kesho yao
3.shughuli za wazazi za kuwaingizia kipato.
4.familia yangu na uwekezaji endelevu.
Wakati namaliza la saba nilikuwa na hela flan niliyoipata kwa kuuza matunda na mafuta ya taa so nilianzia huo.
Nilianza kumpeleka wa kwanza shule mpaka amemaliza master na namshukuru Mungu ana kaz na ana maduka yake anaendelea vizur.
Wa pili kamaliza degree ya kwanza nae ana shighuli yake. Wa tatu anamalia chuo ifm. Nae anamsingi wake wa kuagiza gar moja na kuuza.
Wazaz nilinunua eneo nikachimba maji safi chin so nikawafundisha namna ya kulima zile mboga kwa ngaz ili waweze kuwa na mboga za kuuza kila cku. So wamemasta na cjawah kutuma hela mosh huu ni mwaka wa 5.
Changamoto iko hapa.
Wakat ninaanza hiz kitu wote walikuwa wananisikiliza lakin kumbe kijana anapokuwa anataka nae asikilizwe so mi nilikuwa nikikaa nao kwenye kikao cha familia nawapa mda mwingi wa kuwasikiliza then mtu akikosea unamrekebisha kwa lugha lain coz ukitumia mabavu unaisambaratisha familia.so inabid utumie hekima zaid kuliko nguvu. Pamoja na yote hayo kumbuka hao ni ndugu sio watoto wako so hayo yote unafanya tu katika ile hali ya kutimiza ndoto zako northing more. Usimsomeshe au kumsaidia mtu kwa matumain yeyote.
Ushaur wangu kwako msomeshe mdogo wako hasa kama ni wa kike. Hata afeli mara ngapi msomeshe hata padogo mbelen atajiongeza na kama ni msingi utamuongezea wakat huo. Pili mtu akishafika form six epuka kumwekea mashart mengi au usikilizwe wewe tu. Ukiwa na wadogo zako epuka kuongea sana wasikuzoee sana na mwisho. Kwa sasa angalia zaid familia yako anza kujiondoa kwenye mambo ya familia ya baba yako taratibu wakutafute pale pa muhim tu. Mwisho nenda katoe shukran kwa Mungu kama alikupa ufahamu ukajua umuhim wa kuwasomesha wadogo zako then deal na familia yako. Hongera kwa ulichofanya huwez kuona umuhim wake sasa ila itakusaidia mbelen watoto. Hii habar ya watoto wa baba mkubwa wana maisha mazur kuliko sisi mnaanza kulogana yanaisha kabisa. So mkishaoa na kuwa na familia mnanunua eneo kubwa mnakuwa mnakutana hapo na watoto wenu na wake zenu mnafurahia maisha mkisubir kabur mzee. Northing more.
Nikushukuru mkuu nimejifunza kikubwa sana hapa,ubarikiwe sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kizazi cha nyoka...tena wenye sumu ya "****", wewe ndie mkubwa....kuwa na busara, chaguo la binti ndio sahihi....anataka kufanya nini......wewe na mdogo wako mna bifu zenu.....msimuharibu binti....kumbuka kwa age yake hiyo atampata rafiki wa amani.......sikio halizidi kichwa.....wewe fanya maamuzi na tekeleza kwa mustakabali wa binti......wacha kufikiria kumuadhibu msomi........boom bado halijaisha atakuzingua
Asante mkuu hakika kizazi cha nyoka kweli maana si kwa kugeukana huku.
Nitajitahidi kusimamia ustawi wa huyu mtoto maana hawa wengine walipofika wanaweza kujisongesha wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
muache amalize chuo arudi nyumbani akili itamshika mwenyewe tu... wengu wakiwa vyouni wanapata mkopo 100% huwa na jeuri wakiona wanaweza survive wenyewe chuo bila hela yako..

sasa wakirudi mtaani baada ya mwaka akigundua kuwa hata kazi ni lazima ushikwe mkono ndio huwa akili zinarudi...
 
Poa mkuu ngoja nimuache kimya kwanza maana uzuri tunaishi mbali mbali so ni advantage hasa ktk nyakati km hz za machafuko I hope atapata somo akianza maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poa mkuu ngoja nimuache kimya kwanza maana uzuri tunaishi mbali mbali so ni advantage hasa ktk nyakati km hz za machafuko I hope atapata somo akianza maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
trust me kaka somo atalipata na atagundua ww ndio mkubwa...
madogo wengi wakishakuwa na uhakika wa bachelor degree huona wamemaliza kila kitu na hawahitaji msaada ila baada ya reality kuwapiga huwa wanajirudi wenyewe wakishagundua kuwa degree haikuguarantee kusurvive hapa duniani
 
kaka pole sana kwani hili nlo ni tatzo kubwa cha kukushauri bwan kaka we ndo mwenyemakali najua huyu dogo anayejitia kimbelemble achana nae kwan wewe najua ni mtu mkubwa sana umepitia mengi na umeona mengi sana hebu mtengenezee future hyu bwana mdogo kwani kama ameshindw kusoma mtafutieni njia mbadala ya kumsaidia kwani maish siyo kusoma tu
 
Mkuu kiufupi huyu mtoto kichwa ni kizito na ndo wale wanaohitaji mwongozo kwa kila kitu.Nimecheza kamari kwa miaka 4 na kupoteza not less than 9m kwa miaka yote hiyo coz nilimsomesha private ila kwa sasa naona bora tu nimuanzishie mradi hata afuge KUKU tu maana hata mie nguvu zinaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huyo msomi wa ud atalipa hiyo Ada ya veta tatizo liko wapi? Wee jiweke pembeni lawama sio mzigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
trust me kaka somo atalipata na atagundua ww ndio mkubwa...
madogo wengi wakishakuwa na uhakika wa bachelor degree huona wamemaliza kila kitu na hawahitaji msaada ila baada ya reality kuwapiga huwa wanajirudi wenyewe wakishagundua kuwa degree haikuguarantee kusurvive hapa duniani
Uko sahihi kabisa mkuuwanapoanza maisha ndipo wanaporealize kuwa kumbe falsafa walizonazo hazikuwa sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kaka pole sana kwani hili nlo ni tatzo kubwa cha kukushauri bwan kaka we ndo mwenyemakali najua huyu dogo anayejitia kimbelemble achana nae kwan wewe najua ni mtu mkubwa sana umepitia mengi na umeona mengi sana hebu mtengenezee future hyu bwana mdogo kwani kama ameshindw kusoma mtafutieni njia mbadala ya kumsaidia kwani maish siyo kusoma tu
Nakushukuru pia bro hakika michango yenu imenipa mwanga flani lakini imenipunguzia temper coz nilikuwa najisikia vibaya mpaka natetemeka kwa hasira kila nilipokuwa napitia conversation yetu but kwa sasa nimerudi normal na naweza fanya maamuzi kwa busara sana.Ubarikiwe sana mkuu na wooote mlionichangia mawazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi hasa kwenye hizi familia zetu za kiafrika, mtu akishakuwa na uwezo wa kushika hizi mia mbili mia mbili anaona kama amemaliza mambo yote hata kama hapo nyuma alikuwa muungwana gafla atabadilika na kuwa jeuri wa kutupwa, perhaps mdogo wako amepima ameona huna tena ile power ya kumshauri au kumsimamia pamoja na hizo ndevu zako, au ukubwa ulionao.

Nimekumbuka kisa cha familia moja, walipata msiba wa mzazi wao ulikuwa Morogoro. Ndugu na jamaa wakakutana na katika familia hiyo mtu aliyekuwa na uwezo ni kijana mdogo sana, wengine wote choka mbaya! Kipindi wako msibani, kijana mdogo mwenye pesa zake alimuuliza kaka yake mkubwa (Wa kwanza kuzaliwa) kaka msiba ndio huu, wewe utachangia nini? Kaka mtu akajibu, mimi sina kitu. Basi bwana mdogo akamwambia kama huna cha kuchangia basi wewe kazi yako itakuwa kupasua kuni.

Kwa kisa hiki kifupi mdogo wako anahitaji muda zaidi wa kujifunza, wewe kama mkubwa kwenye familia yenu usichukulie hili suala kama ugomvi, tafuta njia nzuri ya kutatua matatizo yenu.
 
Hahahaha dah nimecheka japo si ya kuchekesha aisee eti kupasua kuni.
Mkuu ni kweli kabisa uliyoyasema installment ya mwisho ya ada ya huyu dogo ilinipepesusha sana ilikuwa imebaki km 600K hv sasa ikabidi huyu dogo anayenifuata azomewe na familia coz alijikausha muda wote hivyo akaitoa yy sasa mm baadae nikawa nimehamishwa kiyuo cha kazi na kutokana na mazingira mapya ikabidi dogo alipomaliza shule nimforward kwa sister maana sikutaka kuingia kwanza gharama za kupanga vyumba vingi mpaka niyasome mazingira so yawezekana hali ile ya kuyumba imeondoa credit zote.

Nashukuru sana kwa mawazo yako nitayafanyia kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huyo ulichelewa kidogo kumfunza adabu. Samaki Mkunje angali yu mbichi. Huyo hata umpige haitasaidia zaidi ya kuongeza uadui.

Ushauri: Usimshirikishe katika ishu zako. Pia muulize mhusika anataka kusomea nini au kuwa nani
 
Back
Top Bottom