enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,110
- 3,673
Jamaangu umenichekesha hivi aliyekwambja kwamba ukiwa mkubwa kwenye familia we ndo final say ni nan?
Af mbona dogo kakujjbu vizuri kwamba anakuheshimu kama kaka yake lakini kukubaliana na mawazo yako kunategemeana na aina yenyewe ya mawazo(either +ve au -ve).
Afu kumsomesha mtu au kumlea mtu haikufanyi ndo akuogope na asitoe mawazo yake kwako.
Jifunze kukubali kukosolewa maana binadam wote hatuwezi kuwa na mtizamo mmoja kwenye kila jambo.
Na mwisho kabisa hilo swala la kumpiga naomba lifute kabisa kwa sababu zifuatazo:
1. Utaenda behind bars kwa kosa la kupiga na kudhalilisha
2.Badala ya wewe kuwa mpigaji unaeza geuka mpigwaji (Don't underestimate him)
3.Utaonekana mtu wa hovyo kutafta heshima kwa nguvu.
Sent using Jamii Forums mobile app