bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
- Thread starter
- #21
Mkuu nashukuru pia kwa ushauri.hakuna haja ya kuumiza kichwa
huyo binti anatakiwa achague aidha akusikilize wewe au huyo dogo wa ud....
inginiaringi ya udaktari mueshimiwa
Asante sana mkuuMkuu huyo dogo ni kumuweka chini na kumwambia the way anakutreat si heshima,mkoromee aache kuongea n.a. wewe kama anaongea na his friend au mdogo wake.
Atakuelewa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dogo anadharau sana,yani anaongea hivyo kabisaHuu ni mfano tu wa majibu yake na mengine mengi ya style hiiView attachment 842588
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh... mmepishana umri gani ?Huu ni mfano tu wa majibu yake na mengine mengi ya style hiiView attachment 842588
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana nimeona inanibidi nichukue hatua ila before nije nipate mawazo yenu wakuu
Hana nidhamu huyu mtoto... siku moja muite mjifungie chumba wawili umtwange hadi kieleweke (chukua tahadhari usimuumize)
Good mkuu hata mm naliona hili kuwa the best alternative aisee yaani unajua hizo msg kila nikizisoma najisikia kuvibrate na tayari nimeshamwambia kuwa this should be the first n the last otherwise nitaichukua heshima kwa mikono yangu coz yy kagoma kunipa.Hana nidhamu huyu mtoto... siku moja muite mjifungie chumba wawili umtwange hadi kieleweke (chukua tahadhari usimuumize)
Ila nawe jitafakari.... mtu mzima ukikosewa heshima na mtoto nawe jitafakari kuna namna.Good mkuu hata mm naliona hili kuwa the best alternative aisee yaani unajua hizo msg kila nikizisoma najisikia kuvibrate na tayari nimeshamwambia kuwa this should be the first n the last otherwise nitaichukua heshima kwa mikono yangu coz yy kagoma kunipa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nisikufiche ktk vyuo hivi vya taaluma za ufundi hakuna chuo nakikubali kama Veta but kwa hiyo kozi ya laboratory technology yaani hainiingii Ku mkichwa yaani naona nabet tu labda ingekuwa kozi nyingine ambayo binti anaweza kujiajiri.Mwache dogo akapige VETA aongeze ujuzi..wewe shida yako nini wakati ada hulipi wewe?... Veta atapata ujuzi mkubwa kupita hata angeenda Chuo Kikuu
Ukubwa muda mwingine mitihani sana unajua anatake advantage ya upole wangu basi yy anataka apande akae juu.Aiseeee
Inaonekana hujawahi kumchapaga huyu dogo mkuu,Ndo maana nimeona inanibidi nichukue hatua ila before nije nipate mawazo yenu wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app