Bachelor sugu naomba ushauri wenu wakuu

Bachelor sugu naomba ushauri wenu wakuu

Mkuu nashukuru sana ndugu yangu ni kweli kwa namna moja yawezekana hii tabia nami nimechangia kwa kuwa mpole kupitiliza ila nadhani napaswa kuchukua hatua haraka iwezekanavyo.

Huwa napatwa na ganzi na mawazo nikikumbuka during those days nilipomleta mjini kwa mara ya kwanza.Dah we acha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana. Bado hujachelewa kumkunja huyo samaki anaelekea kukauka....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua nn..niamin...Masikin yeye kila jambo analofanyiwa ilimradi halipo vile anavyotaka au limekuja vile asivyotarajia Huwa anajiona kaonewa nakwamba anadharauliwa.

Wewe jamaa kuna namna fulan umasikin, kama sio kipato basi ni elimu au roho ya Umungu huna.

Ndio wazo lako zuri, ila la dogo linaweza kua zuri zaidi.

Sasa Dogo kukupinga. kusikufanye wee uanze kulalama oohooo nmewasomesha oohhhh nmekufikisha hapo haaaaaaahh Unazengua !!! ....... Kasuala kadogoooooooo unakwaza sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
kwanza wewe ni mpumbavu sana. kwa hiyo wewe kuwazidi umri hao wadogo zako unataka uwatawale sio?. kwani wewe kumsaidia mdogo wako unaona kama umekuwa mungu kwake? fala wewe. na ungekuwa kaka angu ndo ungejua jinsi nilivoshikwa na hasira. mbuzi wewe
 
Unajua nn..niamin...Masikin yeye kila jambo analofanyiwa ilimradi halipo vile anavyotaka au limekuja vile asivyotarajia Huwa anajiona kaonewa nakwamba anadharauliwa.

Wewe jamaa kuna namna fulan umasikin, kama sio kipato basi ni elimu au roho ya Umungu huna.

Ndio wazo lako zuri, ila la dogo linaweza kua zuri zaidi.

Sasa Dogo kukupinga. kusikufanye wee uanze kulalama oohooo nmewasomesha oohhhh nmekufikisha hapo haaaaaaahh Unazengua !!! .
Mkuu kweli mm bado masikini sana tu na hili wala sikupingi kabisa but nilijidhiki na kutoyapenda maisha yangu ili wadogo wasogee kidogo coz hii ndo zawadi pekee ninayoweza kuwapa wazazi wangu pia mada hapa sio mdogo kunipinga bali the way anavyonipinga bila kunipa facts za kunishawishi halafu kunijibu as if mm ndiye mdogo kwake hilo ndilo nililoliombea ushauri coz hii sio mara ya kwanza kwa huyu dogo ndo maana nimehitaji ushauri.Nikiweka hapa conversation yote hata ungekuwa ww ungekuwa disappointed hasa ukiangalia historia ya mlikotoka.

Unless otherwise kama na ww ni mdogo na huwa unawadharau wakubwa zako ndio unaweza kutetea kitu kama hiki.

Anyway poa kama nazingua pita tu mkuu nakushukuru pia.Nilishaahidi kuwa sipendi kumjibu mtu majibu ya kukera humu JF nataka nistaarabike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfugulie biashara hasa ya kuuza bia itamfaa sana hiyo acheni malumbano,nami nitakuwa mteja wake hivyo asiwe na shaka juu ya soko
 
Mkuu kweli mm bado masikini sana tu na hili wala sikupingi kabisa but nilijidhiki na kutoyapenda maisha yangu ili wadogo wasogee kidogo coz hii ndo zawadi pekee ninayoweza kuwapa wazazi wangu pia mada hapa sio mdogo kunipinga bali the way anavyonipinga bila kunipa facts za kunishawishi halafu kunijibu as if mm ndiye mdogo kwake hilo ndilo nililoliombea ushauri coz hii sio mara ya kwanza kwa huyu dogo ndo maana nimehitaji ushauri.Nikiweka hapa conversation yote hata ungekuwa ww ungekuwa disappointed hasa ukiangalia historia ya mlikotoka.

Unless otherwise kama na ww ni mdogo na huwa unawadharau wakubwa zako ndio unaweza kutetea kitu kama hiki.

Anyway poa kama nazingua pita tu mkuu nakushukuru pia.Nilishaahidi kuwa sipendi kumjibu mtu majibu ya kukera humu JF nataka nistaarabike.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jambo zuri Mkuu, nikupongeze kwakua Unamoyo wakipekee ambao jamaa wengil hawana..kitendo chakujinyima ili tu kufanikisha madogo nijambo kubwa.

Pili sasa, hawa madogo ukiachilia uyo wa mwisho ni tayar niwatu wazima wanaojielewa. Sitaki kuamin km huyo wa UDSM ni ww ulomkomalia mpaka naina ya kozi ya kusoma.

Kama mnaelewana kimawazo kila mtu atakua ameangalia hata na ufaulu wa mtoto ndio maana mawazo yenu yamekinzana..sasa point nihii usilazimishe mawazo yako tu kua ndio sahihi..acha kua Kama Jiwe yaan mawazo yake ndo sahihi.

Hapa ni mdogowenu kwenda kusoma ,naasome kitu kinachoendana na Mabadiliko ya dunia.

Labo ya aina gan?? Ikiwa nilabo ya viwanda hii inalipa sana hasa akija kujiendeleza angalau mpaka levep ya dip.

Jambo kubwa nalokushaur.,, Nakuona kama Kijana mwenye upendo lkn baadae utakuja kuumia sana ,na watakaokuumiza ni hao madogo ulowasomesha, Ikiwa hili dogo tu lakupishana kauli ndo limekukwaza kiasi chakufungua uzi, je haya makubwamakubwa???

Nakuona unatumia Nguv kubwa sana kuinvest kwa wadogo wako (JAMBO ZURI SANA ,,HUJAONGA) lkn hapo hapo unataka kwakua unawasaida wewe ndio wakuone Mungu kila mahar, sasa ukumbuke hawa wanakua, wanakua watu wazima,kuna wakat wanahitaj kujiongoza , Kwa stahili hii unayoionyesha utajikutaga siku moja unaumia sana.

Ndugu kupishana kauli nijambo la kawaida,,,sasa lisikufikirishe kiasi iko mkuu, unajipa mawazo yasokua namaana ..mkae mjadili kilichochema ana akipendacho mdogo wenu sawa akakisome.

Mwisho...Chukulia kawaida kama sehem ya majibizano Koment yangu ya kwanza.
 
Nimekusoma mkuu ondoa shaka tuko pamoja sana nashukuru kwa mchango wako brother

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo dogo wa UDSM yuko Dar? Wewe upo Dar?

Mfuate mtandike mikanda, chapa makofi kisha ondoka.

Muda wote wa tukio usiongee kitu. Baada ya siku nne mtumie sms.

"Mtoto atasoma wapi?"
 
Back
Top Bottom