Mhh. .naona unajaribu kufuta Ubao. .hahaa ''...
Haha hamna, naogopa kesi
Na mie sio mwanamke wa namna hiyo! Ukinidanganya nikijua tunaishia hapo!Mimi sio wa diazini hiyo, ila nimeona sana na nimeshuhudia sana wanaume wanajigamba kwenye vijiwe kuwa usimpo mdangaya demu hakubali, hata kama una malengo naye badae anakuoma msaamaha ukishajua
Alaa -kumbe huyu ni Mr -chicks
Haha unaona sasa, wewe unataka kufanya mambo yawe makubwa zaidi [emoji3][emoji3]
Nakubaliana na wewe. Maana watu kwa kufikiri ni hatari.Taratibu, people will think ulikuwa na mimi the whole weekend
Mkuu!Sakayo Na ukijua baada ya kumpata mtoto au ukiwa na ujauzito wake wa miezi 7 unafanyaje maamuzi yatakuwa hayo hayo au
Kwa nini nitake kuhonga? Mimi napenda kuhongwa yakhee
Na kumbuka nimekwambia tunaangalia mtu sio picha ya mtu, inabidi nikufahamu kindakindaki kama Relief Mirzska [emoji3][emoji3]
In shaa Allah bro. Going to meet them soon, wasnt with them this weekend. Nliamua kumtafuta Khantwe
Hivi kwanini unapenda kunisemea kwa cute b lakini
Alright then.!!Hivi kumbe nakusemea hapo eti??
Alright then.!!
Mimi sio wa diazini hiyo, ila nimeona sana na nimeshuhudia sana wanaume wanajigamba kwenye vijiwe kuwa usimpo mdangaya demu hakubali, hata kama una malengo naye badae anakuoma msaamaha ukishajua
Kwani huwa wanapata bei gani?Kwa hiyo kazi laki ya kuhonga atoe wapi
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Unaniuliza mimi?Kwani huwa wanapata bei gani?
Ndio wewe. Wewe si umesema hawana laki ya kuhonga, ina maana unajua kipato chao?Unaniuliza mimi?
SijuiNdio wewe. Wewe si umesema hawana laki ya kuhonga, ina maana unajua kipato chao?
Umeongea point BossBAHATI nzr huongi nguvu unahonga hela, kwa hiyo minguvu inakuwepo hasara iko wapi hapo!!?
Hii si comment ya mtu asiejua kipato cha hawa watu.Kwa hiyo kazi laki ya kuhonga atoe wapi