Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 21,397
- 56,100
Mwanadada na mfanyabiashara, Baby Rain maarufu kama Mshangazi amejitokeza Hadharani na kusema yupo single anahitaji kuwa na Dudu Baya kimahusiano ya kimapenzi.
"Mimi nipo single nahitaji kuwa na Dudu Baya kimapenzi, sawa hajanitongoza ila Mimi namhitaji niwe naye, na nipo tayari kumhudumia Kwa Kila kitu hata kumpa milioni tano Kwa mwezi, Dudu Baya ni mwanaume Jasiri anaye Jiamini hicho ndo kilicho nivutia kutoka kwake"
🗣️ Amesema Baby Rain maarufu kama Mshangazi