Baby ntumie Laki niende Saluni

Baby ntumie Laki niende Saluni

Haahahah! Ukiona umentumia msg kama hiyo na nimechelewa kujibu basi ujue nafkiria kwanza. Najifanya kama hiyo sijaiona nakujibu, halafu nimesahau hivi unajua mama anaumwa tangu juzi??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3] sasa mimi nimesema nikuambie badala ya kunisikiliza unaanza kuniambia ya kwako ukoje wewe?
 
Kuna lidada sijui limeniroga? Ni zaidi ya mwaka Sasa, kila likinipiga mzinga nasema next time simpi tena, nikipata tu hela, Mara simu yake hiyoooooo. Sasa nimeona tu nimbloki
Hahah dah. .angalia usije kumu unblock tu
 
Hivyo eeh? Kwa uzoefu wangu kushusha mfuko hapo haizidi 100, (nimeweka 100 kwa vile in simenti), let's say hiyo gari ina mifuko 500 mara mia ni 50,000. Kama wanashusha kwa saa moja maana yake hawako wawili au watano, ni zaidi ya kumi anaweza kuambulia 5000 akijitahidi sana 7000. Sisemi hana pesa, anayo ya kumtosha mahitaji yake ila sio kuhonga laki. Lakini kama mtu anaweza kupata laki kwa siku mbona watu wanaofanya hizo kazi wengi huwa ni wachovu
Kula ya hao wanaoshusha nadhani ukiigawa unapata milo mitatu yako yani asubuhi mchana na jioni yeye ndio anapiga mlo m 1..wana pulling si ya kawaida Hapa niko pembeni ya hardware kubwa sana washusha cement ni Njemba 4 tu and in 1hr washapukutisha mzigo wa lori zima uko store..

Juu ya lori anapanda m1 wa kuwabebesha wenzake chini wanaokimbiza store watatu..mchaka mchaka wake mama ukiwaangalia unachoka wewe badala ya wao.

Watu wanao ingiza hela nyingi kwanza wengi hawana elimu,halafu wanapokaa pamoja wanajazana pumba kwa story zisizo na maendeleo so ni ngumu sana wao kuendelea,ukizungukwa na wajinga akili yako itakua hivyo hivyo.

Sio hao tu..kuna madereva boda boda,nao ni wanafanya kazi katika mazingira magumu ila Laki per day ni ya kugusa tu kwa mchapa kazi kweli ila maisha yao ndio mimi nachoka...

Japo sio wote maana nilishawahi enda nyumbani kwa boda boda mmoja Nilijihisi naona mazingaombwe sio kwa nyumba ile na vitu vle,nikiri tu wazi kipindi kile jamaa alinipiga gap kubwa sana.
.
Wanaume wafanya kazi Ngumu Akili zao wengi wameziacha kijijini kwao,,wamekuja mjini na Miili tu.
 
Hahahaa eti wameacha akili kijijini, hapo naweza kukuelewa angalau
 
Hahah dah! !!... ukitaka kuchoka basi fuatilia maongezi yao
 
Back
Top Bottom