Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,132
Hiyo laki ni operation ya kichwa au kusuka?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️My nikwambie kitu?
Analipwa sio chini ya 15,000...kupakua mzigo wa cement kwenye lori kama hilo ndani ya 1hr washamaliza wanaingia Lori lingine..kwa siku wanaweza pakua Lori hata 7 mpk 8...siku kazi ikienda vizuri wanapakua lori hata 10.Kwa hiyo kazi laki ya kuhonga atoe wapi
Hatari sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hii ni kama ukiona choo ndotoni
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Hii ni kama ukiona choo ndotoni
Hivyo eeh? Kwa uzoefu wangu kushusha mfuko hapo haizidi 100, (nimeweka 100 kwa vile in simenti), let's say hiyo gari ina mifuko 500 mara mia ni 50,000. Kama wanashusha kwa saa moja maana yake hawako wawili au watano, ni zaidi ya kumi anaweza kuambulia 5000 akijitahidi sana 7000. Sisemi hana pesa, anayo ya kumtosha mahitaji yake ila sio kuhonga laki. Lakini kama mtu anaweza kupata laki kwa siku mbona watu wanaofanya hizo kazi wengi huwa ni wachovuAnalipwa sio chini ya 15,000...kupakua mzigo wa cement kwenye lori kama hilo ndani ya 1hr washamaliza wanaingia Lori lingine..kwa siku wanaweza pakua Lori hata 7 mpk 8...siku kazi ikienda vizuri wanapakua lori hata 10.
CALCULATE HELA ANAYOINGIZA PER DAY....hizo kazi NGUMU zinahela sema ndio hivyooooo zipo kama mchezo wa mpira jinsi umri unavyoenda ndivyo uwezo unapungua.
Japo kuna raia wana 40+ na bado wanapiga hizo mishe sema ndio nafikiriaga sana uzeee wao utakuaje kwa maumivu ya viungo.
SO swali lako la Atoe wapi LAKI utakua umelikosea mamito,uliza lingine ila huyo mwamba hapo Laki akikohoa tu HII HAPA.
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hii ni kama ukiona choo ndotoni
Hahahahaahahah! Niaje homie??Hahaha
Bro hiyo ni hatari sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro embu kubali uambiwe kitu
Hahahahaahahah! Niaje homie??
Kuna lidada sijui limeniroga? Ni zaidi ya mwaka Sasa, kila likinipiga mzinga nasema next time simpi tena, nikipata tu hela, Mara simu yake hiyoooooo. Sasa nimeona tu nimblokiHahah una -mtumia mwanamke pesa. .Halafu hata kukuambia Asante hataki ana kulia mikausho. .aise huo ujinga huwa sitakagi kushiriki
Ulivyo andika hivi "Hapo sasa, hata sie tunapoomba huwa tunaangalia na mtu" ulikuwa na maana gani?Ni nini kwani hicho
Haahahah! Ukiona umentumia msg kama hiyo na nimechelewa kujibu basi ujue nafkiria kwanza. Najifanya kama hiyo sijaiona nakujibu, halafu nimesahau hivi unajua mama anaumwa tangu juzi??🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Nzuri bro! Vipi family??Ni poa. .mate.'Habari zaidi?
Kuna lidada sijui limeniroga? Ni zaidi ya mwaka Sasa, kila likinipiga mzinga nasema next time simpi tena, nikipata tu hela, Mara simu yake hiyoooooo. Sasa nimeona tu nimblokiHahah una -mtumia mwanamke pesa. .Halafu hata kukuambia Asante hataki ana kulia mikausho. .aise huo ujinga huwa sitakagi kushiriki
Tunaangalia mtu sio avatarUlivyo andika hivi "Hapo sasa, hata sie tunapoomba huwa tunaangalia na mtu" ulikuwa na maana gani?
Njoo nikupe picha yanguTunaangalia mtu sio avatar