Baby ntumie Laki niende Saluni

Baby ntumie Laki niende Saluni

Unatuma laki ya saloon anayekwenda kunogeshwa na nywele hiyo mwingineeee!
Wanawake Mungu anawaona!
 
Dah!!! Unaweza ukatukana watu wakaona umechizika, kumbe unapitia hali ngumu katika kutafuta pesa, arafu kuna watu wanataka mtelemko tuu.
 
Back
Top Bottom