Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,473
- 4,007
- Thread starter
- #21
Hamna njia nyingine, mtoaji ndiye anakwambia namna ya kupata iyo hela usimpangieKwani njia ni hiyo tu
Hamna njia nyingine, mtoaji ndiye anakwambia namna ya kupata iyo hela usimpangieKwani njia ni hiyo tu
kwani hapo kutwa unapata sh ngapi kwa kazi hiyo na upate laki ya kumpa mwanamke
Kwani mkitongozwa kwa kuambiwa ukweli huwa mnakubali, hata wewe hapo aliyekupata alitumia uongo kiasi ili akupate ukaingiaHapo ndo mnapokwama sasa! Unaongea uongo ili iwejee! Mtu anapenda uongo wako na sio wewe!
Hata mimi sipangiwi, kwani nimemuomba?Hamna njia nyingine, mtoaji ndiye anakwambia namna ya kupata iyo hela usimpangie
Tatizo mmekariri, kama una malengo na mtu huwezi kumdanganya! Vipi akija kuujua ukweli akakuacha, wakati ulikuwa na malengo naye?!Kwani mkitongozwa kwa kuambiwa ukweli huwa mnakubali, hata wewe hapo aliyekupata alitumia uongo kiasi ili akupate ukaingia
Huwa nawajibu kirahisi tu, ntakufanyia maombi, Bwana atakutendea muujiza kama wangu, hautokuwa ombaomba tena, na wewe utakuwa unagawa tu mapesa, sema Amen Dada, amini umepokea.Bujibuji kumbe umeshakutana na hilo, ulifanyaje tusaidie ili tukikutana na hilo tujue la kujibu
Tatizo mmekariri, kama una malengo na mtu huwezi kumdanganya! Vipi akija kuujua ukweli akakuacha, wakati ulikuwa na malengo naye?!
Sio kila mwanamke anapenda uongo, na hicho ndo kinawatesa!
😀 Ntamani tukutana dar siku moja nikuone tukae tunywe bia nyingi unipe story na unipe mbinuHuwa nawajibu kirahisi tu, ntakufanyia maombi, Bwana atakutendea muujiza kama wangu, hautokuwa ombaomba tena, na wewe utakuwa unagawa tu mapesa, sema Amen Dada, amini umepokea.
Baada ya hapo napokea meseji moja ya mfyonyo mkaliiiiiiiii na mahusiano yanafika kikomo
Weweeeee unataka akupe kwa njia unayotaka badae asikutafute maana kajipendekeza ahaha aje inboxHata mimi sipangiwi, kwani nimemuomba?
Nipo hapa jiji la braza wowowo, nitafute tu😀 Ntamani tukutana dar siku moja nikuone tukae tunywe bia nyingi unipe story na unipe mbinu
Ndio maana siku zote nikigundua mtu alinidanganya hata kitu kidogo sana napoteza Imani nae, haiwezekani mtu adanganye jambo ambalo anajua baadae nitalifahamu tu, huyo anakuwa hayuko seriousTatizo mmekariri, kama una malengo na mtu huwezi kumdanganya! Vipi akija kuujua ukweli akakuacha, wakati ulikuwa na malengo naye?!
Sio kila mwanamke anapenda uongo, na hicho ndo kinawatesa!
Nipo hapa jiji la braza wowowo, nitafute tu
Unatuma tu kwani shida nn hata kama hela unaitafuta kiugumu vipi
Hapo ndo mnapokwama sasa! Unaongea uongo ili iwejee! Mtu anapenda uongo wako na sio wewe!
Weka na hela ya kutolea, halafu mama mkwe wake bibi amefariki, Naomba nauli na hela ya kula njiani na savanna mbili
Hasara Iko wapi? ...kuwa serious aise. ..Maisha yetu Yana tegemea Wakati.Akili. na nguvu kwa kiasi kikubwa mnoo. .yatupasa kuvitumia vyema hizo resources ili tuweze kupiga hatua katika maisha yetu kwa sababu ni vitu ambavyo vina limit. ...so ukivitumia vibaya ipo siku lazima itakuja kuku gharimu tu maishaniBAHATI nzr huongi nguvu unahonga hela, kwa hiyo minguvu inakuwepo hasara iko wapi hapo!!?
Kwani unatafuta siku moja tu, unazikusanya mkuu!
Muwe na hurumaaaaaaKwa hiyo kazi laki ya kuhonga atoe wapi
Muwe na hurumaaaaaa
Hatari sanaMimi hapa