Baby Madaha kadhalilishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baby Madaha kadhalilishwa

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Yo Yo, May 25, 2012.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Baby madaha aende mahakamani.....wanawake wanapaswa wapewe heshima mbele ya jamii hawa ni mama zetu hawapashwi kudhalilishwa namna hii......huyu ni mama anapaswa kuheshimika kwa kweli.....
  amedhalilishwa sana
   
 2. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Sasa amedhalilika na nini si ueleze?
   
 3. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mnajidhalilisha wenyewe, kwani ni nani alimlazimisha kuvaa vibaya?
   
 4. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  mwenzio yuko sokoni,we unasema anadhalilishwa..kalagabao!!
   
 5. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ..Watoto wa mjini wanasema kafungua Duka, dah tena duka la Jumla hili, mweeeh
   
 6. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kapendeza!
   
 7. Mitchell

  Mitchell JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  sa kajidhalilisha wapi?
   
 8. Godee jr

  Godee jr JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 964
  Likes Received: 811
  Trophy Points: 180
  biashara matangazo
   
 9. m

  mullay Member

  #9
  May 25, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labda me sijaelewa, amedhalilishwa kivipi? amevuliwa hiyo nguo? na akienda mahakaman anaend kustaki nin kwanza!!?
   
 10. Bado Kidogo 2015

  Bado Kidogo 2015 JF-Expert Member

  #10
  May 25, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anajidhalilisha mwenyewe kwa kuweka mandala yake nje na hata hana mtoto, upuuzi mtupu.
   
 11. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #11
  May 25, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Naombeni namba yake,nahitaji kumvuruga!
   
 12. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,291
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Amedhalilishwa vipi, hizo nguo kwa staili ya kuacha matiti nje si kavaa mwenyewe, kwahiyo asingepigwa picha??!!

  Hiyo ndio mivao ya siku hizi ya hawa akina dada, kuacha matiti nje, unakuta dm mwingine ana matiti kama ndala lakini na yeye anayaacha nje...!!!!
   
 13. Q

  Qixima mQiqa Senior Member

  #13
  May 26, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu ni kahaba anatafuta mabasha hapo ametega mingo sijui alikuwa joli club?
   
 14. salito

  salito JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  eeh huku kujipodoa kwa dada zetu mhhh...
   
 15. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #15
  May 26, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Sijaelewa...au hayo madoti kwenye chakula ya mtoto..
   
 16. Dilekeni

  Dilekeni JF-Expert Member

  #16
  May 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,047
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  thread nyingine hazina kichwa wala miguuu....hvi mtu anaejieshimu anaweza kuvaa kwa namna anayoonekana hapo

  ? biashara matangazo
   
 17. z

  zilakina JF-Expert Member

  #17
  May 26, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  "Biashara matangazo au kizuri chajiuza kibaya chajitembeza".
   
 18. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #18
  May 26, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  nakuhurumia sana The_Emperor,huyu dem alilipotiwa kuwa ktk watu walioandamana loliondo kupata kikombe cha babu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #19
  May 26, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,277
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  kadhalilishwa kivipi? Kavalishwa hiyo nguo na kupigwa picha by force?mwenzako yupo sokoni we unamtetea mh
   
 20. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #20
  May 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  naona umerudia kuvuta bangi, uliomba msamaha nikakusamehe, ukasema hutarudia kuvuta bangi, sasa naona umeanza!
   
Loading...