Baby Madaha kadhalilishwa

Kwa x nimekutana nae alinfedhehesha sana. Cz alinipa kiduchu na hayo mat... naona kayafanyia mambo maana .....
 
amedhalilishwa wapi?
Alilazimishwa kuvaa hivyo?
Alilazimishwa kubadika kope?
Alilazimishwa kukandika mapoda usoni?

Amedhalilishwaje?
 
Mtumia nguvu kusaka umaarufu ila nyota haijang'aa!!magazeti ya udaku yanajitahidi kumpaisha lakini ndo hivyo jina limebuma!

nachokupendea muuza sura ni kuwa siku zote unaongea ukweli,ingawa nyota imegoma kuwaka but binafsi namkubali kwenye wimbo wa im worried
 
Mtoa mada umekurupuka kwani kuna mtu alimlazimisha yeye kuvaa alivyo vaa ama ni utashi wake mwenyewe, suala la kudhalilishwa linatoka wapi hapo.
 
kadhalilishwa vip wakati yeye mwenyewe kajidhalilisha hapo
Huko ndo kuvaa gani
make up zimezidi
badala ya kuwa mrembo ndo unaharibika
 
Hawa ni mama zetu
hawa ni dada zetu ni shangazi zetu ati....why hivi?
 
2qw0u49.jpg


Baby madaha aende mahakamani.....wanawake wanapaswa wapewe heshima mbele ya jamii hawa ni mama zetu hawapashwi kudhalilishwa namna hii......huyu ni mama anapaswa kuheshimika kwa kweli.....
amedhalilishwa sana

Jamaa inaonekana ni noma, sijui mzee wa kung'ata au vampire naona kama kuna makovu kadhaa kwenye hotel ya mtoto..
 
Back
Top Bottom