Babu wa Loliondo "avuliwa nguo"

Babu wa Loliondo "avuliwa nguo"

That is the pride of life. Kiburi cha uzima!
Collins was like you but he eventually believed in God.
"I am a scientist and a believer, and I find no conflict between those world views.
As the director of the Human Genome Project, I have led a consortium of scientists to read out the 3.1 billion letters of the human genome, our own DNA instruction book. As a believer, I see DNA, the information molecule of all living things, as God's language, and the elegance and complexity of our own bodies and the rest of nature as a reflection of God's plan.

I did not always embrace these perspectives. As a graduate student in physical chemistry in the 1970s, I was an atheist, finding no reason to postulate the existence of any truths outside of mathematics, physics and chemistry. But then I went to medical school, and encountered life and death issues at the bedsides of my patients. Challenged by one of those patients, who asked "What do you believe, doctor?", I began searching for answers.

I had to admit that the science I loved so much was powerless to answer questions such as "What is the meaning of life?" "Why am I here?" "Why does mathematics work, anyway?" "If the universe had a beginning, who created it?" "Why are the physical constants in the universe so finely tuned to allow the possibility of complex life forms?" "Why do humans have a moral sense?" "What happens after we die?"
I had always assumed that faith was based on purely emotional and irrational arguments, and was astounded to discover, initially in the writings of the Oxford scholar C.S. Lewis and subsequently from many other sources, that one could build a very strong case for the plausibility of the existence of God on purely rational grounds. My earlier atheist's assertion that "I know there is no God" emerged as the least defensible. As the British writer G.K. Chesterton famously remarked, "Atheism is the most daring of all dogmas, for it is the assertion of a universal negative."

But reason alone cannot prove the existence of God. Faith is reason plus revelation, and the revelation part requires one to think with the spirit as well as with the mind. You have to hear the music, not just read the notes on the page. Ultimately, a leap of faith is required.

I had been experimenting my own life and thinking. At one time I decided not to prepare for exams and only prayed for God to give answers through revelation and was able to get 98% due to subjective markings of the teacher lakini kwenye facts pote nilikuwa napatia. This was in my very early days of school life I remember was in form two and infact that was the year I got an academic prize.

So when I speak of something with confidence some of this evidences are based on my own life experience and not any scientific published articles or other people's thinking in spirituality. Bado naendelea na experiment ya maisha yangu mwenyewe kwaajili yangu mwenyewe na wengine ambao watafaidika na my life experience. Nitaandika vitabu vingi sana before I die ili vifanyiwe testing maana vitahusu realy life experience kuhusu field yangu ya academic specialization na spirituality.

Mpaka sasa nime proove one can live without falling sick and if you meditate on Gods word you can solve many problems. When you come into perfect fellowship with hollyghost future is open to you and you would see things before they happen. You can even understand what other people are thinking in that particular time when you look at them while they perceive nothing from you. I am still going on with my own experiment this are longitudinal studies ambazo hazina economic incentive zozote wala academic credits just for my own fun.
 
Usimtenganishe Mungu na science maana Mungu kaumba hiyo science so when you worship basi umtukuze kwakutusaidia kutupa akili ya kufanya science. Ndiyo maana ana itwa almight; omnipresent and omniscience. Kila kiumbe kiko bound kwenye time and memory lakini yeye ni eternity past present and future is open to him inamaana akili zetu zinaweza kuita jana siku baada ya masaa 24 tuliyojiwekea lakini mungu anauwezo wakuifanya akili yako irudi nyuma nahiyo jana ukaiita leo kwasababu hayuko bound na time. Time ni ratiba tulizojiwekea sisi wanadamu is part of identification kwasababu ya brain zetu kutoweza kufunction in all direction past present and future. Basi ku avoid confusion tukajiwekea calender ambayo ni sehemu ya stages za development ya human mind katika ku perceive material things. Wagonjwa wa akili wanatudhihirishia hili. Wapo ambao memory zao zimefutika hawawezi kujua future bali past events tu akianza kukuongelesha anakwambia vitu alivyo vifanya miaka 30 kama vile vimetokea leo masaa kadhaa; I have seen such people. Wapo ambao hawakumbuki kilichotokea sekunde iliyo pita ila vinavyotokea sekunde hiyo tu. Hiyo by itself explain how God can not be bound by time and memory he is part of all these.

So tunapomwabudu tuna mwabudi katika kweli na roho. Yaani the visible and invisible regardless of when and how these would come into contact with us.

Sayansi haina kuabudu. Ukishaabudu umeondoka katika sayansi ya kweli. Ukiabudu uwezo wa kufanya observation unaondoka kwa sababu utakuwa unasujudu.
 
Sayansi haina kuabudu. Ukishaabudu umeondoka katika sayansi ya kweli. Ukiabudu uwezo wa kufanya observation unaondoka kwa sababu utakuwa unasujudu.

Lakini hiyo ni pure your own choice kwangu mimi niliamua kufanya hivyo. I guess have all rights to do so bila kuathiri uamuzi wa mwingine so kama ambavyo ni right yangu hiyo inakuwa responsibility kwa mwingine kutoingilia right yangu na mimi kwa yake.

Kwakufanya hivyo nimeweza ku complement yale niliyoshindwa kuyajibu thru observation kwa spirituality solution. Kwahiyo kwangu science na spirituality zinafanyakazi kwa complimentarity theory na siyo substitutions katka kuelewa reality japo spirituality ndiyo universal set na science/observations only a sub set ndani ya universal set ya spirituality.
 
Sayansi haina kuabudu. Ukishaabudu umeondoka katika sayansi ya kweli. Ukiabudu uwezo wa kufanya observation unaondoka kwa sababu utakuwa unasujudu.

Hapo sasa unaanza kung'atuka kwenye u-expert member. Afadhali uongee Kiingereza tu kwa sababu maneno ya Kiswahili naona unachanganya maana yake. Sayansi ya kweli? Kwani kuna sayansi ya uongo? Ukiabudu utakuwa unasujudu? Thomaso alimwabudu Yesu "live" na kufanya observation ya kovu za misumari aliyopigwa Yesu. Ali-observe sio tu kwa macho, bali pia kwa kuchukua kidole chake na kugusa ubavuni mwa Yesu kisha akakiri kwamba huyo anayemuona ni Yesu aliyefufuka. Halafu wewe unasema ukiabudu huwezi kufanya observation? Du! Labda umechoka mzee ukapumzike na kutafakari Injili uliyoisikia leo.
 
"Hapa Arusha KILA HOSPITALI IMEPOKEA WATU WA MAGONJWA YA PRESHA, KISUKARI, PUMU, N.K. AMBAO WALIKWENDA LOLIONDO "KUTIBIWA" MARADHI HAYO NA BAADA YA KUPATA "NAFUU" (PSYCHOLOGICAL) KWA KAMA WIKI MBILI TU WAMEANZA KUUMWA SERIOUSLY NA KURUDIA DAWA ZAO ZA HOSPITALI TENA.

Pili, mimi nikiwa mfanyakazi wa maabara ya hospitali ya MT Meru, sijaona hata mgonjwa mmoja wa ukimwi aliyepata "seroconversion" yaani kurudi "seronegative from serpositive status". Kinachosikitisha ni kuwa kuna watu hawataki kabisa kusikia yanayosemwa na madaktari na wafanyakazi wa hospitali mbalimbali hapa Arusha ambao kila siku tuna-deal na watu wanaozidiwa baada ya kwenda Loliondo.


Mbaya zaidi kuna magazeti, tv na redio hayataki kabisa kusikia ukweli wa majanga yaliyowafika watu waliokwenda huko. Ajabu pia ni kuwa kuna watu ambao ukitaka kuwaeleza ukweli wanakuona wewe ni mpagani usiyemwamini Mungu. Naomba waandishi wa habari wawe proactive katika kutafuta ukweli na si kutegemea mass hysteria iliyowakumba maelfu ya watu wanaotafuta miujiza kwa nguvu."

Source: MJENGWA - Picha, Habari & Matangazo: Kama Haya Ni Ya Kweli: Tiba Ya ' Babu' Na Ushuhuda Wa Kimaabara
Sawa, mbona hutuambii wamepokea wagonjwa wangapi toka kwa "wachungaji" walaghai kama kina Kakobe, Fernandes, Rwakatare, Ndodi, "Manabii na "Mitume", na matapeli kibao wanaojificha nyuma ya pazia la imani?
Mimi ni Daktari, angalau nimebahatika kuwaona wachache niliokuwa nawafahamu kuwa na kisukari na ambao walihitaji tiba kila siku ya maisha yao na ambao sasa hawahitaji tena kufanya hivyo na wanaendesha maisha ya kawaida. Bado sijaelewa Pathology ya mabadiliko hayo na sijawashuhudia wakipata kikombe, lakini wenyewe wanasisitiza mabadiliko haya yametokea baada ya kwenda Loliondo. Kwa upande mwingine katika maisha yangu ya kikazi ya zaidi ya miaka 30 sasa sijashuhudia hata mtu mmoja aliyeponywa kikwelikweli na "Wachungaji" wa aina niliyoitaja hapo juu.
Hao ndiyo wanaowachelewesha wagonjwa wa cancer, ukimwi n.k. kupata matibabu ya kisayansi; lakini kwa upande wa huyo wa Loliondo ni rahisi kwa wanaozodiwa kwenda hospitalini (Na nadhani Babu hajawazuiakwenda Hospitalini) kama mediaman anavyoshuhudia kuwaona maana Babu hawang'ang'anii wagonjwa iliaendelee kuwakamua sadaka, fungu lakumi, matoleo na shukrani kama wafanyavyo wasanii wa kiimani hao.
 
Hapo sasa unaanza kung'atuka kwenye u-expert member. Afadhali uongee Kiingereza tu kwa sababu maneno ya Kiswahili naona unachanganya maana yake. Sayansi ya kweli? Kwani kuna sayansi ya uongo?

Kuna sayansi inayokuwa influenced na siasa au dini, inaondoka katika misingi ya sayansi ya ukweli.

Ukiabudu utakuwa unasujudu? Thomaso alimwabudu Yesu "live" na kufanya observation ya kovu za misumari aliyopigwa Yesu. Ali-observe sio tu kwa macho, bali pia kwa kuchukua kidole chake na kugusa ubavuni mwa Yesu kisha akakiri kwamba huyo anayemuona ni Yesu aliyefufuka. Halafu wewe unasema ukiabudu huwezi kufanya observation? Du! Labda umechoka mzee ukapumzike na kutafakari Injili uliyoisikia leo.

Wewe unafahamu tenets za dini kwamba huwezi ku question dini? Uki question mungu ametoka wapi unaambiwa unakufuru. Unatakiwa kuabudu tu bila kuuliza. Utawezaje kuuliza kitu unachotakiwa kukiabudu? Unajua kwa nini mpaka leo doctrine ya kikristo ina look down on Thomas, na anafananishwa na wasioamini mpaka watu wasio na imani wanaitwa "doubting Thomases" ? It is not like the Christian tradition is rooted in inquiry, it is not.
 
So essentially Douglas S Winnail is basically preaching and preaching, almost village preacher type. And then he comes to the Proofs.

This is where I get rather interested.

Proof 1
Creation Demands a Creator - actually no, creation demands a creative process, which does not necessarily demand a creator. Random processes, given enough time can evolve into a creative process (creative in a totally purposeless but self enhancing way, as in say, evolution). So from this line of thought you can argue evolution by natural selection is a creative process, but it does not demand a creator

Proof 2 Life Demands a Life Giver
When you see this, especially coming right after proof 1, you begin to wonder whether this guy has enough arguments. This is basically the same argument recycled under the banner of "life'. I have already addressed this above with the evolution example.

Proof 3 Laws Demand a Lawgiver
Same old argument recycled again. My question is, how do you know that that lawgiver is not "the symmetry of nature" or "mathematics" ? How do you know that the lawgiver is god ? Is this guy running out of arguments in his first proof?

Proof 4 Design Demands a Designer
Basically same shyt, yeah, this guy is out of arguments. I say the same thing. If design demands a designer, how do you know that that designer is not "the symmetry of nature" or "mathematics"? How do you know it is god ?

Proof 5 Fulfilled Prophetic Promises
Fulfilled my foot, Nostradamus can claim that too. The second law of thermodyunamics predicts a closed system is always going from order to disorder, from low entropy to high entropy, so what fulfilment? Hogwash.

In addition there is no reason why some zealous ppl wouldn't order the fulfilment o ancient prophecy, my question is. Yesu alipowaambia wayahudi fulani kwamba hawataionja mauti kabla ya kurudi kwake mara ya pili, wako wapi wayahudi wale ambao leo wanatakiwa kuwa na mika zaidi ya 2000 ? Mbona hiyo prophecy haisemwi? Huyu si alikuwa mwana wa mungu huyu ?

Proof 6 Answered prayer

How about watu wanaoshindwa kuponywa na babu wa Loliondo despite prayers? Usitake watu wa focus kwenye happenstances na coincidences na placebo effects zinazoitwa answered prayers huku ukikataa kuangalia mara zote ambazo hupati majibu kwa sala. The test of a chain's strength is not on it's strongest point, rather on it's weakest point.

Proof 7 A way of Life that Works
Works according to whom? Agano la kale lina code of hygiene iliyopatikana kwa trial and error, kitabu kikawaambia watu wakinya (asjakum) wafukie mashonde na wasiyaache ovyo. If this works, it is not because there is a god, It is because burying excreta means less exposure to bacteria.

Agano la kale hilo hilo linasema tuwaue kwa kuwapiga mawe wazinzi, how is that a way of life that works? Sounds more like a way of death that works to me.

Just because the bible prescribe a working more (if at all it does that) this does not prove it is a work of god. Some very wise people can sit down and devise a way of life that works, and not necessarily need a god. In my opinion the secular humanists, some of them anyway, have a higher moral standard than most of Christendom, and they do not need god to validate them. So this idea is misguided at best.

Proof 8 A Coming Judgment

This guy is hilarious, he is trying to say that something which hasn't even happenned is proof that god exists!

Ushaniboa, hata huyo wa pili sijui kama ninataka kumsoma.

Wewe na kielimu chako hicho unadhani una hekima sana? Eti unataka proof kama kuna Mungu. Mungu huonekana kwa njia ya IMANI. Au hujui imani ni nini? Jifunze kwa serikali iliyoshindwa kupima imani iliyomo kwenye dawa ya babu. Sisi tulioamini tumeshuhudia matendo makuu mno.

Biblia inatambua uwepo wa watu kama wewe. Zaburi 53:1 "Mpumbavu amesema moyoni mwake hakuna Mungu."

Repent now, that you may be saved.
 
Sawa, mbona hutuambii wamepokea wagonjwa wangapi toka kwa "wachungaji" walaghai kama kina Kakobe, Fernandes, Rwakatare, Ndodi, "Manabii na "Mitume", na matapeli kibao wanaojificha nyuma ya pazia la imani?
Mimi ni Daktari, angalau nimebahatika kuwaona wachache niliokuwa nawafahamu kuwa na kisukari na ambao walihitaji tiba kila siku ya maisha yao na ambao sasa hawahitaji tena kufanya hivyo na wanaendesha maisha ya kawaida. Bado sijaelewa Pathology ya mabadiliko hayo na sijawashuhudia wakipata kikombe, lakini wenyewe wanasisitiza mabadiliko haya yametokea baada ya kwenda Loliondo. Kwa upande mwingine katika maisha yangu ya kikazi ya zaidi ya miaka 30 sasa sijashuhudia hata mtu mmoja aliyeponywa kikwelikweli na "Wachungaji" wa aina niliyoitaja hapo juu.
Hao ndiyo wanaowachelewesha wagonjwa wa cancer, ukimwi n.k. kupata matibabu ya kisayansi; lakini kwa upande wa huyo wa Loliondo ni rahisi kwa wanaozodiwa kwenda hospitalini (Na nadhani Babu hajawazuiakwenda Hospitalini) kama mediaman anavyoshuhudia kuwaona maana Babu hawang'ang'anii wagonjwa iliaendelee kuwakamua sadaka, fungu lakumi, matoleo na shukrani kama wafanyavyo wasanii wa kiimani hao.

Nathubutu kusema wewe sio daktari ila mpiga debe tu. Na kama wewe ni dokta basi watz tumekwisha! Nilitegemea uongelee scientific reasons ukiwa kama professional doctor. Fuatilia madokta wanatoa comments gani.
 
Ndugu zangu Watanzania, nimefanya utafiti mdogo tu kuhusu dawa ya babu wa Loliondo. Niliwapa madokezo, kuwa dawa hiyo ni pozo la maumivu baada ya kuuliza kwa wamasai, wasonjo, wanatta, waikoma, wangoreme na wakurya.

Nikawaambia matumizi yake kwao licha ya kuitumia kama SUMU YA KWENYE SILAHA ZA JADI... Wanaitumia pia kama PAIN KILLER, nilitoa maelezo kuhusu hilo.

Sample ya mtii huo ina kiwango zaidi ya mara kumi na mbili ya sumu iliyomo katika maua ya mti uitwao Angel's Trumpet (Brugmansia spp) miti ambayo ilikuwa kwa wingi kwenye nyumba za serikali zamani. (ama uzunguni!!) Angel's Trumpet pia ni dawa ya kukata maumivu ikitumika kwa kiwango kidogo sana tone moja au mbili kwa robo lita ya maji... na zaidi ya hapo ni hatari kama sumu zingine unazozitambua.

Je ni kweli dawa ya babu haina sumu kama tunavyoambiwa?

Je kwanini serikali haitaki kusema dawa ya babu ni salama au si salama?

Je majibu hayo yatajitosheleza?

(katika sumu iliyomo katika mti ule, ukiweka kiwango kidogo cha aloe vera, huonekana kama vile sumu imeondoka! sasa basi iwache dawa hiyo muda wa masaa ishirini na nne ipoe ikiwa na aloe vera na toa kiasi kidogo cha dawa hiyo na umpe sungura au panya UTAPATA MAJIBU!

TUJUE TUNAYO DHIMA KWA TAIFA LIJALO! ILA KAMA TUTAENDELEA KUWASIKILIZA HAWA WANAOITWA "VIGOGO au WANASIASA MAARUFU" kwamba wamegonga kikombe basi tunapaswa kusahau kwamba haohao ndio wametupeleka kwenye JANGA LA UMEME, DOWANS na MENGINEYO!

Hainijalishi, kuwa kuna watu nimegusa tofauti na hisia zao au maslahi. lakini ni heri niseme watanzania wajue ukweli tusiotakiwa kuujua. (kuna leo, je kesho itakuwaje)

Nawasilisha
 
Can somebody dare and go stop Babu kwa faida ya taifa hili hata kama viongozi hawafanyi?

Nini watu wanafanya serikali isiposikiliza hatari na kuchukua hatua? MwanaMageuko na wengine why shouldnt you take step kwenda kumsimamisha (au kumuambia asimamishe) babu kwa kuwa mnauthibitisho wa kutokuponya zaidi ya kupooza na pia kuna sumu ndani yake na maono yake hamyaamini?

Mtaongea tu hapa JF kwa member 30,000 na mamilioni ya watanzania yanateketea...........maneno yametosha...msioamini dawa ya babu nenda mkamsimamishe sasa hata kama serikali haifanyi........ndivyo wanavyoandamana kwenye migodi wanzanchi wanapokufa na serikali haisikilizi
 
Can somebody dare and go stop Babu kwa faida ya taifa hili hata kama viongozi hawafanyi?

Nini watu wanafanya serikali isiposikiliza hatari na kuchukua hatua? MwanaMageuko na wengine why shouldnt you take step kwenda kumsimamisha (au kumuambia asimamishe) babu kwa kuwa mnauthibitisho wa kutokuponya zaidi ya kupooza na pia kuna sumu ndani yake na maono yake hamyaamini?

Mtaongea tu hapa JF kwa member 30,000 na mamilioni ya watanzania yanateketea...........maneno yametosha...msioamini dawa ya babu nenda mkamsimamishe sasa hata kama serikali haifanyi........ndivyo wanavyoandamana kwenye migodi wanzanchi wanapokufa na serikali haisikilizi
...MVUA, KIPINDUPINDU, HOMA YA MATUMBO, SAFURA NA UTAPIAMLO VITAWASIMAMISHA WATU KUTOKWENDA HUKO.... (KILA ANAEKUNYWA SUMU HUNYWA KWA HIYARI YAKE... SISI KAZI YETU NI KUONYA TU!) NA WATAKAOTOKA HUKO, BAADA YA TIMU YA MADAKTARI ILIYOKWENDA KUWAOKOA WAKIRUDI WATAKUWA MASHUHUDA KWA HILI.
Ndio maana nilishasema mimi sikatai watu kwenda huko maana wanakwenda kwa imani zao... nimewaleta utafiti, mti ule unajulikana, maabara zipo fanyeni utafiti pia na mkiufanya wa kina mtapata majibu bora zaidi kuliko yangu. (WANADAMU KUAMINI KINYUME NA WANAVOAMINISHWA NI VIGUMU SANA! ndio maana wanasema kusadiki kwa Toma ni kujionea mwenyewe!)
 
1.Umesahau swala la imani ... mtapewa sumu na hamtadhurika, matuumwa na nge na ...

2. Ukifika hapo mlimani city ..kuna wine... unaweza kununua kunywa kiasi kama kile wanachotoa kule kanisani wanaita sakrament au chakula cha bwana. Lakini hutapa baraka iliyotegemewa kwani umekunjwa bila kubarikiwa!

3. The same wine inapofikishwa kwa Mchungaji akaibariki inakuwa na diiferent effect. Hata chemisrty inabadilika...

4. Wine + Baraka sio.... sawa na..... Wine without Baraka...

5. Kikombe cha Babu ni sumu + Baraka .....sio sawa na ..... Sumu without Baraka ...

6. Baraka ni Imani .... Umeshau swala la imani kwnye maelezo yako yote. Hata vigogo wanataarifa hizi na hawadhubutu kutia mkono kwenye issue ya Imaani.

Hao wote uliowahoji hawakutilia maanani COMPONET ya kuibariki dawa na kuwa aina fulani ya sakrament!
 
Kiranga we can argue here till the cows come home but we're not going to have any conclusion because the truth is, we can't explain the existence of God by using empirical data.
Huyo ndiyo Kiranga mpya baada ya kutoka kwa babu loliondo
 
Mwanamageuko ungewasilisha utafiti wako wizarani(afya) au moja kwa moja kwa lukuvi ministry,ingekuwa ni heri zaidi.
Hao waikoma,wangoreme na hata waisenye uliowataja,hawana ufahamu wowote juu ya mti huu na ndio maana wananunua sumu ya mishale toka kwa wataturu na wasonjo.~YOU CAN BUY A GOOD DOCTOR,BUT NOT A GOOD HEALTH~
 
Kuna sayansi inayokuwa influenced na siasa au dini, inaondoka katika misingi ya sayansi ya ukweli.



Wewe unafahamu tenets za dini kwamba huwezi ku question dini? Uki question mungu ametoka wapi unaambiwa unakufuru. Unatakiwa kuabudu tu bila kuuliza. Utawezaje kuuliza kitu unachotakiwa kukiabudu? Unajua kwa nini mpaka leo doctrine ya kikristo ina look down on Thomas, na anafananishwa na wasioamini mpaka watu wasio na imani wanaitwa "doubting Thomases" ? It is not like the Christian tradition is rooted in inquiry, it is not.

Kwanini yakwako uiite science ya kweli na ya wengine ya uwongo? Are you the standard? Hiyo kwenye social Anthropology tunaita EGOCENTRISM yaani mine is good yours is bad nakujiweka wewe kama bench mark wengine wote wajipime kupitia wewe to either direction of good and bad. Kwenye ecology na genetics inaitwa selfish gene of living organisms. Na kwenye imani tuanaita pride ambayo ni mwanzo wa kutokujua ukweli wa jambo maana umeamua kuamini kile kilichoko ndani yako kwa sababu ulizojichagulia wewe mwenyewe na ku exclude sababu zingine zinazo enda contrary na hizo zako. My friend the authour of creation ametuumba kama social beings kwamaana you can never be a master of averything. Lazima uji associate na wengine kudevelop in either case being materialy or thinking wise.
 
Kuna thread inayohusu dawa ya babu hapa kama ilivyofanyiwa utafiti na mmoja wetu humu. Itafute tukompee na hii ya kwako.
 
Kuna sayansi inayokuwa influenced na siasa au dini, inaondoka katika misingi ya sayansi ya ukweli.



Wewe unafahamu tenets za dini kwamba huwezi ku question dini? Uki question mungu ametoka wapi unaambiwa unakufuru. Unatakiwa kuabudu tu bila kuuliza. Utawezaje kuuliza kitu unachotakiwa kukiabudu? Unajua kwa nini mpaka leo doctrine ya kikristo ina look down on Thomas, na anafananishwa na wasioamini mpaka watu wasio na imani wanaitwa "doubting Thomases" ? It is not like the Christian tradition is rooted in inquiry, it is not.

Hapo sasa naanza kukuelewa chanzo cha wewe kuwa atheist DINI labda kama utanikosoa. Dini ni institution na kila institution lazima ilinde maslahi yake kwa njia zinazokubalika na zisizo kubalika kutokana na characteristic ya selfish gene ya living organism ambao wako katika lineage ya Adam. Me I am talking about christianity and the mission of Gospel ambayo haiwezi kuelezwa kwa misingi ya dini ndiyo maana authour wa hii concept or phylosophy aliiweka clear alipoulizwa kuhusu dini gani ni safi/bora kwamba ni kusaidia maskini, wajane na yatima na kujitenga na uovu wa aina yeyote.

The catholic mission could explain this plainly katika neno lake catholical yaani duniani kote kwa mataifa yote. Bahati mbaya wajanja wakaiba hiyo label kama mafisadi walivyofanya kwenye CRDB; CCM na mashirika mengine so this prooves siyo lazima label ya kitu kiwe ndicho hicho original in content appearance na attributes. Kinaweza mimic characteristics za original things I think wachina can be used as best examples kwa products zao za for example ICT. Je NOKIA ya Finland ni lazima iwe ile ya kichina japo kuwa hata NOKIA ya ukweli inaweza kuwa na plant kule china? Ndivyo hivyo na dini tulizonazo siyo lazima ziwe kweli christianity in its purely original form and mission. Kuna issue za sadaka, power and authority etc lakini je hiyo inaondoa ukweli kuwa kuna christianity? And actually God is awaiting its church to develop into full oneness in character and form katika kumjua Mungu through Hollyghost who is the wisdom of God. This is being explained in Rom: 8:19 For the earnest expectation of the creature waiteth for the manifestation of the sons of God. Labda utasema hiyo itakuwa future ambayo hatuwezi ku i prrove now kwani haipo basi katika 1Joh:3:1-2 Behold what manner of love......that we should be called sons of God: therefore the world knoweth us not because it knew Him not. Beloved, now ARE WE THE SONS of God...Ananendelea kueleza lakini siku benchmark wetu akitokea thats when it will be clear we resemble HIM for he is the source of light that gives us our visibility when that light is reflected by our physical body hope you know visibility/Image zote na principal za light reflection in different colours to produce an image.

So kama ulikwazwa na dini basi usije potea mbali zaidi kwani you can still be a believer on your own and find those who would be resembling you in understanding mka worship Science based on chance kama Mungu wenu huku kwa neema ya Mungu akiwasaidia kuji reveal into his true Identity that nobody can steal that God from you. Ila penda usipende lazima utakuwa unaworship either consciously au unconsciously for human spirit is never left void lazima kuna spirit ambayo ina occupy and so far tuna spirit mbili tu evil and holly.
 
Mwanamageuko ungewasilisha utafiti wako wizarani(afya) au moja kwa moja kwa lukuvi ministry,ingekuwa ni heri zaidi.
Hao waikoma,wangoreme na hata waisenye uliowataja,hawana ufahamu wowote juu ya mti huu na ndio maana wananunua sumu ya mishale toka kwa wataturu na wasonjo.~YOU CAN BUY A GOOD DOCTOR,BUT NOT A GOOD HEALTH~
hapo bold ulichokisahau ni asili ya hayo makabila uliyoyataja! Umeshau kwamba asili ya makabila hayo ni huko Sonjo, na historia yao inasema hivyo, na wakisafiri kutoka serengeti mpaka sonjo kwa ajili ya kufuata miti hiyo! Hili la kuuziwa na wataturu limeanza miaka ya karibuni.

Je huyo mheshimiwa uliyemtaja unatarajia akupe majibu gani na tulimuona akipiga kikombe chake?!! (hakuna mwenye muda wa kupoteza na watu wasio makini na watanzania - Tangazo la pepsi zamani likisema The Choice is Yours!) una njia mbili za kuchagua kwa ajili ya maisha yako. Njia iliyo sawa au njia mbovu... (ndio maana wanaotibiwa na dawa ile wanaona wamepona na baada ya siku chache wanahara na kurudi kwenye maumivu) waliotafiti dawa hiyo wakenya- wanasema bado wanatafuta njia ya kuiboresha dawa hiyo. Kwa usaidizi zaidi "warangi - kondoa wanaichanganya na asali kwa kuongeza nguvu za kiume!!) jamii ya mti huo waganda wanaiita muyonza. ulizeni vema watawajuza habari za mti huo.
Tanzania.. ufff teh teh teh!
Labda ipo siku tutaacha kuugua MAFUNUNU!
Labda tutajua kutafiti na kutafakari kwa kina....
Labda tutajua kuchagua viongozi wasiofaa na kuwatofautisha na wanaofaa!
Labda... Labda... Labda....
 
Kuna thread inayohusu dawa ya babu hapa kama ilivyofanyiwa utafiti na mmoja wetu humu. Itafute tukompee na hii ya kwako.
Uko na akili timamu na ni jukumu lako kufananisha, ukipata jawabu chukua kinachokufaa kisichokufaa achana nacho... kitu ambacho mnashindwa kutofautisha ni pale wanapofananisha mti wa mchungwa na mlimao!? Mti uliofanyiwa utafiti Kenya uko tofauti kidogo na huo wa Loliondo japokuwa inaonekana yote ni "carissa edulis" ama kwa kimasai "alamuriaki" ambao wamasai hula matunda yake... (maneno mengi yanasemwa... mara babu mti anaotoa mizizi ni huohuo mmoja tu toka ameanza!!! - nasi tunayakubali maneno hayo!!) wacheni miujiza iendelee na mwisho wa siku pori lile litabaki kipara kama si jangwa!
 
Wanaokosa hoja utaona wanavyoanza kuporomosha mitusi na kejeli za jumla jumla. I will be better than that.



Obviously you do, why bother answering and mentioning that then? Halafu wewe ndiye spokesperson wa JF nzima?



I suspect you do not have what it takes to realize what is casuistry and cosmogony when it comes to issues like this.



Simpletons siku zote huona kila kitu simple, kwa hiyo sishangai.



Science has more answers than religion, but it is more humble in that it acknowledges the real challenges.

Religion does not have answers apart from explaining everything by some unrealistic supernatural forces, but claims to have the answer to everything. I will choose the former any day.



Faith = the absence of knowledge



Of course it is unmeasurable, how can you measure an unknown?



Sasa kama hakuna cha kupima utanishawishi vipi kama kuna kitu?



Science is doing this right now, and though it does not have full answers, it is doing a much better job than the mythology of religion.



Which personal experiences? be specific. Which personal experiences of yours that cannot be explained in any other way except by the existence of god ?



Ushaniambia dini/ mungu ni imani, na mimi sitaki habari za imani kwa sababu faith = lack of knowledge. I want to know. Kwa hiyo hapa hamna deal. Two different worlds.



Science iko based on proving the provable, ushasema mungu ni imani, science inataka knowledge na si imani. Sasa science ita prove mungu kivipi ?

u r just goin around in circle. 1. Unaanza kwa kusema eti nakejeli alafu unadai kuwa wewe hutafanya ivyo wakati umeandika kejeli kibao. Doesnt surprise me at all.
2. Sitaki kukueleza personal experience yangu na Mungu. In case hujaelewa...'its personal'
3. Sayansi ina majibu gani ambayo religion haina? Huoni kuwa ni vitu viwili tofauti vinavyotafuta majibu ya maswali tofauti?
4. Swali ni simple, hata wewe ukijaribu kulifanya gumu, litabaki simple tu! Na kama huwezi kujibu, ni huwezi kujibu. Simple and straight answer...hovyo kweli...
5. Utashangazwa ukisema tena kuwa faith = lack of knowledge. Tafadhali tafakari maana ya neno 'faith'. Inaelekea linakupiga chenga kidogo. Tafuta msomi akufafanulie maana yake.
 
Back
Top Bottom