Babu wa Loliondo "avuliwa nguo"

Babu wa Loliondo "avuliwa nguo"

Kwani babu alimwambia hatakufa? Au alimwambia ameahirisha siku yake ya kufa?
 
Jamani BABU hakusema anazuia kifo kila mtu atakufa siku yake itakapofika na huyo marehemu ilikuwa siku yake.

wewe umejuaje kuwa hiyo ilikuwa siku yake ya kufa?wewe ni mungu?
Wabongo tusifikirie kwa kutumia ugwe mgongo kikombe kimoja cha dawa hakiponyeshi hata siku moja.ni mtanzania yupi mwenye imani kama punje ya haradali,imani ambayo itaweza kuamisha mlima,kama yupo .....
 
Kiranga
Re: My post #55 and your response # 59 (liked by Ivuga):
God's existence is documented in the Bible, which you don't believe and you view it as a Jewish mythology. Only scientific evidence makes sense to you, fair enough!

Science Proves God exist
Charles Darwin started a theory of evolution which later was taught in biology classrooms including here in Bongo, there was a theory of use and misuse which basically said If an organ or muscle is used excessively it will grow bigger and if not it will decrease in size and if that continues for a long time that organ or muscle will become vegetative or lost. They pointed out to an appendix being a vegetative organ and a proof of the theory. Furthermore, students were also told that living things acquire organs or loose them depending on the need, for example Jongoo (millipeds) lost their eyes that way millions of years ago. That was aethist propaganda to mislead and distort the truth about God by hiding behind science.

Molecular genetics has proved that living things carry within themselves INFORMATION coded in their genes as DNA which determine their appearance, size and types of organs they constitute. Information is not material, you need an intellectual being to think and give information. Now who thought of this information, designed it and coded it into living thing's genes to give them order to reproduce in their own kind and likeness?

God and Science?
Are they incompatible? Do they contradict or disapprove each other? No they don't.
The trouble is among the scientists themselves and not science. I think Kiranga you are a man or woman of good knowledge with a background of science, if that is a case then i assume you must have heard a recent controversy among global warming scientists, how they cooked and skewed data to prove that there is global warming (another God denying hoax), not only they skewed and cooked data, they suppressed data which didn't favour their point of view.

Take a historical look at Europe, they rebelled against religious beliefs in the 18th and 19th centuries well marked by the French Revolution and they declared that humans are capable of controlling their own destiny and they don't need God to help them. This gave birth to a lot of European movements including humanism, socialist/communism, aethism etc. Europeans started to move in a different direction and needed justification for their action and the only best justification was to prove that God does not exist. So they recruited scientists among their own ranks including people like Charles Darwin.

In today's world, most scientists have an aethist's point of view, some are open aethist like Prof. Hawkins in UK, they continue the job which were started by Darwin and co. to prove the non existence of God.
I always prefer to warn people to know whose documentation they read both in politics and science.

Religion and science
Again i draw your attention to Europe before Christianity, People there lived in underground caves, of course to survive freezing winter and they were sacrificing humans and other traditional worships just like our African ancestors did. There were no schools neither science. Check the history of Saint Paul Church in London, it is supposedly the first school in UK. Modern education and science started by those who believed in God, especially God of Jesus Christ! Majority of first scientists were believers and God fearing people (Isaac Newton, Estein,Pasteur etc)
If Modern science is incompatible with God, how could it have been started up by God believers? Why in Tanzania schools were started everywhere missionaries settled if knowledge and science contradicts God. This situation is not only in Tanzania, it is throughout the world developed and non developed. Many governments in every country nationalized or made agreement with religious institutions to take over their schools.
Did aethists or other non believing people start a school to teach science to their children anywhere in the world? They might have started schools but they taught sacrifices to gods and spirits .
In summary
1. Discovery in molecular genetics of Coded genetic information in form of DNA in living things, is a huge challenge for those who deny the existence of God
2. Modern education and science was started by believers
3. Earlier scientists also believed in God
4. A group of scientists with a rebellious mind started after the French revolution to satisfy the appetite of non believing European in their new belief that humans don't need God for anything.
5. The Rebellious group of scientists have grown to become the mainstream of science and they control and all the scientific opinion
6. The damage has been so serious that at our present time most of European and other westerners are anti God
7. People in other part of the world like Africa we are just blind followers to our own peril.

huyu jamaa anapigia tarumbeta science akidhani ndio inatoa jibu sahihi kwenye kila ishu. Muache aamini sayansi yake. Inafahamika sana kuwa wengi wanapika data ili kuweza kupata majibu. Wengi wa sasa ivi wanafanya kazi katika theoretical world kiasi ambacho kazi zao hazina impact yeyote kwetu tena.
 
msema kwel mpnz wa mungu, mpk sshv nmeshuhudia wa2 wa4 ambao wamekfa baada ya kupta kkombe, wanaume wa3 na mwnamke 1. Klchotokea ni kwmba walpta nafuu wk 1 ya kwnza ila baada ya hpo walzdwa kpta maelzo, na wakajtahd kurudia dawa za sukar bt Mungu akawapenda zaid( RIP) Hapa ndo 2ko 2naulzana nn knasababsha wanakufa? 2meishia na jb lbda kw vle walstop dawa za sukar kw ghfa au? Ila ime2shangza sn! Mungu ibark Tz, Mungu wabark wa Tz!

Satan has never give human beings good thing hata siku moja kwani binadamu alichukua sehemu yake aliyonyang'anywa na Mungu hivyo ni adui yake wa milele! Poleni sana.
 
wewe umejuaje kuwa hiyo ilikuwa siku yake ya kufa?wewe ni mungu?
Wabongo tusifikirie kwa kutumia ugwe mgongo kikombe kimoja cha dawa hakiponyeshi hata siku moja.ni mtanzania yupi mwenye imani kama punje ya haradali,imani ambayo itaweza kuamisha mlima,kama yupo .....
Wabara mumezidi tena hiyo dawa hata ww unaweza kufanya musipoteze muda wenu tangu lini ukimwi kupata dawa?bora nikimbie
 
It's just a matter of time ukweli utajulikana tu, kinachonishangaza ni jinsi umati unavyomiminika kwa babu, nadhani hii ni record. Pamoja na ukweli kwamba babu sio mtu wa kwanza kusemekana kutibu maradhi sugu lakini sijawahi kusikia au kushuhudia mwitikio mkubwa kwa kiasi hiki.
 
mbona unateseka sana kumpinga babu .... sijui una bifu gani na huyu mzee ..... toa matibabu na wewe watu wakufuate

jealous kills

...Kumbe na wewe ume-notice!! Jamaa anatoka mpaka jasho la meno kumpinga babu! na I am very sure sio kwa interest ya watanzania. Ana lake jambo na Babu huyu Mjengwa, Dah!

Nimependezwa zaidi na usemi wa babu kuwa wenye 'imani' pekee ndio watakaopona.
time will tell mbivu na mbichi ni ipi kwani kwa muda huu upepo mzuri waelekea kwa babu na ukitaka sema tofauti utaonekana msaliti na labda hujui shida ya magonjwa.
 
"hapa arusha kila hospitali imepokea watu wa magonjwa ya presha, kisukari, pumu, n.k. Ambao walikwenda loliondo "kutibiwa" maradhi hayo na baada ya kupata "nafuu" (psychological) kwa kama wiki mbili tu wameanza kuumwa seriously na kurudia dawa zao za hospitali tena.

pili, mimi nikiwa mfanyakazi wa maabara ya hospitali ya mt meru, sijaona hata mgonjwa mmoja wa ukimwi aliyepata "seroconversion" yaani kurudi "seronegative from serpositive status". Kinachosikitisha ni kuwa kuna watu hawataki kabisa kusikia yanayosemwa na madaktari na wafanyakazi wa hospitali mbalimbali hapa arusha ambao kila siku tuna-deal na watu wanaozidiwa baada ya kwenda loliondo.

mbaya zaidi kuna magazeti, tv na redio hayataki kabisa kusikia ukweli wa majanga yaliyowafika watu waliokwenda huko. Ajabu pia ni kuwa kuna watu ambao ukitaka kuwaeleza ukweli wanakuona wewe ni mpagani usiyemwamini mungu. Naomba waandishi wa habari wawe proactive katika kutafuta ukweli na si kutegemea mass hysteria iliyowakumba maelfu ya watu wanaotafuta miujiza kwa nguvu."

source: mjengwa - picha, habari & matangazo: Kama haya ni ya kweli: Tiba ya ' babu' na ushuhuda wa kimaabara

ushindwe na ulegee ambao hawajapona ni wale wasio kuwa na imani utaponaje wakati huamini unaenda kunywa dawa kwa kufuata mkumbo
 
i find such statements to be seriously weak. Can science even explain what 'life' is in its simplicity and yet complex structure? Can science create 'life' out nothing or basic elements. All they do is understand the material build up of life, but not life itself.

You are right again!! What Science does at best is to put up an explanation of naturally occurring phenomenon or emulate it into action in what is known as invention or discoveries. That is it period.

So let Mzee or Babu make his contribution to the social well being of his country. He has helped to save so many lives. Mark you Babu has not asked anyone to adviertise his medicine nor spend his money on adverts. It is through the word of mouth from those who get cured from the miraculaous drink that make many people flock to Loliondo. After all people are not forced to take his medicine.
 
Nimependezwa zaidi na usemi wa babu kuwa wenye 'imani' pekee ndio watakaopona.
time will tell mbivu na mbichi ni ipi kwani kwa muda huu upepo mzuri waelekea kwa babu na ukitaka sema tofauti utaonekana msaliti na labda hujui shida ya magonjwa.
ni kweli tiba ya Babu inaweza kuwa na utata au vinginevyo, lakini tusisahau kuwa hata Muhimbili, Bugando, KCMC, Meru, Bukoba na hata Trauma Centre watu wanakufa kwa JUST malaria!!!! Kikombe inawezekana kinatibu lakini haina maana kuwa kinaponya mauti pia!
 
Wee Lukindo, Mungu unamfananisha na Muhimbili? I wapi imani yako basi!
 
RIP!
lAKINI NDUGU UNAONEKANA KAMA VILE UNAMSHITAKIA BABU...i smell some kind of ill-insinuation!
Jamani, haigharimu kitu kuelewa kuwa vifo vipo, vitakuwepo, na hata wakati wa Yesu watu walikufa kama kawaida!
Isionekane jambo la kuandika JF kama mtu kafa baada ya kunywa dawa ya babu, unless kama anajulikana na baadhi ya members wa humu!

Avoiding bitter truth in defense of Samunge referral hospital
 
Jamani jamani!! Mwisho wa Babu bi mbaya!! WanaJF amini usiamini watu wanakufa baada ya kutelekeza dawa za hospitali. Mimi kuna mjomba wangu amekufa baada ya kunywa dawa kwa babu na leo tumemzika baada ya kumsafirisha kwa gharama kubwa kutoka serengeti. Alikuwa njiani kurudi Bukoba baada ya kupata kikombe. Ila cha kushangaza ni kwamba viongozi wa serikali wanaenda wanajifanya kuongea na babu ili wamsaidie sijui nini lakini mwisho wa siku wanaomba kikombe na serikali haifanyi lolote. Jamani serikali inatakiwa iingilie kati hili suala Watanzania wasiendelee kuangamia. Serikali inatakiwa aidha ipige marufuku ama kuandaa utaratibu mzuri ili hao waaminio muujiza wanywe kwa utaratibu hiyo dawa. Ni matafaruku mkubwa lakini serikali kimyaaaaa!!
 
Kiranga
Re: My post #55 and your response # 59 (liked by Ivuga):
God's existence is documented in the Bible, which you don't believe and you view it as a Jewish mythology. Only scientific evidence makes sense to you, fair enough!

OK,

Science Proves God exist
Charles Darwin started a theory of evolution which later was taught in biology classrooms including here in Bongo, there was a theory of use and misuse which basically said If an organ or muscle is used excessively it will grow bigger and if not it will decrease in size and if that continues for a long time that organ or muscle will become vegetative or lost. They pointed out to an appendix being a vegetative organ and a proof of the theory. Furthermore, students were also told that living things acquire organs or loose them depending on the need, for example Jongoo (millipeds) lost their eyes that way millions of years ago. That was aethist propaganda to mislead and distort the truth about God by hiding behind science.

Unaanza kwa kusema "science proves god exists" halafu hutuonyeshi ni vipi sayansi ina "prove" the existence of god. Hebu tuendelee, labda una kitu hapo mbele.

Molecular genetics has proved that living things carry within themselves INFORMATION coded in their genes as DNA which determine their appearance, size and types of organs they constitute.

Doesn't prove god exists.

Information is not material, you need an intellectual being to think and give information.

This is where I think you are wrong, but even if we say you are right, that you need an intellectual being to think and give information, you are only defeating the god idea. Because, the entity of god which is supposed to have all this information, cannot spring out of nowhere (according to your assertion that information needs an intellectual being) so you remove the role of the "first mover" from this god, and god will need a creator, and his creator will need a creator, in an endless cycle.

The issue here is that, we are prejudiced by our limited experiences. A limited experience tells you the earth is flat, but delving into matters shows us otherwise. When you couple this with the desire to have a father figure who is all knowledgeable and all oving, plus the sheer mob psychology, believing is almost irresistible.

Now who thought of this information, designed it and coded it into living thing's genes to give them order to reproduce in their own kind and likeness?

As stated above I can always ask "If information must be coded by an intelligent being, who coded the information in god?" . If you say nobody coded the information god had, then you break your principle that information must be coded, you show us that information can exist without being coded by an intelligent being.

You can't win on this one, if you say some other being coded information into god, then god is not the first mover, and therefore not god at all (at least in the Judeo-Christian tradition). If you say nobody coded the information into god, then you pretty much violate your principle that "information must be coded by an intelligent author".

God and Science?
Are they incompatible? Do they contradict or disapprove each other? No they don't.
The trouble is among the scientists themselves and not science. I think Kiranga you are a man or woman of good knowledge with a background of science, if that is a case then i assume you must have heard a recent controversy among global warming scientists, how they cooked and skewed data to prove that there is global warming (another God denying hoax), not only they skewed and cooked data, they suppressed data which didn't favour their point of view.

I talked about bad science before, this is nothing I do not already know. Somebody wrote a whole book about this it is called "Science Friction" (a wordplay on "Science Fiction") where the author challenges many widely accepted scientific notions such as cancer cannot be contagious, oil is a fossil fuel etc etc. So I am aware of the human faults and the politics in scientific research.

But my one thing is, science is a self calibrating discipline based on verification and challenges. I mean as accomplished and proven as Eistein's relativity is, there are scientific researches scrutinizing it up to now. People are disputing the big bang theory as accomplished as it is. That is the basis of science, verification and reverification.

Unfortunatley faith/ religion cannot claim the same. Wewe unaambiwa tu "mungu yupo, amini" hamna proof, hamna scrutiny, ukileta scrutiny unaambiwa unakufuru etc. This is one thing that makes me think faith is inferior to science.

BTW bado hujaprove mungu ana exist, kila attempt inagonga mwamba.

Take a historical look at Europe, they rebelled against religious beliefs in the 18th and 19th centuries well marked by the French Revolution and they declared that humans are capable of controlling their own destiny and they don't need God to help them. This gave birth to a lot of European movements including humanism, socialist/communism, aethism etc. Europeans started to move in a different direction and needed justification for their action and the only best justification was to prove that God does not exist. So they recruited scientists among their own ranks including people like Charles Darwin.

Still doesnt prove god exist. You stated very clearly from the onset that "science proves god exists". I am yet to see this proof.

In today's world, most scientists have an aethist's point of view, some are open aethist like Prof. Hawkins in UK, they continue the job which were started by Darwin and co. to prove the non existence of God.
I always prefer to warn people to know whose documentation they read both in politics and science.

Still no proof.

Religion and science
Again i draw your attention to Europe before Christianity, People there lived in underground caves, of course to survive freezing winter and they were sacrificing humans and other traditional worships just like our African ancestors did. There were no schools neither science. Check the history of Saint Paul Church in London, it is supposedly the first school in UK. Modern education and science started by those who believed in God, especially God of Jesus Christ! Majority of first scientists were believers and God fearing people (Isaac Newton, Estein,Pasteur etc)

No proof

If Modern science is incompatible with God, how could it have been started up by God believers? Why in Tanzania schools were started everywhere missionaries settled if knowledge and science contradicts God. This situation is not only in Tanzania, it is throughout the world developed and non developed. Many governments in every country nationalized or made agreement with religious institutions to take over their schools.
Did aethists or other non believing people start a school to teach science to their children anywhere in the world? They might have started schools but they taught sacrifices to gods and spirits .

Just horrible non-argument. But still doesn't prove god exists.

In summary
1. Discovery in molecular genetics of Coded genetic information in form of DNA in living things, is a huge challenge for those who deny the existence of God

I discussed how the "information must have an author" argument actually defeats the argument that god exists.

2. Modern education and science was started by believers

This does not mean a thing, the fact that believers started "modern education" does not prove that god exists.

Ni kama vile nakuuliza "prove that Lee Iacocca exists", na wewe unanijibu "modern electric cars were started by the Japanese" dude, totally off tangent.

3. Earlier scientists also believed in God

Hahaa, what are you trying to prove? That everything earlier scientists believed is true? If so, earlier scientists also believed the earth was flat, the earth was at the centre of the universe, that the universe was made up of a number of fixed spheres fixing the planets and the stars, that the Milky Way Galaxy was the entire universe, that two bodies of different masses fall down at different rates etc.

Do you also believe all of those?

4. A group of scientists with a rebellious mind started after the French revolution to satisfy the appetite of non believing European in their new belief that humans don't need God for anything.

And how does this prove god exists? I am looking for this proof as promised by you.

5. The Rebellious group of scientists have grown to become the mainstream of science and they control and all the scientific opinion

It will be very easy to dismiss them totally and justifiably, just prove god exists.

6. The damage has been so serious that at our present time most of European and other westerners are anti God

How does this prove god exists?

7. People in other part of the world like Africa we are just blind followers to our own peril.

Most people in Africa are believers, do you mean blind followers of Christianity/ Islam and other imported religions?
 
Back
Top Bottom