Babu wa Loliondo "avuliwa nguo"

Babu wa Loliondo "avuliwa nguo"

wacha watu wapige kikombe, acha propaganda
Ile dawa inaambatana na maombi
 
Jamani Wana JF msiwe mnabisha tu hapa anachofanya Babu Kyle Loliondo ni Uharibifu Mkubwa wa Afya za Watanzania Huduma anayoitoa pale kijijini no Psychological Relief tu kwa watu wanao umwa na hapa ni suala la Muda tu ndo hutathibitisha haya yote....na hii huduma haitoki kwa Mungu Kama watu wengi wanavyoamini.....Hii ni nguvu nyingine Kabisa!! Mimi Sina shida kabisa na Watu wanaoenda kupata hii huduma....ninachotoa toa hapa ni Angalizo tu kwa wale wanaotumia dawa chondechonde wasiache dawa zao baada ya Kupiga Kikombe!! Vinginevyo yatawatokea hayo yanayosemwa baada ya muda tu!!
 
Truly , mafununu will kill us maana we are so senstive kurukia symptoms na hisia n hatutaki hata kidogo kudeal na correct diagnosis. Babu Sio
 
wacha watu wapige kikombe, acha propaganda
Ile dawa inaambatana na maombi

Endelea na maombi lakini hospitali itaendele kukupa CD4 za ajabu.
Ni hopelessness inayotutia kiwewe. Tangu ikulu mpaka kwenye kaya zetu.

Hivi hamustuki?
Kulikuwa na Muarobaini wa dawa, sabuni mpaka kufukuza mbu.
Ikaja Ngetwa magonjwa 120.
Ikaja alovera ya dawa, toothpaste, sabuni, juice, krimu na .....

Yote hayo yameleta maisha bora?

Vipi huko enzi za sabasaba na tyre magic iliyoitwa Oko
Vipi tena stika ya kuzuia radiation kwenye simu.

Mutaliwa mpaka lini?? munawafuata wanasiasa wetu wakati mukijua are the most ignorant citizens!
 
unaenda kumuuliza dreva taxi kama muda wa ku-operate mabasi uongezwe? unategemea jibu gani? Mimi sitaki kusikia huyu kasema ivi au yule kasema vile. Watoe evidence hapa. Mtu asimame aseme aonyeshe the before and after effect. Kama vipi...wampeleke babu mahakamani ili tupate evidence. Lakini hatuwezi kuburuzwa kama makondoo. Hii ishu ina interests kibao na hivyo ni ngumu kuweza kupata jibu kamili.
:cheer2:
 
Swala la babu tutachukua muda kubishana lakini ukweli upo sehemu umejificha. Wanaompinga na kusema dawa hiyo ni sumu hawajatuambia ni wangapi wamekufa kwa kunywa dawa hiyo mpaka leo. Wanaomwamini hawajatuonyesha status za wagonjwa before wakiwa na vyeti vyao vya matokeo na status after wakiwa na vyeti vyao. Ninachoona time will tell!.
 
msema kwel mpnz wa mungu, mpk sshv nmeshuhudia wa2 wa4 ambao wamekfa baada ya kupta kkombe, wanaume wa3 na mwnamke 1. Klchotokea ni kwmba walpta nafuu wk 1 ya kwnza ila baada ya hpo walzdwa kpta maelzo, na wakajtahd kurudia dawa za sukar bt Mungu akawapenda zaid( RIP) Hapa ndo 2ko 2naulzana nn knasababsha wanakufa? 2meishia na jb lbda kw vle walstop dawa za sukar kw ghfa au? Ila ime2shangza sn! Mungu ibark Tz, Mungu wabark wa Tz!
Swala la babu tutachukua muda kubishana lakini ukweli upo sehemu umejificha. Wanaompinga na kusema dawa hiyo ni sumu hawajatuambia ni wangapi wamekufa kwa kunywa dawa hiyo mpaka leo. Wanaomwamini hawajatuonyesha status za wagonjwa before wakiwa na vyeti vyao vya matokeo na status after wakiwa na vyeti vyao. Ninachoona time will tell!.
 
Kuhusu Babu ni suala la imani pamoja na kufata taratibu. Watu wanaambiwa wafuate foleni, hawataki na wanatoa rushwa pamoja na kuzidisha vikombe. Wakirudi makwao wanalalamika hawajapona!
 
Napenda kuwaarifu wana JF kuwa mmoja kati ya waliokunywa dawa ya babu, amezikwa leo mchana baada ya kufa juzi. Huyu ndugu amekuwa akisumbuliwa na ug. wa kisukari na kulazwa ktk hospitali ya misheni Kibara wilayani Bunda na hivi majuzi alipelekwa kwa babu na kupata kikombe. Amezikwa ktk kijiji cha Chamakapo kata ya Neruma wilaya ya Bunda. Mimi nimetoa taarifa tu, msinitukane tafadhali.
 
Wazima hawaitaji tabibu.
M
isafara ya kuelekea kwa Babu inaonyesha ni kwa kiasi gani afya za watu wengi zina mgogoro.
Binafsi nimekua nikiwatembelea na kuwahoji baadhi ya watu waliotoka huko wamekua wakinisimulia mabadiriko waloyoyapata kutokana na kunywa kikombe. Unajua kitu kinaitwa kuponywa kimuujiza?

Binafsi nimewai kukutana live na kitu kama hicho. Kuna wakati pingiri moja ya uti wangu wa mgongo ilikua inanisumbua na nilipowaendea madaktari wetu tuliowazoea wao walipendekeza kunifanyia upasuaji kitu ambacho nilipingana nacho kwa kuhofia uwezo wao. Siku moja mchana nilipokua nimejilaza kitandani ilikuja sauti kama sauti ya chombo cha kutobolea matundu iloyoambatana na upepo ikanikandamiza mgongoni nami nikawa ninagombana kujinasua maana nilijawa na hofu mara baada ya kufanikiwa kusimama sikusikia tena maumivu yaliyokua yakinisumbua.

Haya yalinitokea mimi binafsi siyo lazima wewe uyaamini.
kwa mahojiano niliyoyafanya na watu ninaowajua kuwa walikua wagonjwa, inaonyesha kuwa babu anatoa tiba kweli kweli.

Naona nyie ambao mna mashaka na tiba ya babu mna afya njema hivyo hamuhitaji huduma kama ile ndio maana inakuwa rahisi kuibeza kana kwamba ni kitu kisicho na manufaa.

Binadamu anajumuisha roho, nafsi na mwili. Kinachofanyika huko Loliondo ni operatations za kiroho, baada ya kukwama kwa matumizi ya kiakili kwa kutumia wataalamu wa kiakili. Hawa wataalamu wameshidwa kuleta tiba ya kisukari,kansa,na HIV magojwa sugu ambayo yanatamba ambayo huyu Babu anayashughulikia kwa kikombe kimoja.

Binafsi nina imani na hiyo tiba ya babu. Na ninawashauri wale ambao wanamagojwa sugu yaliyoshindikana waende haraka kabla dunia haijaamka toka usingizini maana inaonyesha katika siku zijazo kutakua na watu wengi sana kutoka nchi za mbali.
 

Attachments

  • DSC08136.JPG
    DSC08136.JPG
    40 KB · Views: 32
Hiyo dawa kama ni sumu basi ni hatari hasa kwa hao viongozi aaaah wala sitaki kusema sana.
 
Napenda kuwaarifu wana JF kuwa mmoja kati ya waliokunywa dawa ya babu, amezikwa leo mchana baada ya kufa juzi. Huyu ndugu amekuwa akisumbuliwa na ug. wa kisukari na kulazwa ktk hospitali ya misheni Kibara wilayani Bunda na hivi majuzi alipelekwa kwa babu na kupata kikombe. Amezikwa ktk kijiji cha Chamakapo kata ya Neruma wilaya ya Bunda. Mimi nimetoa taarifa tu, msinitukane tafadhali.
RIP!
lAKINI NDUGU UNAONEKANA KAMA VILE UNAMSHITAKIA BABU...i smell some kind of ill-insinuation!
Jamani, haigharimu kitu kuelewa kuwa vifo vipo, vitakuwepo, na hata wakati wa Yesu watu walikufa kama kawaida!
Isionekane jambo la kuandika JF kama mtu kafa baada ya kunywa dawa ya babu, unless kama anajulikana na baadhi ya members wa humu!
 
Wangapi waliopona kwa dawa hiyo na kifo dawa yake nini? akifa amekufa zake zimefika s kwasababu ya dawa, kwani waliopona wapo katika jamii yetu, khy tusipotoshe jamii kuwa hawatapona.
 
Kiranga
Re: My post #55 and your response # 59 (liked by Ivuga):
God's existence is documented in the Bible, which you don't believe and you view it as a Jewish mythology. Only scientific evidence makes sense to you, fair enough!

Science Proves God exist
Charles Darwin started a theory of evolution which later was taught in biology classrooms including here in Bongo, there was a theory of use and misuse which basically said If an organ or muscle is used excessively it will grow bigger and if not it will decrease in size and if that continues for a long time that organ or muscle will become vegetative or lost. They pointed out to an appendix being a vegetative organ and a proof of the theory. Furthermore, students were also told that living things acquire organs or loose them depending on the need, for example Jongoo (millipeds) lost their eyes that way millions of years ago. That was aethist propaganda to mislead and distort the truth about God by hiding behind science.

Molecular genetics has proved that living things carry within themselves INFORMATION coded in their genes as DNA which determine their appearance, size and types of organs they constitute. Information is not material, you need an intellectual being to think and give information. Now who thought of this information, designed it and coded it into living thing's genes to give them order to reproduce in their own kind and likeness?

God and Science?
Are they incompatible? Do they contradict or disapprove each other? No they don't.
The trouble is among the scientists themselves and not science. I think Kiranga you are a man or woman of good knowledge with a background of science, if that is a case then i assume you must have heard a recent controversy among global warming scientists, how they cooked and skewed data to prove that there is global warming (another God denying hoax), not only they skewed and cooked data, they suppressed data which didn't favour their point of view.

Take a historical look at Europe, they rebelled against religious beliefs in the 18th and 19th centuries well marked by the French Revolution and they declared that humans are capable of controlling their own destiny and they don't need God to help them. This gave birth to a lot of European movements including humanism, socialist/communism, aethism etc. Europeans started to move in a different direction and needed justification for their action and the only best justification was to prove that God does not exist. So they recruited scientists among their own ranks including people like Charles Darwin.

In today's world, most scientists have an aethist's point of view, some are open aethist like Prof. Hawkins in UK, they continue the job which were started by Darwin and co. to prove the non existence of God.
I always prefer to warn people to know whose documentation they read both in politics and science.

Religion and science
Again i draw your attention to Europe before Christianity, People there lived in underground caves, of course to survive freezing winter and they were sacrificing humans and other traditional worships just like our African ancestors did. There were no schools neither science. Check the history of Saint Paul Church in London, it is supposedly the first school in UK. Modern education and science started by those who believed in God, especially God of Jesus Christ! Majority of first scientists were believers and God fearing people (Isaac Newton, Estein,Pasteur etc)
If Modern science is incompatible with God, how could it have been started up by God believers? Why in Tanzania schools were started everywhere missionaries settled if knowledge and science contradicts God. This situation is not only in Tanzania, it is throughout the world developed and non developed. Many governments in every country nationalized or made agreement with religious institutions to take over their schools.
Did aethists or other non believing people start a school to teach science to their children anywhere in the world? They might have started schools but they taught sacrifices to gods and spirits .
In summary
1. Discovery in molecular genetics of Coded genetic information in form of DNA in living things, is a huge challenge for those who deny the existence of God
2. Modern education and science was started by believers
3. Earlier scientists also believed in God
4. A group of scientists with a rebellious mind started after the French revolution to satisfy the appetite of non believing European in their new belief that humans don't need God for anything.
5. The Rebellious group of scientists have grown to become the mainstream of science and they control and all the scientific opinion
6. The damage has been so serious that at our present time most of European and other westerners are anti God
7. People in other part of the world like Africa we are just blind followers to our own peril.
 
Tatizo wataalamu wetu tz ni wazuri sana kwa malumbano lakini linapokuja suala la utekelezaji hatuwaoni(practical) na hapa Mageuko ungetokeza na utafiti wako "live" na hii ndio challenge ambayo ingetusaidia.na si kutoa tafiti humu JF.
Ndio maana Tz daktari bingwa anaacha taaluma anakimbilia ubishi bungeni kwa maslahi ya ZE STOMACH......................
 
Jamani BABU hakusema anazuia kifo kila mtu atakufa siku yake itakapofika na huyo marehemu ilikuwa siku yake.
 
Napenda kuwaarifu wana JF kuwa mmoja kati ya waliokunywa dawa ya babu, amezikwa leo mchana baada ya kufa juzi. Huyu ndugu amekuwa akisumbuliwa na ug. wa kisukari na kulazwa ktk hospitali ya misheni Kibara wilayani Bunda na hivi majuzi alipelekwa kwa babu na kupata kikombe. Amezikwa ktk kijiji cha Chamakapo kata ya Neruma wilaya ya Bunda. Mimi nimetoa taarifa tu, msinitukane tafadhali.

Pole sana, mungu amlaze pema peponi. Ulimpeleka na drip? Au Mahututi? Ni kawaida wengi tu wamefia kwenye foleni pia.
 
Back
Top Bottom